Hatua za kikanuni za Bunge zitakazochukuliwa dhidi ya Luhaga Mpina ziambatane na hatua muafaka za kikatiba za CCM kumng'atua

Hatua za kikanuni za Bunge zitakazochukuliwa dhidi ya Luhaga Mpina ziambatane na hatua muafaka za kikatiba za CCM kumng'atua

Siku ukiwa na akili timamu utangundua ni namna Gani ulikuwa tahira. Ni li pumbavu kama wewe na jinga linaloweza hata kuwachukia watu wanaoelimisha taifa kuhusu ufisadi. Kama una wazazi basi Wanahasara tupu kwa kuzaa zombie na shetani
sasa mihemko yako itasaidia nini na huna hoja :pedroP: :pedroP:
 
Ni wakati muafaka sasa kwa CCM kufanya wajibu wake muhimu sana, dhidi ya wenye kiburi, waongo, wabishi na wenye tamaa waliobakiza mioyo yao ccm, lakini akili zao zikiwa kwa walio watuma.
Ikifika wakati wa CCM kuchukua hatua kwa wezi, wabadhilifu na wakwapuaji wa mali zau umma utanishtua mkuu Tlaatlaah
 
Jaribu kuweka njaa, uchawa pembeni unapojadili mambo ya kitaifa.

You ll get better stating point, better perspective.
asanti gentleman,

nimefurahishwa na maelezo yako tulivu, kumbe umeshiba vizuri bana na uko na maono na ushauri visionary kabisa:KasugaYeah::ClapHD:
 
Ikifika wakati wa CCM kuchukua hatua kwa wezi, wabadhilifu na wakwapuaji wa mali zau umma utanishtua mkuu Tlaatlaah
gentlemen,
si ndiyo maana umekuja kuchangia kwenye hoja hii muhimi sana, kwamba unayoyasema yanafanyika vizuri chini serikali makini na sikivu ya ccm na yataendelea kushughulikiwa kadiri iwezekanavyo bila kumunea huruma, haya, wala aibu, mbadhirifu yeyote yule wa mali ya umma:pulpTRAVOLTA:
 
Utafaidika na nini Mpina akuchukuliwa

Ni wakati muafaka sasa kwa CCM kufanya wajibu wake muhimu sana, dhidi ya wenye kiburi, waongo, wabishi na wenye tamaa waliobakiza mioyo yao ccm, lakini akili zao zikiwa kwa walio watuma.

Wakati kamati ya maadili ya bunge ikiendelea na majadiliano, kufanya uchambuzi wa kina na kujiridhisha mbivu na mbichi juu ya nyaraka na vielelezo alivyo wasilisha Mh. Luhaga Mpina kwa spika, dhidi ya tuhuma anazomtuhumu waziri wa kilimo, mwenye bidii sana, mchapakazi hodari waziri Mh. Hussein Bashe.

CCM ijiandae kumchukilia Mh. Luhaga Mpina hatua stahiki za kinidhamu dhidi ya kumdharau spika, kulidharau bunge, kumzushia Mh. waziri waziri Bashe kinachofanyiwa kazi na kamati ya bunge, na kuituhumu bila hakika serikali yote sikivu ya CCM kwa ujumla.

Hii si sawa kwa taasisi imara na makini kama CCM, kuendelea kuwavumilia wanachama wake wasio zingatia misingi ya nidhamu, kanuni na katiba ya chama na kukengeuka kwa chuki isiyo na sababu.

Na baada ya kumchukilia hatua za kawaida za kinidhamu kwa mujibu wa katiba ya CCM, iwe pia ni wakati muafaka chama kiende mbali zaidi, kwa kumvua uanachama wa CCM Mh. Luhaga Mpina kwa kukiuka na kwenda kinyume na kanuni, taratibu, mila, desturi na utamaduni wa CCM, wa kufanya kazi kwa kuheshimiana na kwa umoja ili kuwaletea wananchi maendeleo.

Mh Luhaga Mpina abanduliwe CCM haraka iwezekanavyo kwa kutatiza mara kwa mara kupinga, na kijaribu kidhoofisha na kwa kupotosha kwa makusudi nia, mipango mikakati na malengo ya chama na serikali sikivu ya ccm katika kuwaletea wananchi maendeleo, na kuchochea mageuzi ya kisiasa, kijamii na kiuchumi kwenye maisha ya waTanzania wote.

Mh. Luhaga Mpina apokonywe uanachama wa CCM, ili akapate fursa na wasaa mzuri zaidi wa kuendeleza tuhuma zake na gubu binafsi alizonazo, dhidi ya baadhi ya waandamizi serikalini, ambao anahisi ndio waliosababisha na kuchochea, yeye Mh. Luhaga Mpina kutoswa kwanye baraza la mawaziri alilokua akihuduma kama waziri wa uvuvi, hapo awali.

