Kwa nini[emoji28][emoji28]
Kutakuwa na sababu hiyo ya Tecno kuuzwa bei rahisi na mara nyingi sababu itakuwa material quality[emoji28][emoji28]Wenzako wako race na farasi wewe unaingia na punda[emoji38][emoji38].
Umeiona ya xiaomi,bei ni ile ile kama ya samsung,achana ba huawei ambayo ilikuwa inafika 5mln.
Sababu ni material quality.huyu anakuja na nini sijui hii[emoji23][emoji23]
Kutakuwa na sababu hiyo ya Tecno kuuzwa bei rahisi na mara nyingi sababu itakuwa material quality[emoji28][emoji28]
Hawa jamaa siwaelewi, mfano Tecno Phantom X2 Pro inakuja na AMOLED display na bei ipo juu lakini gsmarena anasema kioo chake hakifai kutumika juani. Sasa simu ya milioni halafu bado kioo kinafifia juani, ndio nini[emoji23][emoji23]
Product zao siziamini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na mtu kutoa milion kununua tecno hiyo ni hatua kali sana ya binaadam kuchukua ni kama kujikata shingo[emoji23][emoji23]
Brightness yake ni 500 nits kwahio ukiwa out door unakua huoni vizuriKutakuwa na sababu hiyo ya Tecno kuuzwa bei rahisi na mara nyingi sababu itakuwa material quality[emoji28][emoji28]
Hawa jamaa siwaelewi, mfano Tecno Phantom X2 Pro inakuja na AMOLED display na bei ipo juu lakini gsmarena anasema kioo chake hakifai kutumika juani. Sasa simu ya milioni halafu bado kioo kinafifia juani, ndio nini[emoji23][emoji23]
Product zao siziamini.
Yeah nafahamu sasa kwa nini waweke 500nits kwenye simu ya milioni 1 wakati simu za laki 5 zina 1000nits[emoji28][emoji28]Brightness yake ni 500 nits kwahio ukiwa out door unakua huoni vizuri
Nigga wewe ni hater lakini umenichekesha sana.Hili ni biriani la senene sio ngamia[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Milion mbali sana. Hata laki tatu sitoi kwa tecno, Samsung A series na Redmi wako vizuri katika simu zao kwa bei hizohizo.Na mtu kutoa milion kununua tecno hiyo ni hatua kali sana ya binaadam kuchukua ni kama kujikata shingo[emoji23][emoji23]
Mediatek Dimensity ni Chip bora sana sio kama mediatek za nyumaZimefanana specs kweli ila kwenye duarability ndio tatizo ukija baada ya mwaka hiyo samsung kama mtu ni mtunzaji utaikuta kama ilivyo ila nenda kwa tekno sasa utakuta ishachoka vitu kibao.
Dimensity 9000+ bora kuliko Snapdragon 8+ Gen 1Still bado ni mitikenge chipset
Snapdragon 8 gen 1 haijamzidi chochote Mediatek Dimensity 9000+Samsung Galaxy Z Fold 4 ifananishwe na "Xiaomi Mix Fold 2" basi. Huyo ndio Snapdragon mwenzake na sio Tecno
Pia hiyo tablet yao ipo vizuri lakini jina TECNO ni cheap sana, wabadilishe tu brandname kama kampuni imeamua kubadilika.
Hiyo ni Qualcomm Snapdragon 8+ Gen 1, sio 8 Gen 1Snapdragon 8 gen 1 haijamzidi chochote Mediatek Dimensity 9000+
Hiyohiyo 8+ twende kwenye AnTuTu Score tukaone nani ana performance nzuri kuliko mwenzieHiyo ni Qualcomm Snapdragon 8+ Gen 1, sio 8 Gen 1
Yaani inatamkwa hivi[emoji116][emoji116]
Qualcomm Snapdragon 8 Plus Gen 1
Hiyo Snapdragon 8 Gen 1 ni nyingine kabisa, na katika foldable phones hizi mbili (Xiaomi na Samsung) hakuna inayotumia Snapdragon 8 Gen 1
Tuongelee devices zenyewe badala ya kuongelea chipset Sasa.Hiyohiyo 8+ twende kwenye AnTuTu Score tukaone nani ana performance nzuri kuliko mwenzie
Lengo langu ni kuonyesha watu kuwa Mediatek wale wa miaka kadhaa nyuma wame advance sana kiasi cha kuchuana na Qualcomm Snapdragon kitu ambacho watu hatukuwaza kuwa Mediatek watafika level hiyoTuongelee devices zenyewe badala ya kuongelea chipset Sasa.
Xiaomi Mix Fold 2 Ina AnTuTu score ya 1,050,000 wakati Tecno Phantom V Fold ina 1,023,478 licha ya kutumia chipset yenye nguvu kuliko Xiaomi [emoji38][emoji38] Na bado GPU ya Mix Fold 2 ni stronger kuliko ya Tecno
Anyway, simu sio perfomance pekee kuna mambo kibao kama kamera, display, software, battery, design,build quality n.k
Ukishindanisha devices kama devices overall Tecno Phantom V Fold ni very poor compared to Xiaomi's and Samsung's foldable phones. End of story
Hapa tumepigwa hawa wapuuzi kwenye IOS wameongeza H imekua Hios[emoji1787][emoji1787] ila tecno bhana wazeee wa kupamba ma featuresHabari
Hawa mabwana wapika kande leo wamezindua biriani la ngamia ni hatari na nusu alafu kwa nusu bei great job kwaoView attachment 2533081View attachment 2533079View attachment 2533078
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na mtu kutoa milion kununua tecno hiyo ni hatua kali sana ya binaadam kuchukua ni kama kujikata shingo[emoji23][emoji23]