Hatua za kikanuni za Bunge zitakazochukuliwa dhidi ya Luhaga Mpina ziambatane na hatua muafaka za kikatiba za CCM kumng'atua

Siku ukiwa na akili timamu utangundua ni namna Gani ulikuwa tahira. Ni li pumbavu kama wewe na jinga linaloweza hata kuwachukia watu wanaoelimisha taifa kuhusu ufisadi. Kama una wazazi basi Wanahasara tupu kwa kuzaa zombie na shetani
sasa mihemko yako itasaidia nini na huna hoja
 
Ni wakati muafaka sasa kwa CCM kufanya wajibu wake muhimu sana, dhidi ya wenye kiburi, waongo, wabishi na wenye tamaa waliobakiza mioyo yao ccm, lakini akili zao zikiwa kwa walio watuma.
Ikifika wakati wa CCM kuchukua hatua kwa wezi, wabadhilifu na wakwapuaji wa mali zau umma utanishtua mkuu Tlaatlaah
 
Jaribu kuweka njaa, uchawa pembeni unapojadili mambo ya kitaifa.

You ll get better stating point, better perspective.
asanti gentleman,

nimefurahishwa na maelezo yako tulivu, kumbe umeshiba vizuri bana na uko na maono na ushauri visionary kabisa
 
Ikifika wakati wa CCM kuchukua hatua kwa wezi, wabadhilifu na wakwapuaji wa mali zau umma utanishtua mkuu Tlaatlaah
gentlemen,
si ndiyo maana umekuja kuchangia kwenye hoja hii muhimi sana, kwamba unayoyasema yanafanyika vizuri chini serikali makini na sikivu ya ccm na yataendelea kushughulikiwa kadiri iwezekanavyo bila kumunea huruma, haya, wala aibu, mbadhirifu yeyote yule wa mali ya umma
 
Utafaidika na nini Mpina akuchukuliwa
 
Kwa hiyo kumbe ukiwa mwana ccm, na ukaona wazi kabisa mwana ccm mwenzako akifanya uhalifu hutakiwi kumkemea? Yaani kumbe ukikemea wizi na wakati wewe ni mwana ccm unakuwa umekiuka miiko ya chama? Mungu wangu! Sikuwahi kulijua hilo, mimi nilifikiri ccm ingeungana na Mpina kutokomeza ukatili wote wanaofanyiwa watanzania bilq kujali nani kaufanya, kumbe ndiyo tena munatetea wanaotuangamiza na kuwaangamiza wanaotutetea? Tuende wapi sasa?
 
Utafaidika na nini Mh Mpina akichukuliwa hatua au Mjomba wako ndio atachukua nafasi ya Mpina?Tatizo ccm haikubali ukweli
 
Ulikuwa wapi wakati hayo yote yanafanyika? Uliwahi kuwatetea wavuvi waliochomewa nyavu zao? Uliwahi kukemea ukatili kama huo wa kuchoma vifaranga? Na si ni ccm hii hii ndiyo iliyofanya ukatili wote huo? Kwa nini leo tukuzingatie? Wewe ni sehemu ya ukatili wote tuliofanyiwa, na tunaoendelea kufanyiwa na hiyo hiyo ccm yako, wewe ni hayawani,katili, kuliko hata wale waliomuua Malaika Asimwe!
 
muende kulamba sukari ya makampuni ya sukari pamoja na huyo muungwana ili mpate nguvu zaidi
 
huna haja wala, usibabaike kunizingatia mimi hata kidogo, usipoteze muda wako kunizingatia mimi gentleman

nyavu za wavuvi wavija jasho zilichomwa hadharani, maskini wale wakalia sana, vifaranga vilia ngamizwa, samaki tena walio kaangwa kwa rosti matata sana eti alie kua waziri wa uvuvi, ana pima ukubwa wake tena kwa rula

aendelee kulamba sukari ya makampuni ya sukari ili apate nguvu zaidi sasa
 
Utafaidika na nini Mpina akuchukuliwa
atafaidika yeye kua huru zaidi na mwenye nafasi nzuri zaidi ya kuendelea kulamba sukari ya makampuni ya sukari kwa urahisi zaidi...

au wewe unaonaje hiyo
 
muende kulamba sukari ya makampuni ya sukari pamoja na huyo muungwana ili mpate nguvu zaidi
Sijakuekewa hapa, nadhani wanaolamba sukari ni pamoja na wewe na hao mafisadi unaowatetea, sasa mimi naipatia wapi hiyo sukari wakati mumeshaifanya iwe anasa kwetu? Kwa maandiko yako namuomba Mungu mwenye enzi na nguvu, na utukufu wote akuangamize wewe na hao uliosimama nao kututeketeza, ufe kwa uchungu mkuu, wala heri isiwe karibu yako, na ufe kifo cha mateso makali, Amen.
 
kwan mpina amepataje fursa ya kuilamba?
ungana nae tu, nawe pia upate fursa ya kuilamba vizuri, anzisha ubunifu wa tuhuma tu

hata hivyo,
kwa koment na replies zako, zawadi yangu kwako ni hii,

Nakuombea wewe pamoja na JF fraternity yote, Neema na Baraka za Mungu, ziamabatane na kuandamana nanyi daima katika kazi na majukumu yenu ya kila siku, ya kujitaftia riziki, Mungu awajalie bidii, ujasiri wa kupambana na hali mbalimbali, maarifa na awaepushe na roho ya kukukata tamaa, akawafanikishe nia na ndoto zenu kwa wakati muafaka, sawasawa na mapenzi yake,

kila mwenye pumzi ya Mungu na aseme... AIMEN
 
Kiburi au jeuri z Mpina, umezipima Kwa kitu gan?.


Je kiburi au Jeuri zake zinaondoa Uhalali wa Ushahidi wote alioutoa ?.


Yaan wee na Ubongo wako , unahisi Mpina alitunga ???.


Usiwe kipofu na FALA kiasi hiko.
 
Kiburi au jeuri z Mpina, umezipima Kwa kitu gan?.


Je kiburi au Jeuri zake zinaondoa Uhalali wa Ushahidi wote alioutoa ?.


Yaan wee na Ubongo wako , unahisi Mpina alitunga ???.


Usiwe kipofu na FALA kiasi hiko.
pale kwenye kuchoma nyavu za wavuja jasho, kuangamiza na kuteketeza kabisa vifaranga vya kuku vya wafanya biashara na walipa kodi wa kuku na mayai

kali zaidi ni ile ya kumtoa samaki kwenye rosti la maana eti anataka kummpima saizi ya ukubwa wake kwa rula, eti kwa mujibu wa sheria

hii kiburi na madaraka ya kulevya ilipitiliza aise dah, yaani na mapolisi kabisa eti anaenda kukamata masufuria ya rosti ya samaki

we huoni hiyo jeuri na kiburi mbaya sana?

mihemko ipumzishe basi gentlemen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…