City Of Lies
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 4,925
- 6,137
Penda kwa akili.Upendo hauchagui dini kama walipendana wakiwa dini tofaut sidhan kama wanatakiwa waachane kisa dini.
Dini isiingilie Ndoa ya mtu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Penda kwa akili.Upendo hauchagui dini kama walipendana wakiwa dini tofaut sidhan kama wanatakiwa waachane kisa dini.
Dini isiingilie Ndoa ya mtu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi atakuwa amekutana na ustadhi Jaribu amempiga piston za maana mtoto kakolea kaona kama vipi arudi kundi alipotoka ili aendelee kupata utamuNakuambia amehudhuria kanisani miaka kumi na kubatizwa kabatizwa sasa nashindwa elewa na nimemwuliza uko serious akaniambia hawazi kurudi nyuma coz amepretendi mda mrefu dini ya kweli in uislam pekee hakuna nyinginee
Umeandika kwa utukufu wa hali ya juu mtumishi wa bwana......1. Ndugu yangu ni lazima kabisa ukubali kuwa ulikosea kwa kuoa mtu asiyekuwa wa imani yako. Msifungwe nira pamoja na wasioamini kwa maana kuna ushirika gani kati ya wasioamini na walioamini.
2. Kuishi wilaya tofauti nayo ni issue iliyochangia kwa asilimia 100% kwasababu kama mngekuwa mnaishi wote mnalala wote na mnaamka wote na mnasali wote usiku na asubuhi sidhani kama yangefikia hapo.
3. Inaonekana pia unashida katika imani, si mtu aliyemlingana Yesu kisiawasawa. Ni wale wa tia maji tia maji yaani bora mkristo tu jina. (Kumbadili mtu kutoka uislam kwenda roman huyo asilimia 99.9 atarudi tu dini yake, most of roman hawako serious na kuabudu, sorry kwa kauli hii. Lakini ndio ukweli wenyewe). Ukristo ni maisha halisi ya kila siku na kama wewe ungekuwa mtu uliyezama kwenye imani kwa Kuishi maisha ya msimamo wa kristo kwa maombi, kusoma neno kila siku na familia yako, na kuwa mfano kwa matendo mema , haya singetokea)
4. Kama ni mkristo halisi anayeishi maisha ya wokovu haswa, basi kuna mambo mawili, mosi-ni jaribu lako na unajua pa kulipeleka na si kulileta hapa jf maana hapa utapata stress tu, pili-kuna sehemu hukutimiza majukumu yako ya kiimani hadi mkeo akaona kuna gap and so hakuna haja ya kuendelea huku wakati kuna mambo anapungukiwa kiimani.
Ushauri:
Hakunq haja ya kuumiza kichwa kuhusu mkeo, zidisha mapenzi juu yake. Kama hujaamini haswa haswa, for the sake of your children tafta mchungaji aanze kukulea kwa kukufundisha jinsi ya kuomba. Baada ya hapo funga na kuomba kwa ajili ya mkeo bila hata yeye kujua maana hiyo ni vita ya kiroho kwa hiyo unatakiwa upigane kiroho. Ukifanya kwa uaminifu, matokeo utayaona baadae.
Sent using Jamii Forums mobile app
Oa mwingineLabda kwa kuanza tu niwasalim wote na nawaomba muwe miongoni mwa mtakaookoa nafsi yangu iliyojaa MAUMIVU YASIYO NA KIFANI
NILIANZA KUISHI NA MKE WANGU HUYU 2008 KABLA YA NDOA NA TUKABAHATIKA KUPATA WATOTO WAWILI NA MWAKA 2018 JANUARY TUKAAMUA KUBARIKI NDOA
NA KILICHOKUWA KINACHELEWESHA NDOA ILIKUWA DINI TOFAUTI MIMI NI MKRISTO YEYE NI MWISLAM ILA MWISHO ALIAMUA KUBADILI DINI MWANZONI MWA MWAKA 2009 NA TUKAWA TUNAHUDHURIA IBADA PAMOJA NA WANETU MPAKA January HII NA TUPO MKOA MMOJA LAKINI WILAYA TOFAUTI
POINT YA USHAURI HII HAPA NAOHITAJI KWENU WAUNGWANA
LEO USIKU HUU KANIAMBIA ANARUDIA IMANI YAKE KWA KINA NA ANAHUDHURIA IBADA NA MAADILI YOTE YA IMANI YAKE (Islamic) NA HAKUNA WA KUMRUDISHA NYUMA TENA
ILA PIA ANAKIRI KURUDI KWENYE IMANI YAKE HANA MAANA KWAMBA HANIPENDI ANANIPENDA NA ATAENDELEA KUNIHESHIMU KAMA MUME WAKE NA PIA HATAACHANA NA MIMI LABDA MIMI NITAKAPOAMUA KUMUACHA
NA PIA NAENDELEA KUNIAMBIA AMESHAOMBA TOBA KWA MWENYEZI MUNGU AMSAMEHE MADHAMBI YAKE YOTE ALIYOTENDA KWA KIPINDI CHOTE ALICHIMCHANGANA NABII ISSA NA MUNGU
