Hatma ya ndoa yangu leo usiku imekuwa hatari kwa maisha yangu

Hatma ya ndoa yangu leo usiku imekuwa hatari kwa maisha yangu

Kweli kabisa l
usifanye maamuzi yoyote ukiwa na hasira au hamaki.

Mbona kuna watu wameoana ndoa za bomani wakati mmoja ni mkristo na mwingine muislam na wanaishi vizuri tu?
Kweli kabisa ila yangu ni tofauti sana kwa sababu alishakubali kubadili bila kushawishiwa na alikataa ndoa mseto yeye mwenyewe alikataa ndoa ya bomani akasema anataka ya kanisani
Sasa Leo kanigeuka ndani ya mwaka mmoja tu nadhani umenielewa
 
N
Pole sana mkuu, ila asilimia kubwa ya wanaobadili huwa wanarudia Dini zao za awali chamsingi ni kukaa na kuelewana new lifestyle tu,maana hapo hajaamua leo ni maamuzi ya muda mrefu sema ilikuwa bado tu kukwambia
Nakubaliana na wewe asilimia mia na akili inanijia nijitoe taratibu
 
Ingekuwa were ungekubaliana na msimamo wake au ungefanyaje HEBU JARIBU KUVAA VIATU VYANGU then utoe uamuzii
Hapo mimi ningekubaliana nae na suala la yeye kurudi kwenye Dini yake so long unataka uendelee kuisha nae kama Mkee muache aamue hivyoo..!! Mbaki mnalea watoto wenu na wao waamue sehemu ya kufata tatizo wewe hilo hutakii.... Kama hutaki bhasi achana nae OA mwingineee bhasi ilaa Kumfanya arudie Ukristo SAHAU...SAHAUU...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ndio ukweli kua Dini ya kweli niuislamu, muache arudi kwenye dini ya kweli na pia nawewe nakushauri uende kwenye dini ya kweli ili mfunge ndoa ya kiislamu maisha yaendelee na kama hutaki mwache aende zake atapata muislamu wakumuoa kwa sababu hakuna ndia ya mwanamke muislamu na Mwanaume mkristo, akibaki na wewe atakua anazini tu hapo na anapata dhambi kwa hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji848][emoji848][emoji848] soma tena ulicho andika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuuu
Hapo hakuna busara zaidi ya kutua mzigo tu katika Sheria ya Kiislam hakuna ndoa kama hiyo na huyo binti ajielewi tafuta mkristo mwenzio maana mkiendelea kuishi pamoja itakuwa mnazini tu

Ila ukiamua kusilimu itakuwa bora zaidi maana Sheria ya kiislam hairuhusu Mwanaume wa Kikristo kuowa Muislam lakini kinyume chake inakubalika

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
makosa hayo! unamfundisha mkeo all applications za cmu, unamfundisha utundu wa cmu ama computer ujue yatakugeuka.
wewe kaa naye muulize je watoto wataishi namna gani , atawalea vipi? otherwise wokovu ni wa mtu mmoja mmoja kama kachangua hilo tena allingia na kachomoka isikutie shida zidi kumpenda! usumkashifu hata siku moja. tena uwe unamhimiza awahi msikitini!!, afunge, avae kama ninja gubigubi. wewe endelea na imani yako. Hamjui Mungu ana mpango gani! na mwisho mwambie yeye si mwislam basi akuruhusu mitala!! uone atakavyorusha ngumi!
 
Endelea na maisha hizi dini zilikuja tu..kama mke ameridhia ubaki na dini yako na yeye yakwake sioni shida yoyote.

Hizi dini hazipaswi kutuvuruga, mpende mke wako weka mipango yamaisha msonge mbele mimi binafsi nipo dini tofauti na mke wangu ila tumekubaliana kuishi kwa kila mtu kuheshimu imani na mamlaka ya mwenzake na dini isichukuwe mahali pa kwanza kuliko upendo wetu na watoto.

Watoto tumekubaliana wawe upande wangu ambapo siku sipo mama anawapeleka kwenye ibada na kuwachukuwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HAPO NDOA HAKUNA...MWAMBIE HUYO DADA KAMA AMETUBU KWELI AACHANE NA WEWE...KAMA BADO MNAENDELEA KUISHI HAJATUBU KITU...MWAMBIE AACHANE. NA WEWE NA ARUDI KWAO..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mwambie anakurahisishia kazi ya kuoa mke wa pili kwa kuwa hiyo imani anayotaka kurudi inaruhusu kuwa na mke zaidi ya mmoja.
 