Mh. Luhaga Mpina avuliwe uanachama ili kwa uhuru zaidi, akaungane na wenzie wa upande wa pili, wanaomtetea na waliopoteza uelekeo, walio kosa hoja, sera na wasiojua hata wana dai nini wala wanatetea nini, yaani wapo wapo tu. :pulpTRAVOLTA: :pulpTRAVOLTA:

Ni matumaini yangu, mpaka sasa kwa hali ilipofikia, pasina shaka yoyote, kupitia vyombo maalumu vya chama, CCM itakua imejiridhisha pasina shaka yoyote kwamba Mh. Luhaga Mpina kwa kiburi, jeuri na utovu wa nidhamu hana sifa wala vigezo tena vya kua mwananchama, mkereketwa wala shabiki wa CCM na anastahili kufubgashiwa virago vyake CCM.

- Spika Tulia amburuza Luhanga Mpina Kamati ya maa
 
binafs sifahamu,
but nadhani kwa aina ya siasa anazofanya, ni dhahiri tayari ameshajihakikishia destination ya platform miongni mwa vyama vya siasa nchini,

na anafahamu fika kwamba, hawezi kuachwa kuendeleza jeuri na kiburi yake ndani ya CCM, na hawezi tena kuishi ndani ya CCM kwa style ya siasa anazofanya...

anaelekea wapi ni suala la muda tu,

but politically speaking,
sioni akikimaliza kipindi cha bunge kilichosalia, kakiwa mbunge wa CCM na haitawezekana tena kua mbunge wa Upinzani 🐒
Kwa hiyo kumbe ukiwa mwana ccm, na ukaona wazi kabisa mwana ccm mwenzako akifanya uhalifu hutakiwi kumkemea? Yaani kumbe ukikemea wizi na wakati wewe ni mwana ccm unakuwa umekiuka miiko ya chama? Mungu wangu! Sikuwahi kulijua hilo, mimi nilifikiri ccm ingeungana na Mpina kutokomeza ukatili wote wanaofanyiwa watanzania bilq kujali nani kaufanya, kumbe ndiyo tena munatetea wanaotuangamiza na kuwaangamiza wanaotutetea? Tuende wapi sasa?
 
Hii ndio picha yenu halisi wahafidhina na msio taka watu wengine wawe na mawazo tofauti na yenu na ya mabwana zenu. Dunia inataka fikra tofauti Mpina anatakiwa kulindwa na Chama chenu na Spika. Acheni watu wafikiri tofauti mmedumisha sana fikra za Mwenyekiti for the last 60 years sasa mkubari mawazo tofauti. Mpina mnataka kumtoa kafara kama ilivyo desturi yenu ya kuwaziba midomo wenye mawazo tofauti na mkumbuke hii sio mara yenu ya kwanza manake hata mkimfuta Mpina kuna wengine watatokea.
Mpina yuko na hoja ebu jibuni hoja zake kwanza, tuna wasi wasi mkubwa kama mtandeka haki, hatua zilizochukuliwa na waziri wa kilimo hata mtoto mdogo anaona kabisa kuna kitu hakikuwa sawa. Mkiona mpaka makada wenu waandamizi wanaamua liwalo na liwe ebu jikagueni kwanza.
Utafaidika na nini Mh Mpina akichukuliwa hatua au Mjomba wako ndio atachukua nafasi ya Mpina?Tatizo ccm haikubali ukweli
 
kwamba ukitoswa kwenye baraza la mawaziri, unakasirika na kuanza kuhisi ati fulani ndie amekuchomea ukatoswa, na sasa unajenga chuki binafsi na gubu dhidi yake kwa kubuni tuhuma za uzushi na uongo eti nae aachishwe kazi, kama yeye mchoma nyavu za wavivu wadogo wanyonge, na mpima ukubwa wa samaki tena waliorostiwa kwa rula 🤣

eti huyu ndie mtu mwema anaekimbia CMC, right?
mtu mwema aliangamiza mamilioni ya vifaranga vya kuku aise dah 🤣
Ulikuwa wapi wakati hayo yote yanafanyika? Uliwahi kuwatetea wavuvi waliochomewa nyavu zao? Uliwahi kukemea ukatili kama huo wa kuchoma vifaranga? Na si ni ccm hii hii ndiyo iliyofanya ukatili wote huo? Kwa nini leo tukuzingatie? Wewe ni sehemu ya ukatili wote tuliofanyiwa, na tunaoendelea kufanyiwa na hiyo hiyo ccm yako, wewe ni hayawani,katili, kuliko hata wale waliomuua Malaika Asimwe!
 
