Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Gamma...Mzee Said
Hayo ninayajua, na ni kweli ya kuhusu NECTA, yalikuwa ya kweli kuhusu ubaguzi katika elimu kwa misingi ya dini.
Lakini hayasaidii kitu kwa sasa, kwanini tusiwe na mpango wa kwenda mbele Yaani kuanza kujenga mashule na vyuo vikuu,
Mbona sasa kuna vyuo na mashule mengi kwa misingi ya kidini
Na muda huu unataka kusema tunakataliwa?
Dingi...Nimekuona leo ukishindwa kujibu maswali na kujieleza AZAM TV,Umeprove failure na elimu yako ya MUM.
Siyo kweli, mmoja kati ya Abbas ama Ally aliwahi kuwa Balozi wa TanzaniaStux...
Haipendezi wewe kutaka kunidhalilisha.
Mimi dhana yangu kwako toka asubuhi ilikuwa nzuri kuwa kama walivyo wengi huijui historia ya uhuru wa Tanganyika.
Nikadhani kuwa tutafanya mjadala wa heshima.
Bahati mbaya historia hii ulipoijua imekuumiza sasa unalipiza kisasi kwa lugha isiyokuwa na staha.
Abdul na Ally Sykes hawakupata kupewa kazi yoyote na Nyerere kwa kuwa walikuwa wanajitosheleza katika biashara hata kabla ya uhuru.
Usishangae utakapoona nimekupuuza na sikujibu.
Waamerika wana msemo nimekutia katika "shit list."
You lost the plot old manGamma...
Kwa nini unajijumuisha katika kitu usichokijua.
Unataka ujulikane wewe Muislam?
Halafu unakwepa kujibu maswali na hoja zilizotolewa na mrangi huko nyuma. Unaulizwa maswali unakwepa unajibu kitu tofautiStux...
Haipendezi wewe kutaka kunidhalilisha.
Mimi dhana yangu kwako toka asubuhi ilikuwa nzuri kuwa kama walivyo wengi huijui historia ya uhuru wa Tanganyika.
Nikadhani kuwa tutafanya mjadala wa heshima.
Bahati mbaya historia hii ulipoijua imekuumiza sasa unalipiza kisasi kwa lugha isiyokuwa na staha.
Abdul na Ally Sykes hawakupata kupewa kazi yoyote na Nyerere kwa kuwa walikuwa wanajitosheleza katika biashara hata kabla ya uhuru.
Usishangae utakapoona nimekupuuza na sikujibu.
Waamerika wana msemo nimekutia katika "shit list."
Gramma...You lost the plot old man
Mimi ni mwislamu lakini siyo mwislamu mswahiliswahili, sababu siyo asili yangu wala utamaduni wangu.
Ndio maana niko straight to the point
Nimezaliwa Tanzania, nimekulia Tanzania, na naijua hii nchi nje ndani tokea enzi hizo, lakini tofauti yangu ya uTanzania hatuna asili ya kulalamikalalamika, bali tunatafuta solution,
Labda ndio tatizo la mwislamu mswahili ndio maana hakuna kinachofanyika zaidi ya perepete.
Kwa sisi Waislamu Watanzania tusiokuwa waswahili hatutafuti majibu, tunatafuta njia.
PUBLICATIONS/RESEARCH PAPERS/ARTICLESYou lost the plot old man
Mimi ni mwislamu lakini siyo mwislamu mswahiliswahili, sababu siyo asili yangu wala utamaduni wangu.
Ndio maana niko straight to the point
Nimezaliwa Tanzania, nimekulia Tanzania, na naijua hii nchi nje ndani tokea enzi hizo, lakini tofauti yangu ya uTanzania hatuna asili ya kulalamikalalamika, bali tunatafuta solution,
Labda ndio tatizo la mwislamu mswahili ndio maana hakuna kinachofanyika zaidi ya perepete.
Kwa sisi Waislamu Watanzania tusiokuwa waswahili hatutafuti majibu, tunatafuta njia.
Lakini mohammed said ameweka mifano mingi ambayo ni factual na imeshindwa kupata majibu, kwa nini ilivyowekwa system ya number idadi ilipanda ghafla? Tena by 40%Katika kusoma kwangu Shule ya Msingi/Socondary/Chuo nimeona ni asilimia chache sana ya wanafunzi wa kiislamu wanao jibidisha sana katika elimu.
Wengi wao nilioona wanafanya vizuri. Yaani top 5 wa kiislamu nao walikua na akili sana kiasi kwamba walikua hawajitumi ukilinganisha na wengine.
Incharge,Lakini mohammed said ameweka mifano mingi ambayo ni factual na imeshindwa kupata majibu, kwa nini ilivyowekwa system ya number idadi ilipanda ghafla? Tena by 40%
Mo...PUBLICATIONS/RESEARCH PAPERS/ARTICLES
The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.