PILI KIIMANI IKOJE TENA HII NDOA BAADA YA MWENZANGU KUAMUA HIVYO

Kiimani tayari ni taabu!.
Ni Taabu kweli usome shule ya Kiisilamu na Jina la kiisilamu alafu usihirki ibada husika. Vitu hivi anaweza kufanya extra ordinary human being tu.

Kuna mambo ya msingi unafaa uyawazue.
1.Malezi ya watoto Kiimani
2.Utayari wa wewe kuendelea na Maisha huku yeye akibaki na Imani yake. Maana yeye hana shida.
3.Madhara yatokanayo na kushindwa kwako kukubali.
4.Je Sababu alizotoa ni ya msingi?
5.Je kuna Jambo zaidi ya hizo sababu?
. 2008 hadi leo 10 Yrs.
 
hhh...hapo sjajua sasa ila nilichogundua ni kwamba watu wanaabudu dini badala yakuabudu Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app


I have evidence na ndiyo maana nimesema hivyo. Nimesoma historia ya Mohammad na kukuta vingi vya hajabu dhidi yake mpaka nashangaa kwanini watu wanashindwa kujiuliza uhalali wa huyu mtu kuwa nabii. Jamaa alikuwa kama R. Kelly....yaani mbakaji, pedophile, muuaji, muongo, na sifa zote mbaya alikuwa nazo yeye which makes me believe kuwa wafuasi wake nao walikuwa useless kwani waliamini kila uwongo wake na kuja kumuita nabii. Walishindwa hata kujiuliza au walikuwa wanaogopa kuchinjwa kwa sababu ndivyo alivyokuwa anawafanyia watu waliokataa kumtambua yeye kuwa nabii kutokana na hizo sifa tajwa hapo juu. Jamaa alikuwa mtata sana.
 
I have evidence na ndiyo maana nimesema hivyo. Nimesoma historia ya Mohammad na kukuta vingi vya hajabu dhidi yake mpaka nashangaa kwanini watu wanashindwa kujiuliza uhalali wa huyu mtu kuwa nabii. Jamaa alikuwa kama R. Kelly....yaani mbakaji, pedophile, muuaji, muongo, na sifa zote mbaya alikuwa nazo yeye which makes me believe kuwa wafuasi wake nao walikuwa useless kwani waliamini kila uwongo wake na kuja kumit nabii. Walishindwa hata kujiuliza au walikuwa wanaogopa kuchinjwa kwa sababu ndivyo alivyokuwa anawafanyia watu waliokataa kumtambua yeye kuwa nabii kutokana na hizo sifa tajwa hapo juu. Jamaa alikuwa mtata sana.
dini zimeharbu sana watu kwa kuamin vitu vya ajabu ajabu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo mimi ningekubaliana nae na suala la yeye kurudi kwenye Dini yake so long unataka uendelee kuisha nae kama Mkee muache aamue hivyoo..!! Mbaki mnalea watoto wenu na wao waamue sehemu ya kufata tatizo wewe hilo hutakii.... Kama hutaki bhasi achana nae OA mwingineee bhasi ilaa Kumfanya arudie Ukristo SAHAU...SAHAUU...

Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo kwamba sitaki nachotaka ni kujua what behind ya yeye kuamua hivyo je ni yeye mwenyewe au Luna forces ya kuamua hivyo coz Leo hii ijumaa kaja na swaga nyingine sasa sijui ni kunitia moyo au laaa
 
I have evidence na ndiyo maana nimesema hivyo. Nimesoma historia ya Mohammad na kukuta vingi vya hajabu dhidi yake mpaka nashangaa kwanini watu wanashindwa kujiuliza uhalali wa huyu mtu kuwa nabii. Jamaa alikuwa kama R. Kelly....yaani mbakaji, pedophile, muuaji, muongo, na sifa zote mbaya alikuwa nazo yeye which makes me believe kuwa wafuasi wake nao walikuwa useless kwani waliamini kila uwongo wake na kuja kumuita nabii. Walishindwa hata kujiuliza au walikuwa wanaogopa kuchinjwa kwa sababu ndivyo alivyokuwa anawafanyia watu waliokataa kumtambua yeye kuwa nabii kutokana na hizo sifa tajwa hapo juu. Jamaa alikuwa mtata sana.
Is a problem aisee so NIFANYEJEE
 
Back
Top Bottom