Hatua ya kwanza ya mafanikio ni kuondoka nyumbani

Umesema kweli mkuu! Waafrika tuna utamaduni wa kulelewa na kutojitegemea. Wenzetu wazungu mtoto akifika miaka ata 18 anawashwa kuindoka nyumbani ili aanze kujitegemea na atafanya hivyo kwa kufanya kazi ata za uhudumu mahotelini... Na hii sio kwa waliosoma tu.
Tatizo letu tunachagua sana kazi za kufanya. Mtu anajiona ana degree ko anataka kazi za maofisini tu na za kulipwa malaki. Yaani elimu ndo imetuharibu sana akili ndo mana wale ambao hawajasoma ndo wanatajirika zaidi.
 
Wenzako wanakua na biashara za familia. Sasa mwenzangu na mimi kama wazee wenyewe hawana ata biashara tunataka kulundikana nyumbani kufanya nini?
 
huu ni uchochezi

Mods naomba huyu apewe ban , nyinyi mna mamlaka ya kumpa ban huyu hata masaa 24

Hahahaah mkuu kama vile ulikuepo .

Swali la kizushi wewe hukai home?
 
Hakuna cha aibu kukaa kwenu mkuu, mbaya ni kuwa tegemezi wa kila kitu. Kuna ambao wamekimbia kwao kwenda kupanga na bado wanategemea kulipiwa chakula na pango na ndugu au wazazi wao.
Inategemea wewe ni mtu wa wapi! Ila huko nilikotoka hua hatuna utamaduni kama huo wa Watoto wa kiume kuendelea kukaa nyumbani.
 
huu ni uchochezi

Mods naomba huyu apewe ban , nyinyi mna mamlaka ya kumpa ban huyu hata masaa 24

Hahahaah mkuu kama vile ulikuepo .

Swali la kizushi wewe hukai home?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mimi sikai nyumbani ila nimepanga kwa hela ya wazazi nasoma bado
 
Kwel kabisa mkuu [emoji122] [emoji120]
 
Ni kweli kwa familia za kiafrika kuna umri inakubidi uondoke nyumbani kupunguza mzigo mkubwa kwa wazazi maana familia zetu akiondoka mtoto analetwa mjukuu kulelewa sasa kuna mda bora uwaache ao wajukuu nawe ukajitafutie riski kwengine.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwamba akiondoka mtoto mjukuu ndo ana cover space yake
 
Wazazi wengine uwafukuza nyumbani watoto wamalizapo shule si kuwa hawawapendi lengo ni kuwaondoa nyumbani waende mbali wakapate akili mpya ili wawe na mafanikio ukiacha utajiri wa kurithi wengi wamefanikiwa baada ya kuondoka nyumbani
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wengi wanao hama ni wale wazaz wao wanajiweza kidogo afu wamejenga...

Unakuta mtu umepata kibarua au umeajiajiri ila,mapato yako hayazid laki tano kwa mwezi mda huo huo home baba na mama choka mbaya wadogo zako pia wanakutegemea ww uwalipie ada ila wazazi walibahatika kujenga nyumba hapo inakua shida kuhama ka unawajali coz huko unapoenda unaenda kulipa kodi ambayo ingeendelea kuwasaidia nyumbani

Shida ya nn kujiumiza ka una akili utajiendeleza hata ka upo home mbna watu wengi wamejenga wanefungua biashara huku wapo nyumbani......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…