Kwa hiyo kumbe ukiwa mwana ccm, na ukaona wazi kabisa mwana ccm mwenzako akifanya uhalifu hutakiwi kumkemea? Yaani kumbe ukikemea wizi na wakati wewe ni mwana ccm unakuwa umekiuka miiko ya chama? Mungu wangu! Sikuwahi kulijua hilo, mimi nilifikiri ccm ingeungana na Mpina kutokomeza ukatili wote wanaofanyiwa watanzania bilq kujali nani kaufanya, kumbe ndiyo tena munatetea wanaotuangamiza na kuwaangamiza wanaotutetea? Tuende wapi sasa?
muende kulamba sukari ya makampuni ya sukari pamoja na huyo muungwana ili mpate nguvu zaidi :pedroP:
 
Ulikuwa wapi wakati hayo yote yanafanyika? Uliwahi kuwatetea wavuvi waliochomewa nyavu zao? Uliwahi kukemea ukatili kama huo wa kuchoma vifaranga? Na si ni ccm hii hii ndiyo iliyofanya ukatili wote huo? Kwa nini leo tukuzingatie? Wewe ni sehemu ya ukatili wote tuliofanyiwa, na tunaoendelea kufanyiwa na hiyo hiyo ccm yako, wewe ni hayawani,katili, kuliko hata wale waliomuua Malaika Asimwe!
huna haja wala, usibabaike kunizingatia mimi hata kidogo, usipoteze muda wako kunizingatia mimi gentleman:pulpTRAVOLTA:

nyavu za wavuvi wavija jasho zilichomwa hadharani, maskini wale wakalia sana, vifaranga vilia ngamizwa, samaki tena walio kaangwa kwa rosti matata sana eti alie kua waziri wa uvuvi, ana pima ukubwa wake tena kwa rula:pedroP::pedroP:

aendelee kulamba sukari ya makampuni ya sukari ili apate nguvu zaidi sasa:pulpTRAVOLTA:
 
Utafaidika na nini Mpina akuchukuliwa
atafaidika yeye kua huru zaidi na mwenye nafasi nzuri zaidi ya kuendelea kulamba sukari ya makampuni ya sukari kwa urahisi zaidi...

au wewe unaonaje hiyo:pedroP:
 
muende kulamba sukari ya makampuni ya sukari pamoja na huyo muungwana ili mpate nguvu zaidi :pedroP:
Sijakuekewa hapa, nadhani wanaolamba sukari ni pamoja na wewe na hao mafisadi unaowatetea, sasa mimi naipatia wapi hiyo sukari wakati mumeshaifanya iwe anasa kwetu? Kwa maandiko yako namuomba Mungu mwenye enzi na nguvu, na utukufu wote akuangamize wewe na hao uliosimama nao kututeketeza, ufe kwa uchungu mkuu, wala heri isiwe karibu yako, na ufe kifo cha mateso makali, Amen.
 
kwan mpina amepataje fursa ya kuilamba?
ungana nae tu, nawe pia upate fursa ya kuilamba vizuri, anzisha ubunifu wa tuhuma tu :pedroP:

hata hivyo,
kwa koment na replies zako, zawadi yangu kwako ni hii,

Nakuombea wewe pamoja na JF fraternity yote, Neema na Baraka za Mungu, ziamabatane na kuandamana nanyi daima katika kazi na majukumu yenu ya kila siku, ya kujitaftia riziki, Mungu awajalie bidii, ujasiri wa kupambana na hali mbalimbali, maarifa na awaepushe na roho ya kukukata tamaa, akawafanikishe nia na ndoto zenu kwa wakati muafaka, sawasawa na mapenzi yake,

kila mwenye pumzi ya Mungu na aseme... AIMEN:ClapHD::ClapHD::KasugaYeah:
 
jukumu na wajibu wao kuona ni kipi muafaka cha kufanya na hatua gani za kuchukua dhidi ya anae onyesha kiburi, jeuri na utovu wa kimaadili kulingana na sheria, kanuni, taratibu, mila desturi, utamaduni na ustaarabu miongni mwa viongozi na wanachama cha Mapinduzi 🐒

ni rahisi na iko wazi..
lakini pia ni jambo zuri zaidi kwa Mh.Mpina, baada ya kubanduliwa CCM, aende kuungana na wenzie anao imba nao verses na choruses zenye tone na midundo inayofanana kwa uhuru zaidi....🐒

au comrade,
unajisahaulisha kwamba "Birds of the same feather flock together "🐦
Kiburi au jeuri z Mpina, umezipima Kwa kitu gan?.

Je kiburi au Jeuri zake zinaondoa Uhalali wa Ushahidi wote alioutoa ?.

Yaan wee na Ubongo wako , unahisi Mpina alitunga ???.

Usiwe kipofu na FALA kiasi hiko.
 
pale kwenye kuchoma nyavu za wavuja jasho, kuangamiza na kuteketeza kabisa vifaranga vya kuku vya wafanya biashara na walipa kodi wa kuku na mayai :pedroP:

kali zaidi ni ile ya kumtoa samaki kwenye rosti la maana eti anataka kummpima saizi ya ukubwa wake kwa rula, eti kwa mujibu wa sheria:pedroP::pedroP:

hii kiburi na madaraka ya kulevya ilipitiliza aise dah, yaani na mapolisi kabisa eti anaenda kukamata masufuria ya rosti ya samaki :pedroP:

we huoni hiyo jeuri na kiburi mbaya sana?

mihemko ipumzishe basi gentlemen
 
Back
Top Bottom