Hatma ya Muslim University of Morogoro na Maono ya Aga Khan kuwasaidia Waislamu kujenga Chuo Kikuu

Nilitarajia Zanzibar wangekua na shule kubwa,chuo kikuu cha kuweza kushindana na UDSM. Maajabu watoto wa matajiri unawakuta ST Francis,Marian girls nk. FEZA ni ya shia muslims toka Uturuki na inafanya vizuri sana kwa sababu elimu ya dini haijapewa kipaumbele.
 
Gamma...
Misri ilitoa fedha kwa EAMWS kujenga Chuo Kikuu mwaka wa 1968.
EAMWS ikapigwa marufuku na serikali wakati inataka kujenga hicho chuo.

Katika miaka ya 1970 OIC walitaka kujenga Chuo Kikuu Tanzania serikali ikawakatalia kuwapa kibali.

Mwaka wa 1997 Darul Imaan ya Saudia ilitaka kujenga Shule ya Ufundi Kibaha ghafla magazwti yote yakaja na kampeni kuwa Waarabu wamevamia Kibaha wanapora ardhi za wananchi.

Darul Imaan ikasitisha mradi ikaondoka.

Haya mswali mnaniluliza mara nyingi na ninakupeni majibu lakini nitauliza tena swali hili hili.

Inakuwaje?

Hamuelewi ukweli au hamuamini kuwa serikali inazuia ujenzi wa taasisi za elimu kwa Waislam?
 
Chuo kilichojengwa Uganda kinaitwaje Mzee wangu? Kimeweza kukuza elimu ya waislam kule Uganda,kimekua kikubwa hata kukaribia level ya Makerere university?
Ipyas,
Sina taartifa zaidi ya chuo hiki.
 
hawa hawakuwekeza katika elimu vyakutosha ni ukweli ambao hawataki kuukiri na lawama daily hutaka kuwatupia wakristo. Sure Zanzibar ingetakiwa iwe na maendeleo ya kutisha maana wapo wenyewe na wana nasaba na waarab lakini ndo kwanza wapo hapa walipo! utakuta wanasema ohh hospital za kikristo zinapewa ruzuku na serikali na kuna MOU utafikiri wao wamekatazwa kuanzisha hospitali, basi ingekuwa hata wanayo moja ya mfano hapo Znz maana wapo wenyewe lakini napo hola!
 
Leo tuna Afghanistan ambako mabinti wa kiislamu hawaruhusiwi kwenda shule, Tanzania jamii ya kiislam haiwekezi kwenye elimu . Saudia kama centre ya uislamu na tajiri namba 1 inawekeza kwenye ujenzi wa misikiti madrassa tu ulimwenguni.
Ipyax,
Tofauti kubwa ambayo naiona katika maswali ninayoulizwa hapa na maswali ninayoulizwa na wanafunzi wa Ph D kutoka nje ya Tanzania wanaokuja kwangu kwa utafiti ni kuwa hawa kutoka nje nikishaeleza hali hii kwanza hutaka uthibitisho wa taarifa nilizotoa.

Wakishapata uthibitisho huniambia kuwa kama wanaweza kunukuu mazungumzo yetu kwa watu wengine ambao watakwenda kwao kuwahoji.

Mwisho husema kuwa hili ni jambo kubwa sana kuwa serikali yenyewe ndiyo inahujumu juhudi za sehemu moja ya raia wake kuelimika.

Huwa hawaelewi kwa nini serikali ivunje taasisi ya dini moja na kuacha taasisi za dini nyingine.

Huwa tunamaliza mazungumzo yetu wakiwa wamelowa kabisa pale ninapowaeleza kuwa serikali ina hofu ya kujadili hili tatizo na Waislam na limeamua kuwa kimya wakitegemea kuwa litajiondoa lenyewe.

Huwaonyesha majibu na mswali nipatayo hapa JF na wao hutaka kujua uelewa wa hawa waulizaji.

(Ndiyo haya mswali mnayouliza hapa ya Saudia na Afghanistan wakati tunajadili matatizo ya Tanganyika).

Jibu langu huwa hawa ndiyo kwanza wanasoma haya kutoka kwangu hawana uelewa wowote.
 
Misri ilitoa fedha kwa EAMWS kujenga Chuo Kikuu mwaka wa 1968.
EAMWS ikapigwa marufuku na serikali wakati inataka kujenga hicho chuo.

Katika miaka ya 1970 OIC walitaka kujenga Chuo Kikuu Tanzania serikali ikawakatalia kuwapa kibali
Katika kipindi hiki, sitashangaa kwa sababu Bugando na KCMC zilitaifishwa na kuwa chini ya serikali, na pia shule nyingi kama Tosamaganga na nyinginezo zilikuwa za dini pia zilitaifishwa, kwa hiyo kipindi baada ya uhuru hakitakiwi kuwa refefence.

Mwaka wa 1997 Darul Imaan ya Saudia ilitaka kujenga Shule ya Ufundi Kibaha ghafla magazwti yote yakaja na kampeni kuwa Waarabu wamevamia Kibaha wanapora ardhi za wananchi.
Kwa kweli hatutaki chuo cha ufundi, kwanini isiwe University, mbona tuna Al Maktoum college of Engineering and Technology? mbona hiki hakijaziuwa?

Naamini aidha hatujui kujipanga na kuongea na nchi wafadhili kutujengea vyuo vikuu na mashule, kwa sababu ya uongozi wa BAKWATA umejaa watu walioweka mbele elimu ya dini ndio maana wanaomba ufadhili wa kujengewa misikitu tu...
 
