Hatua nzuri kwao tecno phantom v fold & galaxy z fold 4 wanachuana vikali samsung wapunguze bei tu

Wenzako wako race na farasi wewe unaingia na punda[emoji38][emoji38].

Umeiona ya xiaomi,bei ni ile ile kama ya samsung,achana ba huawei ambayo ilikuwa inafika 5mln.

Sababu ni material quality.huyu anakuja na nini sijui hii[emoji23][emoji23]
Kutakuwa na sababu hiyo ya Tecno kuuzwa bei rahisi na mara nyingi sababu itakuwa material quality[emoji28][emoji28]
Hawa jamaa siwaelewi, mfano Tecno Phantom X2 Pro inakuja na AMOLED display na bei ipo juu lakini gsmarena anasema kioo chake hakifai kutumika juani. Sasa simu ya milioni halafu bado kioo kinafifia juani, ndio nini[emoji23][emoji23]
Product zao siziamini.
 
Na mtu kutoa milion kununua tecno hiyo ni hatua kali sana ya binaadam kuchukua ni kama kujikata shingo[emoji23][emoji23]
 
Brightness yake ni 500 nits kwahio ukiwa out door unakua huoni vizuri
 
Na mtu kutoa milion kununua tecno hiyo ni hatua kali sana ya binaadam kuchukua ni kama kujikata shingo[emoji23][emoji23]
Milion mbali sana. Hata laki tatu sitoi kwa tecno, Samsung A series na Redmi wako vizuri katika simu zao kwa bei hizohizo.

Tena niliwahi kununua kiswaswadu tu, tena kalikuwa kanakaa na chaji balaa. Mbali na hapo siwezi kukunjua pesa yangu ninunue tecno, hata kumshauri mtu haiwezekani.

Nikisema tecno namaanisha tecno wenyewe, infinix, itel n.k
 
Zimefanana specs kweli ila kwenye duarability ndio tatizo ukija baada ya mwaka hiyo samsung kama mtu ni mtunzaji utaikuta kama ilivyo ila nenda kwa tekno sasa utakuta ishachoka vitu kibao.
Mediatek Dimensity ni Chip bora sana sio kama mediatek za nyuma
 
Samsung Galaxy Z Fold 4 ifananishwe na "Xiaomi Mix Fold 2" basi. Huyo ndio Snapdragon mwenzake na sio Tecno
Pia hiyo tablet yao ipo vizuri lakini jina TECNO ni cheap sana, wabadilishe tu brandname kama kampuni imeamua kubadilika.
Snapdragon 8 gen 1 haijamzidi chochote Mediatek Dimensity 9000+
 
Hiyo ni Qualcomm Snapdragon 8+ Gen 1, sio 8 Gen 1
Yaani inatamkwa hivi[emoji116][emoji116]
Qualcomm Snapdragon 8 Plus Gen 1
Hiyo Snapdragon 8 Gen 1 ni nyingine kabisa, na katika foldable phones hizi mbili (Xiaomi na Samsung) hakuna inayotumia Snapdragon 8 Gen 1
 
Hiyohiyo 8+ twende kwenye AnTuTu Score tukaone nani ana performance nzuri kuliko mwenzie
 
Tuongelee devices zenyewe badala ya kuongelea chipset Sasa.
Xiaomi Mix Fold 2 Ina AnTuTu score ya 1,050,000 wakati Tecno Phantom V Fold ina 1,023,478 licha ya kutumia chipset yenye nguvu kuliko Xiaomi [emoji38][emoji38] Na bado GPU ya Mix Fold 2 ni stronger kuliko ya Tecno
Anyway, simu sio perfomance pekee kuna mambo kibao kama kamera, display, software, battery, design,build quality n.k
Ukishindanisha devices kama devices overall Tecno Phantom V Fold ni very poor compared to Xiaomi's and Samsung's foldable phones. End of story
 
Lengo langu ni kuonyesha watu kuwa Mediatek wale wa miaka kadhaa nyuma wame advance sana kiasi cha kuchuana na Qualcomm Snapdragon kitu ambacho watu hatukuwaza kuwa Mediatek watafika level hiyo
 
Back
Top Bottom