HAKUCHOKA WALA KUISHIA HAPO ALIENDELEA KUNIAMBIA NIMSAMEHE KWA MAAMUZI HAYO NA MAISHA YAENDELEA KAMA KAWAIDA NA PIA ALIFANYA NDOA KUWEZA KUTURIDHISHA MIMI NA NDUGU ZANGU
JAPO ANASEMA JAMBO HILO ANAAMINI HALIWEZI VUNJA UHUSIANO WETU NA HATA AKIBAKI KATIKA IMANI HII ATAENDELEA KUPRETEND AMBAVYO YEYE HATAKI KUPRITEND NA NILIOGOPA KUKUAMBIA MDA ILA LEO NIMEAMUA KUKUAMBIA TU
NA HAYA YOTE YANATOKEA BAADA YA KUMPELEKA KWENYE SHULE KURISIT MTIHANI WAKE WA KIDATO 4 KATIKA SHULE ZA KISLAM
SASA NAOMBA MNISHAURI NIFANYE NINI KWA KUWA NAONA KAMA MOYO UNATOBOKA SIJAPATA USINGIZI TOKA NILIVYOJARIBU KULALA SAA 2 YA LEO
PILI KIIMANI IKOJE TENA HII NDOA BAADA YA MWENZANGU KUAMUA HIVYO
Je kuna umuhimu wa kuendelea na mipango ya maisha ya pamoja mfano tulikuwa tumenunua viwanja vitatu na kimoja nimeandika jina langu viwili majina ya watoto na pia kiwanja kimojawapo tumeshaanza ujenzi na nilipanga kumalizia nyumba yetu mwezi Wa nne je kuna umuhimu wa kufanya hivyo ??
NB SIKUWEZA KUAMINI YALIYOTOKEA KWA KUWA YEYE ALIBADILI NA KUWA MKISTO BILA KUSHAWISHIWA NA MTU YEYOTE NA KWA KWELI TULIPENDANA NA NAWAPENDA SANA YEYE NA WANANGU
Labda kwa kuanza tu niwasalim wote na nawaomba muwe miongoni mwa mtakaookoa nafsi yangu iliyojaa MAUMIVU YASIYO NA KIFANI

mkuu chukua hao viumbe wadogo, hao ni damu yako, kaa unauhakika wewe ndio babaAsante sana vip kuhusu wapenzi wanangu ndugu
kwani mkikaa kila mtu na dini yake nini kina haribika???huu ukoloni wa kikristo na uarabu usikufanye upoteze dira ya watoto mkuu,hakuna mwanamke atakulelea hivyo viumbe kama mama yao,usicheze kabisa na familia yako,halafu imani ya mtu ni kama majira tu utaamini huku mwaka huu mara mwaka mwingine unaamini kwingine pia ni kama ilivyoanza Roman catholik mara ikaja Anglican,moravian na wengine wengi,la msingi hapo ni kuangalia malezi ya wanao achana na hizo imani mfu kwani ww ni padri???tunza familia yako mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah mkuu umenichekesha lakini katikati ya mistari yako naona mna points za maana.Wenzio tunasubiriaga penati kama hizi tuvunje ndoa wewe bado unataka ushauri JF. Wakati ni huu usizubae! Watoto wana shida gani, wewe si ndio baba yao? Tatizo lipo wapi? Unakwama wapi Mr. Woga=Umaskini?
** piga chini fasta, kakamate mwanakwaya uendelee kufurahia maisha.
Ndoa tayari kabatizwa na wanangu wameshabatizwa tatizo sijajua analenga mini amepanga niniHapo ndoa imeshavunjika mnaishi kama wazazi mnaojamiiana...kama bado mnapendana ni vema mkaendeleza hayo mahusiano hizo dini zisiwe chanzo cha kutengana ..cha msingi kama unataka watoto wako wafuate dini yako wawahi mapema kuwabatiza na kuwapa mafundisho yatakayobase katika dini yako
Au kama vipi kama wewe ni RC na mnataka kuishi katika kumpendeza Mungu kafungeni mseto..kila mmoja abaki na imani yake huku mkiendelea kulisongeza gurudumu la maisha pasipo kila mmoja kumkwaza mwenzie
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa hata Mimi mipango yote ya maendeleo nimestopisha nina milioni 20 hapa ambazo tulipanga tuzifanyie maendeleo lakini sasa sifikiri tena hivyo.NAFIKIRI NIIFANYIE NINI COZ IPO TUSasa kama aliweza kukuigizia kwenye imani, una uhakika gani kuwa hakuigizii kuwa anakupenda?!
Pengine anakutengenezea mazingira ili kuna kitu au mambo ya kamilike apite hivi........
Jihadhari sana na mwanamke mwenye hila.....huwa maamuzi yao yanapoteza direction ya maisha na kuvuruga mipangilio......
Sent using Jamii Forums mobile app
ntumie hyo hela nkutunzie mkuu mkshaelewana utaikutaKwel
Kweli kabisa hata Mimi mipango yote ya maendeleo nimestopisha nina milioni 20 hapa ambazo tulipanga tuzifanyie maendeleo lakini sasa sifikiri tena hivyo.NAFIKIRI NIIFANYIE NINI COZ IPO TU