cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Infinix wanahusikajeee hapa?Milion mbali sana. Hata laki tatu sitoi kwa tecno, Samsung A series na Redmi wako vizuri katika simu zao kwa bei hizohizo.
Tena niliwahi kununua kiswaswadu tu, tena kalikuwa kanakaa na chaji balaa. Mbali na hapo siwezi kukunjua pesa yangu ninunue tecno, hata kumshauri mtu haiwezekani.
Nikisema tecno namaanisha tecno wenyewe, infinix, itel n.k