The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press, Nairobi, 2006
Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.
Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.
Uamuzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.
Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No. 1, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam.
Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No.2, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam
Dar es Salaam na Wazalendo Wake Mashujaa Katika Kupigani Uhuru wa Tanganyika Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaaam
Watu Mashuhuri Katika Kuulingania Uislam Tanzania, Sheikh Ilunga, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam
Dola, Kanisa na Tatizo la Udini Tanzania, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam
The School Trip to Zanzibar, Africa Proper Education Network 2020, Dar es Salaam
Rajabu Ibrahim Kirama, Jemadari wa Vita Kuwa Jemadari wa Uislam, Readit, 2020, Dar es Salaam
Sal Davis, An Autobiography, Readit/Amazon, 2023, Dar es Salaam
In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).
Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).
Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)
The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).
Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).
The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).
Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000’ (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15th – 17th 2003).
Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27th February – 4th March 2004).
Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11th April 2004).
Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8th - 10th February 2006).
Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21st Century 1st - 3rd August 2006, Kenyatta University, Nairobi.
Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006 University of Johannesburg.
Tanzania: A Nation Without Heroes Seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September 2013 at IFRA Nairobi.
Awards: Several Awards
Visiting Scholar: (2011)
University of Iowa, Iowa City, USA
Northwestern University, Chicago, Illinois, USA
Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin.
OTHER COUNTRIES VISITED
Zambia, Ethiopia, Great Britain, Swaziland, Msumbiji, Zimbabwe, Zambia, Sudan, Egypt, Saudi Arabia, United Arab Emirates, Oman, Yemen, Uganda, Switzerland, Iran, France, Netherlands, Turkey and Abu Dhabi.
View attachment 2870138
Nilitaka tufahamiane.Mo...
Those are your personal achievement, Kudos
Haya ya ubaguzi wa elimu, yamenipitia hata mimi, na sikuchaguliwa from primary school to Secondary advance lakini na leo hii nina ya Engineering degree ya UK university, haiingii akilini, pia najua sio wote watakuwa na nafasi ya kuweza kujiendeleza niliyopata mimi, lakini, kwa nini tusijendeleze wenyewe na kuwa na institutional zetu wenyewe, maana wenyewe wanazidi kutupita na shule zao nyingi na taasisi zao zinazowawezesha,
kwa zama hizi ambazo tunaweza kujenga ama shule ama vyuo vikuu, tatizo ni nini?
Niambie kuna maombi yeyeto ya kufungua chuo kikuu cha kiislamu au shule bado yapo serikalini bila kutolewa kibali ?
Naona huna hoja unaanza viroja.Mzee unatakiwa uwe Raisi wa hii nchi ili uwakomboe Waislamu.
Maana naona kabisa
Raisi
Mwinyi
Kikwete
Mwinyi wa Zanzibar.
Samia,
aliyeko madarakani hadi leo hawajawahi kuwajali Waislamu.
Na Raisi yeyote ajaye hata wajali Waislamu kamwe.
Gombea Uraisi kwa tiketi ya ACT Wazalendo uwakomboe Waislamu
La sivyo wataendelea kukandamizwa sana na Wakristo.
Wahindu
Wabudha
Wamomoni
Wasabato
Warastafariani
Wapagani
Wa Freemasonry
Nk.
Hawana shida ya kuwadhulumu Waislamu.
Ni Romani Kathoric tu ndio wanao waonea Waislamu na kuwanyang'anya haki zao za msingi Hadi hii Leo.
BAKWATA ifutwe ni chombo cha kuwakandamiza Waislamu.
Tatizo kuu ni Papa wa Roma.
Tubakie na chombo kimoja tu Shura ya Maimamu.
Bunge lifutwe linakandamiza Waislamu.
Baraza la mitihani lifutwe linafelisha Waislamu.
Mahakama zifutwe tuunde Mahakama za Kadhi pekee za kutoa haki kwa Waislamu.
Maamuzi yote ya nchi yafanywe Misikitini.
Mwarabu aheshimiwe sana kupita watu wengine.
Muhammadi abaki kuwa mtume pekee wa Allah.
Watu wote wamwabudu Mungu Mmoja tu Allah.
hajawahi kuzaliwa wala kuwa na mtoto. Wala Hana mshirika.
Asiyekuwa Mwislamu haitakubalika kwake. Ni bora achinjwe.
FaizaFoxy, awe makamu wako wa Raisi.
Hapo nchi itaenda Vizuri sana na Waislamu watapata haki zao za msingi.
Mo...
