Mwagito84
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 235
- 709
Ulipochemka ni kumpeleka kwenye shule ya kiislamu. Hapo kaanza kupigwa msasa wa dini upyaaaaaaaaa. Ulianzaje kumpeleka hapo bro sasa? Anyway ndo ishakuwa. Ila anaposema labda umeache wewe hapo napo kuwa macho. Cha kufanya sasa tuliza mpira kabisaa. Hizi dini tumezikuta zisituletee shida. Kwani ungezaliwa SaudArabia hata wewe ungekuwa muislam. Muache tu maisha yaendelee majibu utayapata kama kuna ustaz kampata anamtaka Muda utakupa majibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app