Hatua nzuri kwao tecno phantom v fold & galaxy z fold 4 wanachuana vikali samsung wapunguze bei tu

Hatua nzuri kwao tecno phantom v fold & galaxy z fold 4 wanachuana vikali samsung wapunguze bei tu

Nyamwage

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2020
Posts
712
Reaction score
1,748
Habari

Hawa mabwana wapika kande leo wamezindua biriani la ngamia ni hatari na nusu alafu kwa nusu bei great job kwao
Screenshot_20230228-220911.jpg
Screenshot_20230228-220656.jpg
Screenshot_20230228-220800.jpg
 
Eti wapika makande 💀💀💀 Y'all some haters for real. Kama ulikuwa unapenda kutweak simu yako kwa custom roms, recovery mods kama TWRP na Clockworkmod recovery back in the days ( like back in 2011)utakuwa unawajua hawa XDA. Wamewapongeza sana Tecno.
16A835A9-D09D-4400-BA62-5DEECD693EE4.png
 
Samsung Galaxy Z Fold 4 ifananishwe na "Xiaomi Mix Fold 2" basi. Huyo ndio Snapdragon mwenzake na sio Tecno
Pia hiyo tablet yao ipo vizuri lakini jina TECNO ni cheap sana, wabadilishe tu brandname kama kampuni imeamua kubadilika.
 
Back
Top Bottom