Hatma ya Shilole mikononi mwa BASATA



Wewe unaangalia miguuni pako , angalia mbele
Basata wataanza kumfungia huyo pimbi mwenzako, wakimaliza kova atakuwa ameshakughulikia kwa udanguro wako.

Nikuone wivu kwa kujidhalilisha. :what:
 
Mkuu unajua unanishangaza jinsi unavyo changia huu mjadala!
 

Wivu upi umuonee yeye n kma maisha kila mtu anamaisha yke huyo mkaa uchi akili zke n nuhu zimefanana......ukisikia anahojiwa redioni ndio utajua akili zke n matope full pumba tupu mara ntafanya kolabo n jlo,mara ntagombea ubunge igunga.
Kumtetea shilole nikujitoa ufahamu ila sifa zake zitampeleka pabaya n mziki hajui kuimba zaidi y kupiga kelele tu
 
Nitashangaa endapo shelole ataadhibiwa kwa uchafu alio uwonyesha nje ya nchi wakiacha uchafu unaofanywa kila siku na vibinti vya ki tz ndani ya tz kupitia vikundi vyao vya muziki.
Kila siku ukifunguwa tv za tz utaona vibinti viko uchu ukienda ktk kumbi za muziki ndio kabisaa watt wakike wako uchu ivi hao basata huwa hawaoni uchafu huu?
Lakini chakujiuliza hata basata wakichukuwa hatua kwa vibinti vineguaji vya kitz ninani atachukuwa hatua kwa wanamuziki wa nje ambao wao uchi kwao ni sehemu ya ile tundu tu?
 
Jamani Basata hilo ni uonevu huo ni mwili wake ana haki ya kuutumia anavyotaka mmemuona Shilole tu, kigodolo hamjakiona mpaka mnamuadhibu shilole!

Kigodoro hawana usijali na basata
 
Kigodoro hawana usijali na basata

Tunazungumzia maadili ya nchi, kwa hiyo wengine kwa sababu hawana usajili wa basata ndio wasifuste maadili ya nchi yao, basi huo ni upuuzi na vigodoro kwani sio sanaa.
Sema basata labda walinyimwa .....
 
we nuhu hebu kanyonye kwanza
wakubwa tunaongea

Kumbe wewe wa long (mzee) ndio maana umepitwa na wakati sasa hivi hii karne nyingine, ngojea jua litoke wajukuu wakutoe nje uote jua.
 
hhhahaaa nuhu vituko vya english hadi jf

Ulitaka nikaongelee wapi english, tuache tufanye vyetu maisha yanaenda vizuri, Mungu katujaalia lazima tuzitumie rasilimali zetu, wewe kaa hivyo hivyo tuache tuliobarikiwa.
 
Siachani nao ng'o acheni mambo yenu ya kale Tanzania ya leo sio ya zamani na dunia nzima tunaenda na wakati huu ni utandawazi ndugu wacha ushamba.

Ni nsima!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…