lordchimkwese
JF-Expert Member
- Nov 16, 2015
- 1,914
- 3,356
Ka mdingi ako hakujenga inabd usepe tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ka mdingi ako hakujenga inabd usepe tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
tena omba chumba uoe kabisa hapo hapo home, mateso ya niniMi siondoki home,takufa njaa bure!kwani dhambi kukaa kwa wazazi?na nina miaka 36 sasa
Ukifatilia wanaokomaa home kwa wazazi ni watoto type za mikocheni,masaki,obey yani jibaba ,limama zima linashinda sebureni kungombania remote na watoto ,wa huku uswazi 18 to 21 ushalianzishaMama's boys endeleeni kukaa nyumbani tu.
Wewe watoto wako watajengewa na nani?Sasa wewe kama familia yenu mnakaa kwenye nyumba ya kupanga mpaka leo utakaeje hapo?acha kuwaonea wivu watoto wa wenzio Wazazi wao waliojipanga na kujenga nyumba ili kuwasitiri watoto wao mpaka pale watakapofanikiwa kimaisha,wewe mlaumu Baba yako wakati wenzie wanasoma yeye alijifanya mjanja kuwa chimbo na kuvuta bangi na kunywa mataputapu.
Hatuzungumzii under 18 hapa ni wale vijebaKubaki home sio tatizo, unless kama umefika umri wa kujitafutia halafu bado unabakia mzigo kwa wazazi wako
Sasa unakuta mtu hataki kukaa na wazazi wake anataka akae vijiweni kaa apo nyumbani ongezea miaka 14 iwe miaka 50 ya jubireeMi siondoki home,takufa njaa bure!kwani dhambi kukaa kwa wazazi?na nina miaka 36 sasa
Ujue imekukosaaa chaaaaUkisikia paaah...!!
Yah n kweliHii mada ni nzuli sana lakini kusema ukweli kuna umri na mazingira unafikia inakubidi mtu kuhama nyumbani na kutafuta maisha sehemu nyingine.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Mkuu Jiangalie upyaMi siondoki home,takufa njaa bure!kwani dhambi kukaa kwa wazazi?na nina miaka 36 sasa
Acha kucomplicate mamboUlichunguza kweli.,??
Embu tuoneshe questionnaire uliyotumia
Kaza Mkuu uondoke nyumbaniMkuuu hom sihami ng'oh bora wao wazaz wanikimbie wenyew maana mi ni mtoto wao na inabid nieategemee had pale nitakapo pata uhakika wa kuish mwenyew tofaut na hapo hom siondok na siham
[emoji1][emoji1][emoji1] mkuu bado upo home?Mi siondoki home,takufa njaa bure!kwani dhambi kukaa kwa wazazi?na nina miaka 36 sasa
Hi wana Jf,
Nimejaribu kuchunguza hasa hizo nchi zetu za Africa hususani (East Africa) limekuwa ni jambo la kawaida kukuta kijana ana miaka takribani 30 na bado anaishi kwa wazazi wake bila aibu anasubiri ugali wa shikamoo.
Hili jambo ukiliangalia kwa mapana utagundua linasababishwa na vitu Vingi..
Mfano mfumo wetu wa elimu nao unachangia kwa sababu elimu mtu anayopata mpaka chuo kikuu haimjengi muhusika katika kuwa na mawazo ya kujiajiri . Tatizo linakuja pale mtu kamaliza chuo alafu kakosa kazi ..utashangaa mtu anakaa nyumbani mpaka anaoa/kuolewa akiwa nyumbani.
Lakini upande wa pili hata kama mtu hajasoma pia bado utakuta anaishi nyumbani kwa wazazi akiwa na umri mkubwa..mi nadhani pia sisi wa Africa uvivu unatupeleka pabaya.
Tumezoea kukaa vijiweni muda mwingi tukijadili mambo yasiyo na msingi na tumekuwa watu wa kutojali muda kabisa... Wala hatuna ratiba ..
Yangu ni hayo tuu kama kuna mwingine mwenye mawazo tofauti na mimi anaweza akaongeza au kunipinga kwa hoja lakini...
Nawasilisha
Mkuu kwa spirit ulionayo n lazima utafanikiwaMiaka 25 bado niwe nyumbani? Labda Mungu aninyime afya ya Mwili huu kama si hivyo nitakwenda kugongea popote
Hv Bado yuko hmCc ray mzee wa maji
Well said brother,.... Yan Elimu ndo imetuletea haya majangaUmesema kweli mkuu! Waafrika tuna utamaduni wa kulelewa na kutojitegemea. Wenzetu wazungu mtoto akifika miaka ata 18 anawashwa kuindoka nyumbani ili aanze kujitegemea na atafanya hivyo kwa kufanya kazi ata za uhudumu mahotelini... Na hii sio kwa waliosoma tu.
Tatizo letu tunachagua sana kazi za kufanya. Mtu anajiona ana degree ko anataka kazi za maofisini tu na za kulipwa malaki. Yaani elimu ndo imetuharibu sana akili ndo mana wale ambao hawajasoma ndo wanatajirika zaidi.