Hatua mpya za NATO dhidi ya Urusi

Hatua mpya za NATO dhidi ya Urusi

Mtazamo mpya wa NATO ni kwamba, ili amani irejee katika huu mzozo, ni lazima Putin akatishwe tamaa kabisa kwamba hataweza kuidhibiti Ukraine kabisa, kwa kumuongezea Ukraine msaada zaidi wa silaha.

Katibu wa NATO anaamini hiyo ndio njia bora ya kumshawishi Putin aone anachokihitaji ni kama mlima mkubwa ambao hataweza kuupanda, na hivyo aachane na vita.

=====================

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kujihami ya NATO, Jens Stoltenberg ametoa wito wa kupelekwa silaha zaidi nchini Ukraine. Katika mahojiano yake na shirika la habari la Ujerumani, DPA, Stoltenberg amesema msaada wa kijeshi kwa Ukraine ni njia ya haraka ya kupatikana kwa amani. Amesema Rais wa Urusi, Vladimir Putin anapaswa kushawishiwa kwamba hatoweza kufanikiwa katika lengo lake la kuidhibiti Ukraine. Ameongeza kusema kuwa kila nchi ina haki ya kujilinda. Kwa mujibu wa kiongozi huyo wa NATO, panaweza kuwepo suluhisho la mazungumzo ya amani kuhakikisha kwamba Ukraine inashinda kama taifa huru la kidemokrasia. Stoltenberg ameweka wazi kwamba anayachukulia mashambulizi ya hivi karibuni ya Ukraine dhidi ya maeneo ya kijeshi nchini Urusi kuwa halali.

DW
Tupambane kufa na kupona kujiweka sawa tusikumbwe na athari za hiyo vita
 
Ila hii vita nikiangalia raia , wanajeshi wanavyokufa Pande zote mbili nikija kuangalia Na sababu iliyopelekea vita yenyewe inasikitisha Sana

Hakukuwa Na haja kabisa YA watu kufa kiasi hichi.
Kweli kabisa aisee, dunia tuliyopo sasa, vita sio njia inayopaswa kutumika kwa vyovyote vile 🤝
 
Mtazamo mpya wa NATO ni kwamba, ili amani irejee katika huu mzozo, ni lazima Putin akatishwe tamaa kabisa kwamba hataweza kuidhibiti Ukraine kabisa, kwa kumuongezea Ukraine msaada zaidi wa silaha.

Katibu wa NATO anaamini hiyo ndio njia bora ya kumshawishi Putin aone anachokihitaji ni kama mlima mkubwa ambao hataweza kuupanda, na hivyo aachane na vita.

=====================

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kujihami ya NATO, Jens Stoltenberg ametoa wito wa kupelekwa silaha zaidi nchini Ukraine. Katika mahojiano yake na shirika la habari la Ujerumani, DPA, Stoltenberg amesema msaada wa kijeshi kwa Ukraine ni njia ya haraka ya kupatikana kwa amani. Amesema Rais wa Urusi, Vladimir Putin anapaswa kushawishiwa kwamba hatoweza kufanikiwa katika lengo lake la kuidhibiti Ukraine. Ameongeza kusema kuwa kila nchi ina haki ya kujilinda. Kwa mujibu wa kiongozi huyo wa NATO, panaweza kuwepo suluhisho la mazungumzo ya amani kuhakikisha kwamba Ukraine inashinda kama taifa huru la kidemokrasia. Stoltenberg ameweka wazi kwamba anayachukulia mashambulizi ya hivi karibuni ya Ukraine dhidi ya maeneo ya kijeshi nchini Urusi kuwa halali.

DW
Kuna watu hawajui kuwa NATO walianza kupeleka silaha ukraine tangu mwaka 2014 na walikuwa wanawafundisha wanajeshi wa ukraine. Waliweka mkataba wa amani wa Minsk hiyo 2014 na 2015 ili kuipa nafasi ukraine kujiandaa kwa vita!!

Kwa hiyo tishio la kupeleka silaha ukraine siyo habari, maana zimepelekwa tokea muda huo! Lengo lilikuwa vita vikianza urusi iwekewe vikwazo lukuki vya kiuchumi na waliamini urusi hataweza kustahimili vita huku akiwa kwenye vikwazo vya kiuchumi!!! HAPO NDIPO LEO WANAONA WALIKOSEA MAHESABU!!! URUSI HAIJAATHIRIKA NA VIKWAZO KINYUME CHAKE NCHI ZA NATO NDIO ZIMEATHIRIKA SANA KIUCHUMI NA BADO URUSI IMEWEZA KUPIGANA VIZURI BILA KUATHIRIWA NA VIKWAZO!!
 
Ila hii vita nikiangalia raia , wanajeshi wanavyokufa Pande zote mbili nikija kuangalia Na sababu iliyopelekea vita yenyewe inasikitisha Sana

Hakukuwa Na haja kabisa YA watu kufa kiasi hichi.
Kwa hiyo unadhani sababu iliyopelekea vita ni nyepesi sana ukilinganisha na madhara ya mauaji? Nikuulize: Je ukijua kuwa kuna nyoka kajificha karibu na mlango wa nyumba yako labda kulikuwa na mazagazaga fulani hapo, je utaweza kulala kwa amani?? Ujue NATO kuingia ukraine ni sawa na nyoka kuwa kwenye mlango wa urusi! Unajua kwa nini?
 
