Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Kwa wanaoamini mungu huu ni muongozo wa kuwafanya wasioamini mungu(atheists) waweze kumuamini mungu
1. Thibitisha kuna supernatural (nguvu kuu iliyo zaidi ya nguvu za asili)
2. Thibitisha hiyo nguvu kuu ni mungu tena mwenye nafsi na utashi (personal god)
3. Thibitisha huyo mungu anataka kuabudiwa.
4. Thibitisha huyo mungu ni mwema (god is good)
5. Thibitisha huyo mungu ni wa dini yako na kitabu chake ni Biblia au Quran na pia ni wa dhehebu lako.