Dimensions ya nyumba yako ikoje? Mimi pia ninayo ya vyumba viwili ila hofu yangu kubwa niliweka shared walk-in closet yenye washer/dryer machine ambayo unaweza kuingilia kupitia vyumba vyote viwili.Fanya research kabla hujajenga na ujue gharama zinaanzia wapi mpaka wap (estimation) usikurupuke. Nilitumia million 69 kwa nyumba ya vyumba viwili najuta kwel kwel. .
Hiki chumba kina ukubwa wa 10 ft by 12 ft (3 m * 3.6 m) naona kama kitakuja kuniondolea privacy baadae nikiwa na mtoto maana kinatumika kama walk-in closet & laundry room combo.