Mzee Putin hana ujanja tena, hii Vita hataweza kushinda.
Mtu keshaweka mfukoni majimbop manne tayari na mpinzani wake kila leo anategemea omba omba ya silaha na fedha za NATO halafu unasema hawezi kushinda wakati keshashinda tayari! Ni kama vile Rwanda ikatushambulia halafu ikateka b kagera, kigoma, mwanza na shinyanga na kuzifanya kuwa sehemu ya Rwanda, halafu sisi tudai kuwa Kagame hatashinda eti kwa kuwa tunategemea uganda ataendelea kutusaidia silaha!! Hiyo itakuwa ni kufikiri kwa kutumia tumbo!!
 
Kwa hiyo unadhani sababu iliyopelekea vita ni nyepesi sana ukilinganisha na madhara ya mauaji? Nikuulize: Je ukijua kuwa kuna nyoka kajificha karibu na mlango wa nyumba yako labda kulikuwa na mazagazaga fulani hapo, je utaweza kulala kwa amani?? Ujue NATO kuingia ukraine ni sawa na nyoka kuwa kwenye mlango wa urusi! Unajua kwa nini?
Urusi waishambulie basi Finland na Sweden ambao wameshaomba jiunga na NATO.
 
Kwa hiyo unadhani sababu iliyopelekea vita ni nyepesi sana ukilinganisha na madhara ya mauaji? Nikuulize: Je ukijua kuwa kuna nyoka kajificha karibu na mlango wa nyumba yako labda kulikuwa na mazagazaga fulani hapo, je utaweza kulala kwa amani?? Ujue NATO kuingia ukraine ni sawa na nyoka kuwa kwenye mlango wa urusi! Unajua kwa nini?
Huwez mpangia jiran yako marafiki wa kuwa naye Huo Ni ujinga, Ukraine Ni nchi huru iachwe iamue mambo yake.

Putin ubabe tu unamsumbua Na Safar hii anaaibika maana makumi YA Askar wake wanaangamia Ukraine, amepoteza vifaa vingi vya kijeshi asivyotarajia.
 
Maelfu kwa maelfu ya watu duniani wakiwemo viongozi wakuu wa nchi na Serikali huitembelea Marekani; hufuata ushoga? Unajua kila mwaka Marekani hupokea watalii na wafanya biashara wangapi duniani kote? Wote hao wanashabikia ushoga?

Unajua ni nchi ipi China inauza zaidi? Ni Marekani; China wanashabikia ushoga? Unajua uarabuni products zao wanauza zaidi nchi gani? Sina hakika kama unajua ulichokiandika!
Tatizo lao wamejiweka zaidi na akili za kasumba kama yeye anaeutajataja mda wote na yeye yumiongoni mwao maana kila muda hayo maneno hayatoki vinywani mwao. Msamehe tu.
 
Mtazamo mpya wa NATO ni kwamba, ili amani irejee katika huu mzozo, ni lazima Putin akatishwe tamaa kabisa kwamba hataweza kuidhibiti Ukraine kabisa, kwa kumuongezea Ukraine msaada zaidi wa silaha.

Katibu wa NATO anaamini hiyo ndio njia bora ya kumshawishi Putin aone anachokihitaji ni kama mlima mkubwa ambao hataweza kuupanda, na hivyo aachane na vita.

=====================

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kujihami ya NATO, Jens Stoltenberg ametoa wito wa kupelekwa silaha zaidi nchini Ukraine. Katika mahojiano yake na shirika la habari la Ujerumani, DPA, Stoltenberg amesema msaada wa kijeshi kwa Ukraine ni njia ya haraka ya kupatikana kwa amani. Amesema Rais wa Urusi, Vladimir Putin anapaswa kushawishiwa kwamba hatoweza kufanikiwa katika lengo lake la kuidhibiti Ukraine. Ameongeza kusema kuwa kila nchi ina haki ya kujilinda. Kwa mujibu wa kiongozi huyo wa NATO, panaweza kuwepo suluhisho la mazungumzo ya amani kuhakikisha kwamba Ukraine inashinda kama taifa huru la kidemokrasia. Stoltenberg ameweka wazi kwamba anayachukulia mashambulizi ya hivi karibuni ya Ukraine dhidi ya maeneo ya kijeshi nchini Urusi kuwa halali.

DW
Kinachonishangaza ni kuwa msaada aliopeleka Marekani hapo Ukraine mpaka sasa unazidi bajeti ya wizara ya ulinzi ya Urusi, Ujerumani, Ufaransa na manchi mengine ila bado pagumu.
 
Putin kayakanyaga[emoji38]

NATO wanaenda nae mdogo mdogo mpaka pumzi ikate dadeki[emoji3061]

Mwisho wa siku anawekwa rokap na mahakama ya kijeshi inaendesha kesi palepale Moscow then kitanzi kama sadam.[emoji2][emoji2]
Ila kumbuka china nae yupo
 
Upo nyuma ya taarifa. Majasusi ya Kremlin yametengeneza Putin kama watatu hivi (body double)wanafanana hivyo hivyo na wote wanaoparate. Putin halisi hajulikani. Mishoga na waviziaji hawaelewi cha kufanya.
Mkuu inaonekana unahusudu sana mapenzi ya jinsia moja, sijui tatizo litakuwa nini hadi umeingia kwenye huo mkumbo.
 
Wamarekani wa Buza mna shida sana, kula yenyewe shida, alafu mnamsema hovyo Putin, nyie kweli shithole kabisa.
 
Back
Top Bottom