Hatua nzuri kwao tecno phantom v fold & galaxy z fold 4 wanachuana vikali samsung wapunguze bei tu

Kwenye makaratasi inaonekana vizuri happy mpka uitumie ndo utagundua utofauti afu bado Wana HIOS
 
Eti wapika makande πŸ’€πŸ’€πŸ’€ Y'all some haters for real. Kama ulikuwa unapenda kutweak simu yako kwa custom roms, recovery mods kama TWRP na Clockworkmod recovery back in the days ( like back in 2011)utakuwa unawajua hawa XDA. Wamewapongeza sana Tecno.
 
Samsung Galaxy Z Fold 4 ifananishwe na "Xiaomi Mix Fold 2" basi. Huyo ndio Snapdragon mwenzake na sio Tecno
Pia hiyo tablet yao ipo vizuri lakini jina TECNO ni cheap sana, wabadilishe tu brandname kama kampuni imeamua kubadilika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…