The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Habari wana Jamvi,
Nimetafakari sana baada ya jesh la polisi kumchukulia hatua RPC Dodoma kufuatia kauli yake dhidi ya sakata la binti aliebakwa.Hakika niwapongeze kwa uharaka na weredi huu.
Laki i. Kama kijana nilie kamilika kichwani siachwi bila kujiuliza maswali kadhaa.
1.Mbona hatukusikia taarifa ya jeshi la polisi kihusu unyanyasaji waliofanyiwa wanachama wa Chadema Huko Mbeya?
2.Inamanisha Uongozi wa Polisi ulibariki uvunjifu ule wa haki ya wanachama kukutana? Vipi kuhusu kupigwa na kujeruhiwa kwao.
3.Je Wanasaiasa wanamazingira salama kufanya Siasa zao mpakansasa kufuatia kadhia ile?
4.Ipi ni kauli ya Serikali juu ya Uvunjifu wa haki za binadamu kuliofanywa na Polisi?Zike 4R za Mama yetu Samia ndio zimefikia huku?
5.Kuna sakata la Kijana aliechoma picha ya Raisi na kuhukumiwa kifungo kisha akatoka baada ya kulipiwa faini.Hali yake ipoje mbona nasikia kuna tetesi tifauti juu ya hili.