Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Kuweka tiles ukutani ni big no kwangu.Hela ngumu sana usitumie gharama kubwa sana kujenga. Hela unaweza wekezea sehemu nyingine. Juzi mzee kajenga guest yake kaweka tiles mpaka ukutani. Aisee mda mwingine kukosa ushauri. .
View attachment 2556932View attachment 2556935View attachment 2556936View attachment 2556937View attachment 2556938
Halafu mkuu mimi kitu nachopenda kiwe quality ni tiles za sakafuni na ukutani. Kitchen iwe na kabati quality ambazo ni flat zísiwe na maurembo. Gypsum iwe ya kawaida isiwe na urembo mwingi. Mimi napenda vitu vyenye flat surface.