Those are your personal achievement, Kudos
Haya ya ubaguzi wa elimu, yamenipitia hata mimi, na sikuchaguliwa from primary school to Secondary advance lakini na leo hii nina ya Engineering degree ya UK university, haiingii akilini, pia najua sio wote watakuwa na nafasi ya kuweza kujiendeleza niliyopata mimi, lakini, kwa nini tusijendeleze wenyewe na kuwa na institutional zetu wenyewe, maana wenyewe wanazidi kutupita na shule zao nyingi na taasisi zao zinazowawezesha,
kwa zama hizi ambazo tunaweza kujenga ama shule ama vyuo vikuu, tatizo ni nini?
Niambie kuna maombi yeyeto ya kufungua chuo kikuu cha kiislamu au shule bado yapo serikalini bila kutolewa kibali ?
Nina maswali mawiliDingi...
Mimi sikusoma MUM.
Maswali yale yalikuwa magumu kuyajibu.
Majibu ya maswali yale yangerejesha machungu mengi na mengine yangesababisha fadhaa kwa viongozi wa Zanzibar walio madarakani.
Kuna mengi Wazanzibari wanataka wayasahau si busara kuwakumbusha.
Siwezi kuwa failure katika historia ya Zanzibar.
Naijua vizuri.
Alhamdulilah.
Sasa analialia nini Hali ya kuwa Kuna maraisi Waislamu wanne na wapo hai na ndio wanao tawala Hadi hivi Leo?Naona huna hoja unaanza viroja.
Angetaka kuwa rais kwani havijuwi vyama vya siasa?
Aisee hii inatisha sana, kama unahoji kuwa Mwinyi, Kikwete na Samia walipaswa kuwapendelea waislamu wenzao, hii inahitimisha kuwa haoni shida jinsi Julius na Benjamin walivyopendelea wakatoliki wenzao.Sasa analialia nini Hali ya kuwa Kuna maraisi Waislamu wanne na wapo hai na ndio wanao tawala Hadi hivi Leo?
Mwinyi
Kikwete
Samia
Mwinyi Zanzibar.
Kwa mujibu wa huyo Mzee na wewe, hawa wote hawauthamini Uislamu.
Maana Bado mnakandamizwa na Wakatoriki.
Na wao wako kimya.
Ndio maana nikasema Waislamu hawata pata haki zao Hadi huyo Mzee awe Raisi.
Na wewe uwe Makamu wake
Maana hawa wote hawafai wanapendelea Kanisa Katoriki tu.
Hayo makorokoro yako bakia nayo nyumbani kwako na hivyo vyuo walivyokupa muda wa kuwadanganya.PUBLICATIONS/RESEARCH PAPERS/ARTICLES
The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.
The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press, Nairobi, 2006
Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.
Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.
Uamuzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.
Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No. 1, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam.
Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No.2, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam
Dar es Salaam na Wazalendo Wake Mashujaa Katika Kupigani Uhuru wa Tanganyika Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaaam
Watu Mashuhuri Katika Kuulingania Uislam Tanzania, Sheikh Ilunga, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam
Dola, Kanisa na Tatizo la Udini Tanzania, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam
The School Trip to Zanzibar, Africa Proper Education Network 2020, Dar es Salaam
Rajabu Ibrahim Kirama, Jemadari wa Vita Kuwa Jemadari wa Uislam, Readit, 2020, Dar es Salaam
Sal Davis, An Autobiography, Readit/Amazon, 2023, Dar es Salaam
In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).
Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).
Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)
The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).
Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).
The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).
Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000’ (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15th – 17th 2003).
Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27th February – 4th March 2004).
Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11th April 2004).
Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8th - 10th February 2006).
Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21st Century 1st - 3rd August 2006, Kenyatta University, Nairobi.
Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006 University of Johannesburg.
Tanzania: A Nation Without Heroes Seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September 2013 at IFRA Nairobi.
Awards: Several Awards
Visiting Scholar: (2011)
University of Iowa, Iowa City, USA
Northwestern University, Chicago, Illinois, USA
Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin.
OTHER COUNTRIES VISITED
Zambia, Ethiopia, Great Britain, Swaziland, Msumbiji, Zimbabwe, Zambia, Sudan, Egypt, Saudi Arabia, United Arab Emirates, Oman, Yemen, Uganda, Switzerland, Iran, France, Netherlands, Turkey and Abu Dhabi.
View attachment 2870138
SUKAH hujui namna ya kusoma na kutafsiri TFSIDA au sarcasm kwa lugha ya malkin ndiyo maana hukumuelewa Che mittoga .Aisee hii inatisha sana, kama unahoji kuwa Mwinyi, Kikwete na Samia walipaswa kuwapendelea waislamu wenzao, hii inahitimisha kuwa haoni shida jinsi Julius na Benjamin walivyopendelea wakatoliki wenzao.
Ila mzee wangu unanifurahishaga sana.Bakwata si waislam?Baada ya EAMWS kuvunjwa ndiyo ukawa Mwisho wa kila kitu.
Serikali na BAKWATA ndiyo wakawa viongozi wa Waislam.