Dimensions ya nyumba yako ikoje? Mimi pia ninayo ya vyumba viwili ila hofu yangu kubwa niliweka shared walk-in closet yenye washer/dryer machine ambayo unaweza kuingilia kupitia vyumba vyote viwili.Fanya research kabla hujajenga na ujue gharama zinaanzia wapi mpaka wap (estimation) usikurupuke. Nilitumia million 69 kwa nyumba ya vyumba viwili najuta kwel kwel. .
You are right ila hiyo walking closet ungeifanya ya familia Si vizuri ku connect na main room. .Dimensions ya nyumba yako ikoje? Mimi pia ninayo ya vyumba viwili ila hofu yangu kubwa niliweka shared walk-in closet yenye washer/dryer machine ambayo unaweza kuingilia kupitia vyumba vyote viwili.
Hiki chumba kina ukubwa wa 10 ft by 12 ft (3 m * 3.6 m) naona kama kitakuja kuniondolea privacy baadae nikiwa na mtoto maana kinatumika kama walk-in closet & laundry room combo.
Poa. Hapo unamaanisha feet?You are right ila hiyo walking closet ungeifanya ya familia Si vizuri ku connect na main room. .
Dimension ya house yote ni 32 inches by 29 inches. Kuna roman nimeiona way later iko 36inches by 28 inches. Nyumba nzuri ngoja nikitulia nitakuja upload hapa. .
Nina stresss hap wakaguzi wa afya wamepita Lodge wameniandikia makosa kibao. .Poa. Hapo unamaanisha feet?
Fanya research kabla hujajenga na ujue gharama zinaanzia wapi mpaka wap (estimation) usikurupuke. Nilitumia million 69 kwa nyumba ya vyumba viwili najuta kwel kwel. .
Nyumba yangu sio kibanda iko standard vibaya mno. .Milioni 69 ama ulimaanisha 19 mkuu?[emoji28]kweli Dunia ina maajabu yake kujenga kibanda kwa milioni 69
Umaliziaji wa nyumba huwa unaamua gharama. Mf. mtu anayetumia vigae kuezeka hawezi kutumia gharama sawa na anaweka bati kwa ukubwa ule ule wa nyumba moja.Milioni 69 ama ulimaanisha 19 mkuu?[emoji28]kweli Dunia ina maajabu yake kujenga kibanda kwa milioni 69
Safi sana Jombaa. Unanishawishi na mimi niweke kangu hapa. Nimeweka ukuta mrefu sana wa fence kuficha nyumba maana sijaweka grills dirishani nimeweka vioo tu.Nyumba yangu sio kibanda iko standard vibaya mno. .
Nikijisikia nitakuonyesha picha za ndani.
View attachment 2554395
View attachment 2554396
Boss kwahiyo 19M inatosha kukamilisha kabisa Hadi finishing?
Ukute jamaa mwenyewe amepanga tu..Aisee,
Lakini mwenye nyumba amesema hujaiona ndani ilivyo pengine kwa ndani Ina hiyo thamani
Mkuu mbona nyumba dimension zake za kawaida ilikuwaje ikakucost ela nyingi hivyo au uliipiga finishing ya maaana sana ya vitu expensiveYou are right ila hiyo walking closet ungeifanya ya familia Si vizuri ku connect na main room. .
Dimension ya house yote ni 32 ft by 29 ft. Kuna roman nimeiona way later iko 36ft by 28ft Nyumba nzuri ngoja nikitulia nitakuja upload hapa. .
Mimi nimeanza kujenga nyumba ina sqm 134, nmeanza feb katikat na sitegemei kufika huko kwa jamaaBoss kwahiyo 19M inatosha kukamilisha kabisa Hadi finishing?
nimepiga jikoni fill tiles chini full tiles mpaka scatting ya tiles kama nilivyopost kwenye picha. Ndani gypsum na taa za darini na taa za ukutani. Jikoni kabati za juu. Ndani kuna kabqti la ukutani full vioo mpaka juu. Chooni full tiles na ndani choo kimoja cha kukaa. Msingi coz kumi. .Mkuu mbona nyumba dimension zake za kawaida ilikuwaje ikakucost ela nyingi hivyo au uliipiga finishing ya maaana sana ya vitu expensive
Hapo bila shaka lazima ifike huko nakubali mia mianimepiga jikoni fill tiles chini full tiles mpaka scatting ya tiles kama nilivyopost kwenye picha. Ndani gypsum na taa za darini na taa za ukutani. Jikoni kabati za juu. Ndani kuna kabqti la ukutani full vioo mpaka juu. Chooni full tiles na ndani choo kimoja cha kukaa. Msingi coz kumi. .
Kwenye milango nimetoa hela nyingi milango ya mkongo nilitengeneza Tabora tena huko ni bei chee. Mbao ya mkongo ina bei. Imependeza sana hii nyimba. .
Halafu wakati naenda kununua tiles naambiw bei nawaza kuwa zile kubwa ni nzuri zaid kumbe upuuzi mtupu. Nyumba ya kwanza kujenga ina kimuhemuhe. .Hapo bila shaka lazima ifike huko nakubali mia mia
Mimi ya 2. Sema kuna tiles flani kubwa niliona zimebandikwa kwenye ukuta bafuni zilipendeza sana. Ni zile kubwa nna mpango wa kuzibandika pia.Halafu wakati naenda kununua tiles naambiw bei nawaza kuwa zile kubwa ni nzuri zaid kumbe upuuzi mtupu. Nyumba ya kwanza kujenga ina kimuhemuhe. .
Hela ngumu sana usitumie gharama kubwa sana kujenga. Hela unaweza wekezea sehemu nyingine. Juzi mzee kajenga guest yake kaweka tiles mpaka ukutani. Aisee mda mwingine kukosa ushauri. .Mimi ya 2. Sema kuna tiles flani kubwa niliona zimebandikwa kwenye ukuta bafuni zilipendeza sana. Ni zile kubwa nna mpango wa kuzibandika pia.