Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena swala ni faradhi ya lazima kuoa ni Sunnah tu ila wanaoa hao kuliko ibada za msingi !!!Kwa mwaka ndoa mbili? Hii sunna ya kuoa waislam wanaipenda kuliko kuswali
BhusangileBhujiku ng'waka!
Duh!Kwa mwaka ndoa mbili? Hii sunna ya kuoa waislam wanaipenda kuliko kuswali
Mtakuwa mnatumia vidonge vya uzazi?Hata peponi tutaoa pia huku nyinyi mnaimba mapambio sisi tunaburidika na warembo wazuri wazuri na nguvu ya tendo tutaongezewa hamna haja ya Mkongo kule
😀😀Manara amekuwa mkombozi wa wanawake...
Kwa spidi yake hii ya kuoa basi wanawake wengi watajikuta wanaonja ladha ya ndoa kabla ya kuingia ahera.
Tatizo anaoa anaacha
Nahene guku.Bhujiku ng'waka!
Fweza inaongea muzee....Huyu nae kwa kuoa oa tu hajambo..😂😂
Bado tu Manara amuoe Dida, labda wanaweza kutuliaManara kama Dida, wanashindana tu kuingia kwenye ndoa.
Utajiuliza wanaume singo hawapo au?Ila wanawake nimewapigia saluti duh aisee
Haya sasa ndio matumizi sahihi ya pesa...kuongeza wake sio kununu magari ya mil500. Hongera zakeHattrick sio mpirani na Ndoani pia ipo.!! ndivyo unavyoweza kusema baada ya Haji Manara Leo kuongeza mke mwingine wa 3 bint anaitwa Rushaynah Athumani.Kumbuka.
Kwa utamaduni wa kiafrika walizoishi mababy zetu na kwa dini ya kiislam inaruhusiwa kuoa hata wake wanne kwa sababu wanaume wengi hasa sisi waafrika hatutosheki na mwanamke mmoja,
Huwa nashangaa huku kwengine maandiko yameruhusu kuongeza mke na hata manabii waliishi na wake zao kwa baraka zote za mwenyezi Mungu lakini ajabu siku hizi viongozi wa dini wanawabana wanaume kuoa mke mmoja tu kwa kuyapiga sarakasi maandiko, matokeo yake wanaume hawa waliobanwa wanazini nje ya ndoa kwa kuongeza michepuko ambayo wengine wamewapangia nyumba na watoto wamezaa nao.
Ni heri kuongeza mke kuliko kuzini na michepuko.
View attachment 2369152
View attachment 2369154
we jamaaaaa[emoji38][emoji38]Hata peponi tutaoa pia huku nyinyi mnaimba mapambio sisi tunaburidika na warembo wazuri wazuri na nguvu ya tendo tutaongezewa hamna haja ya Mkongo kule
Sunna ya kamseleleko 😀😀Kwa mwaka ndoa mbili? Hii sunna ya kuoa waislam wanaipenda kuliko kuswali
Hela yako tuWaungwana nipeni mbinu za kumpora uyu mtoto kwa manara[emoji16][emoji16]View attachment 2369464