Stux...
Wa kutoa majibu wamekuwa kimya hata pale tatizo hili lilipoletwa Bungeni.

Wewe unajibu kama nani?
Sisi tunasubiri majibu kutoka serikalini.
mbona misikiti mnachangishana,kwanini msichangishane kujenga vyuo vikuu?utalia lia hivi mpaka lini wakati Nyerere alishafiki?
Samia mvaa kobazi mwenzio peleka proposal wacha kulia kwenye vijiwe vya kahawa mwinyimkuu,suna,butiama nk.
 
wewe mzee unazeeka vibaya
hawa wote waislam rais,waziri mkuu,jaji mkuu,katibu mkuu necta,usalama nk lakini babu jojo kila uchwao unalia lia ...unataka hii nchi yote mpewe nyinyi mjenge misikiti na iongozwe kigaidi kama taliban?
 
Mohamed Said
Umesema kuna wanafunzi wa PHD kutoka nje ya nchi huja kwako kwa utafiti, hebu tuwekee hapa ushahidi wa kuwa wamekuwa wakikubaliana na kuthibitisha kiutafiti maneno yako kwenye tafiti zao ya kuwa;
serikali inavunja taasisi ya dini moja na kuacha taasisi za dini nyingine.
 
Huyo mzee anajivika uanaharakati wa dini wakati yeye kasoma na Rafiki zake wengi wasomi.
Kwa exposure aliyonayo na network aliyonayo angeweza kabisa hata kuanzisha shule ya mfano au hata hospital ya mfano. Ila kila siku yuko hapa kutumbia kitabu chake cha sykes kipo toleo la ngapi sijui na story za Mtendeni
 
Mpaji Mungu,
Takataka ni yapi?

Ni hii makala niliyoeleza Muslim Congress ya 1962 iliyoamua kujenga shule na Chuo Kikuu chini ya EAMWS au barua kwa Waziri wa Elimu inayoeleza tatizo la udini ndani ya wizara hiyo?

Ningependa kujua.
1962,mwaka 1970,1980?,1990?,2000? na sasa 2023 mmefanya nini kujenga shule na vyuo zaidi kuomba kanzu kwa mashia na tende na mikeka ya kuswalia.Unakuja hapa kulia lia tu.Utakufa kihoro we mzee.
 
Mzee yule ni loser na anawadanganya watu wasiotaka kuukabili ukweli. Nyerere ametoka madarakani 1985 nikiwa darasa la pili. Leo hii unamlaumu kwa lipi wakati wamekuja watu wengi na majanga wameyaleta mengi kuliko hata Nyerere? Kumkabili Nyerere ni project binafsi ya yule Mzee. Uzuri ni kuwa njia ya muongo ni fupi.
Muda unaenda na mambo mengi yanajieleza bila kusubiri mutu muongo kuyasimulia.
 
1962,mwaka 1970,1980?,1990?,2000? na sasa 2023 mmefanya nini kujenga shule na vyuo zaidi kuomba kanzu kwa mashia na tende na mikeka ya kuswalia.Unakuja hapa kulia lia tu.Utakufa kihoro we mzee.
Luku...
Ahsante nimekusoma.
 
Kwa exposure aliyonayo na network aliyonayo angeweza kabisa hata kuanzisha shule ya mfano au hata hospital ya mfano. Ila kila siku yuko hapa kutumbia kitabu chake cha sykes kipo toleo la ngapi sijui na story za Mtendeni
Kinyungu,
Nakueleza kuwa kitabu kinakwenda toleo la tano kukufahamisha kuwa kitabu kimependwa kwa ukweli ulioko ndani yake.

Ikiwa hili linakuudhi ni bahato mbaya sikukusudia hilo.

1962,mwaka 1970,1980?,1990?,2000? na sasa 2023 mmefanya nini kujenga shule na vyuo zaidi kuomba kanzu kwa mashia na tende na mikeka ya kuswalia.Unakuja hapa kulia lia tu.Utakufa kihoro we mzee.
Luku...
Nimekuuliza kuhusu takataka.
Umekaa muda mrefu hukunijibu.
 
Mohamed Said
Umesema kuna wanafunzi wa PHD kutoka nje ya nchi huja kwako kwa utafiti, hebu tuwekee hapa ushahidi wa kuwa wamekuwa wakikubaliana na kuthibitisha kiutafiti maneno yako kwenye tafiti zao ya kuwa;
Salari,
Umenipa kazi kubwa nitajaribu kutafuta nikipata nitakuwekea hapa.
Unazungumza kazi nilizofanya karibu miaka 20 iliyopita.

Andika Ph D.

Hivi ndivyo sawa.
 
wewe mzee unazeeka vibaya
hawa wote waislam rais,waziri mkuu,jaji mkuu,katibu mkuu necta,usalama nk lakini babu jojo kila uchwao unalia lia ...unataka hii nchi yote mpewe nyinyi mjenge misikiti na iongozwe kigaidi kama taliban?
Luku...
Nimekusoma.
Ahsante
 
Gamma...
Huna lolote la kusema kuhusu vyuo vya EAMWS na OIC?
 
mbona misikiti mnachangishana,kwanini msichangishane kujenga vyuo vikuu?utalia lia hivi mpaka lini wakati Nyerere alishafiki?
Samia mvaa kobazi mwenzio peleka proposal wacha kulia kwenye vijiwe vya kahawa mwinyimkuu,suna,butiama nk.
Luku...
Nimekusoma.
Ahsante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…