Hatua 5 wanazopitia watu walioko kwenye mahusiano

Hatua 5 wanazopitia watu walioko kwenye mahusiano

majam19

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2024
Posts
900
Reaction score
971
HabarinI ndug zangu
Leo nimekuja na mada inayowahusu watu waliopo kweny ndoa au waliopita kweny ndoa

Katika mahusiano Kuna hatua 5 kutonakana nadharia ya (chall Chapman).
Je? Wew ulio katika stage ipi kati ya hizi

1.romantic stage;hii ni hatua ya kwanza katika mahusiano yanapozaliwa na kumpenda mtu pasipo kujali ana changamoto gani
*Awe mlevi
*Mfupi
*Kibonge mayele
*Mvuta bangi,sigara n.k

2.power-strugle;hii ni hatua ya pili katika mahusiano hapa inaanza kuyaona madhaifu ya mwenzio na kuhisi anamabadiliko ambayo mwanzo hukuyaona na pengine uliyaona ila kwavile ulikuwa romantic sana hukujali

3.stability stage;hii ni hatua ya 3 baada ya kuona madhaifu ya mwenzio na mabadiliko ya baadhi ya mambo ambayo hukutegea kuyaona kwake hapa mahusiano na ndoa nyingi hufa sababu ya kushindwa kustahimili madhaifu ya mwenzio na wapo wenye kuyavumilia maisha yaendelee

4. commitment stage; katika hatua mtu anakuwa yupo tayar kuishi na madhaifu ya mwenza au mchumba baada ya kuyajua madhaifu na mambo ya tofaut ambayo ameyaona Kisha kuamua kusonga mbele

5.recognation stage;hapa mnaishi as a team work Bali kujali nn kilitokea hapo nyuma na kufurah bila kujali madhaifu ya mwenzio awe
*Mchafu
*Mlevi
*Dini tofauti na wew
*Hana shepu Wala sura mzur
*Hana kizazi
*Wazaz hawampendi
Madhaifu ni mengi yanaweza kujaa mlima ila yote uliyameza

Je? Unafikiri ndoa Yako uliipata katika hatua gani kati ya hizi
Mahitaj maona ya watu wanao jitambua tuuh hapa watoto mnao kataa ndoa sitaki
 
FB_IMG_17413445631219526.jpg
 
Mfupi na Kibonge sio Changamoto unge edit hapo kwanza,

Je? Unafikiri ndoa Yako uliipata katika hatua gani kati ya hizi?

Swali lako kama halijasomeka hivi? Lakini mimi nimeona umeainisha vizuri hatua za mahusiano ambayo wengi/wote hupitia, naona wengi huishia hatua ya 2 wanachapa lapa
 
Mfupi na Kibonge sio Changamoto unge edit hapo kwanza,

Je? Unafikiri ndoa Yako uliipata katika hatua gani kati ya hizi?

Swali lako kama halijasomeka hivi? Lakini mimi nimeona umeainisha vizuri hatua za mahusiano ambayo wengi/wote hupitia, naona wengi huishia hatua ya 2 wanachapa lapa
Kibonge sijakosea bhna izo nmetolea mfano tuu ujawahi kukutana mdada yupo kweny mahusiano ila sababu ya muonekano wa mpenzi wake basi hayadumu
 
Kwahyoo hapo ili uweze kupona nakudumu kwenye ndoa inabid ui flip stages uanzie chini kwenda juu
 
Back
Top Bottom