mwekwa ntandu
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,526
- 3,756
hapo utakuta unaishi kwa dada yako huchangii umeme,huchangii chakula wala huchangii bili ya maji na ikifika usiku unalala sebuleni kama baiskeli,asubuhi ukiamka unafuta remote iko wapi ya tv ya chogo upotezee muda AFU BADO UNASHABIKIA VITA,nonsense kabisaNaona mashoga fc wamevamia uzi washaanza kuweweseka.
PUTIN endelea kuwasafisha mtaro mpaka wanyooke
Naona umetaja mashoga wenzako. Wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja si ndio huitwa mashoga au nakosea ?Utakuwa unawashwa ww. Hakuna habari ya jinsia moja kwenye comment yangu hapo
Ww mpuuzi kweli Ukraine si ndio yupo na mashoga menzie ambayo ndio yanachakatwa sasaNaona umetaja mashoga wenzako. Wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja si ndio huitwa mashoga au nakosea ?
Mimi au nyie timu upinde?Mkuu ulipatwa na nini hadi ukaanza kushiriki mapenzi ya jinsia moja ?
China huyu alietishwa na Nancy PelosoIla kumbuka china nae yupo
Wamalizane maana tumechoka; ila, mapigano yameongeza globallySo tumeambiwa vita kuu ya tatu ya dunia inaanza 2023? Tuisubiri tu ianze