Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mi siondoki home,takufa njaa bure!kwani dhambi kukaa kwa wazazi?na nina miaka 36 sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mi siondoki home,takufa njaa bure!kwani dhambi kukaa kwa wazazi?na nina miaka 36 sasa
Wenzako wanakua na biashara za familia. Sasa mwenzangu na mimi kama wazee wenyewe hawana ata biashara tunataka kulundikana nyumbani kufanya nini?Wabongo tuna akili finyu na kudhani kukimbia kwenu ndio kwenda kutafuta maendeleo, hebu tuangalie jamii za Waasia na waarabu wengi hupenda kuishi katika familia kubwa, unamkuta babu, mtoto na wajukuu wanakaa kwenye mansion moja na bado wametuzidi mara hamsini kwenye maendeleo.
huu ni uchocheziHi wana Jf,
Nimejaribu kuchunguza hasa hizo nchi zetu za Africa hususani (East Africa) limekuwa ni jambo la kawaida kukuta kijana ana miaka takribani 30 na bado anaishi kwa wazazi wake bila aibu anasubiri ugali wa shikamoo.
Hili jambo ukiliangalia kwa mapana utagundua linasababishwa na vitu Vingi..
Mfano mfumo wetu wa elimu nao unachangia kwa sababu elimu mtu anayopata mpaka chuo kikuu haimjengi muhusika katika kuwa na mawazo ya kujiajiri . Tatizo linakuja pale mtu kamaliza chuo alafu kakosa kazi ..utashangaa mtu anakaa nyumbani mpaka anaoa/kuolewa akiwa nyumbani.
Lakini upande wa pili hata kama mtu hajasoma pia bado utakuta anaishi nyumbani kwa wazazi akiwa na umri mkubwa..mi nadhani pia sisi wa Africa uvivu unatupeleka pabaya.
Tumezoea kukaa vijiweni muda mwingi tukijadili mambo yasiyo na msingi na tumekuwa watu wa kutojali muda kabisa... Wala hatuna ratiba ..
Yangu ni hayo tuu kama kuna mwingine mwenye mawazo tofauti na mimi anaweza akaongeza au kunipinga kwa hoja lakini...
Nawasilisha
Ukisikia paaa!Kama wewe ambavyo uko huku mitandaoni kujadili maisha ya watu.
Inategemea wewe ni mtu wa wapi! Ila huko nilikotoka hua hatuna utamaduni kama huo wa Watoto wa kiume kuendelea kukaa nyumbani.Hakuna cha aibu kukaa kwenu mkuu, mbaya ni kuwa tegemezi wa kila kitu. Kuna ambao wamekimbia kwao kwenda kupanga na bado wanategemea kulipiwa chakula na pango na ndugu au wazazi wao.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mimi sikai nyumbani ila nimepanga kwa hela ya wazazi nasoma badohuu ni uchochezi
Mods naomba huyu apewe ban , nyinyi mna mamlaka ya kumpa ban huyu hata masaa 24
Hahahaah mkuu kama vile ulikuepo .
Swali la kizushi wewe hukai home?
Kwel kabisa mkuu [emoji122] [emoji120]Umesema kweli mkuu! Waafrika tuna utamaduni wa kulelewa na kutojitegemea. Wenzetu wazungu mtoto akifika miaka ata 18 anawashwa kuindoka nyumbani ili aanze kujitegemea na atafanya hivyo kwa kufanya kazi ata za uhudumu mahotelini... Na hii sio kwa waliosoma tu.
Tatizo letu tunachagua sana kazi za kufanya. Mtu anajiona ana degree ko anataka kazi za maofisini tu na za kulipwa malaki. Yaani elimu ndo imetuharibu sana akili ndo mana wale ambao hawajasoma ndo wanatajirika zaidi.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hatar saaanaYeye mwenyewe kaishi hapo mpaka ulisi umemkuta hapo na yeye sasa ndiyo baba mwenyenyumba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwamba akiondoka mtoto mjukuu ndo ana cover space yakeNi kweli kwa familia za kiafrika kuna umri inakubidi uondoke nyumbani kupunguza mzigo mkubwa kwa wazazi maana familia zetu akiondoka mtoto analetwa mjukuu kulelewa sasa kuna mda bora uwaache ao wajukuu nawe ukajitafutie riski kwengine.
Hahaaaahahah unajiteteaMaisha ni mipango, na kupanga ni kuchagua.....we umechagua kupanga, wengine wamechagua kukaa home mpaka kieleweke....Dunia uwanja wa fujo, kila mtu anapigana kivyake...
Miaka 25 bado niwe nyumbani? Labda Mungu aninyime afya ya Mwili huu kama si hivyo nitakwenda kugongea popote
😱😀😀Wakati kuna lijamaa langu hapa naliona limekaa kwa kaka yake lina midevu kqma osama lina miaka 37 halitaki hata kupanga chumba
Yani linanikera sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa wewe kama familia yenu mnakaa kwenye nyumba ya kupanga mpaka leo utakaeje hapo?acha kuwaonea wivu watoto wa wenzio Wazazi wao waliojipanga na kujenga nyumba ili kuwasitiri watoto wao mpaka pale watakapofanikiwa kimaisha,wewe mlaumu Baba yako wakati wenzie wanasoma yeye alijifanya mjanja kuwa chimbo na kuvuta bangi na kunywa mataputapu.