Hatma ya ndoa yangu leo usiku imekuwa hatari kwa maisha yangu

Isitoshe uisilam pia hauruhusu kuishi bila ndoa,huyo anakutingisha tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Haujafafanua MKUU si ndo maana napata shida kuamua coz labda baada ya kuachana na Mimi ataolewa au labda ameamua kuishi mwenyewe endapo tutaachana au pengine ananipima tu imani ila kunipima imani hapana kwa msg zake zinatishaaa
 
Mkuu I beg to differ- katika watu ambao hawabadiliki na wana misimamo ni wakatoliki. Labda unaongelea a few exceptions uliokutana nao.

All in all Dini si chanzo cha kuvunja ndoa ila kama halijazungumziwa kwa kina wakati wa uchumba laweza kuwa chanzo kikubwa cha mvutano.

Ni mara mia kila mtu awe wazi tangu mwanzo kuwa mimi katika mambo nisiyoweza kucompromise ni kadha wa kadha ( mwingine ni dini mwingine ni watoto mwingine ni eneo la kuishi nk) . Ila kwa kuwa tunakimbilia ndoa bila kuweka misingi hii inakuwa tabu baadae kuexpress haya maana tunakuwa tushafungwa na watoto. Namshauri asivunje ndoa maana madhara kwa watoto ni makubwa.
 
Ndugu siyo rahisi labda huko shuleeQUOTE="rikiboy, post: 30067592, member: 417027"]Huyo anakuchora tu na lazima kuna mtu kashawishi hasa ndugu zakeee...!!

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]
Ndugu
 
S
Poleni sana, hili msipolitatua sasa hivi litawatesa sana baadae. Welfare ya watoto iwe kipaumbele lakini hapo ndoa hakuna.
Sky Eclat NAFANYAJE SASA NA KWA KWELI WATOTO NDO NAUMIA NAO NAJIULIZA NITAWAAMBIA NINI KESHO NA KESHOKUTWA
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],
Umenikumbusha jamaa angu aliniambia mwaka wa 2 unaenda wa 3 anatafuta sababu ya kumtimua mkewe sababu ya ugumu wa maisha lkn wapi, anasema eti ndio anazidi kua mzuri, mpolee na hekima kwa sana sio mjeuri kama zamani...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uzi ulitakiwa uishie hapa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msipokuwa makini dini zitawvuruga sana, mwache aendelee na dini yake kwani tatizo nini mzee, cha msingi hapo mjadili mustakabali wa watoto, mara nyingi wanawake wanaobadilishwa dini huwa hawako stable kwenye hiyo Iman mpya sababu ya kukosa misingi. Ni vizuri ukamwacha aendelee na dini yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hizi dini bwana basi tu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi dini hizi!! Mnapendana, dini inakuaje kikwazo na tayal mna watto 2? Ebu kaeni kila mmoja afuate dini yake mm naamini ndoa ni upendo na kua na watoto. Acheni ujinga jaman. Mbona kijjn kwetu mke ana dini yake mme kichwa chake ndo dini yake na wanaishi vema? Watu wa pwani mnakwama wapi? Una mke na watoto afu unasema huna ndoa? Kwani ndoa ni mavyeti na mihuri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…