Hatua za kikanuni za Bunge zitakazochukuliwa dhidi ya Luhaga Mpina ziambatane na hatua muafaka za kikatiba za CCM kumng'atua

Kuwatetea watanzania inatakiwa usaliti familia yako, ujisaliti mwenyewe, ujitoe mhanga kwelikweli, aliweza mmoja tu, na sasa hayupo. Sad!!
usaliti sio jambo zuri hata kidogo gentleman,

ndio unamuona huyo muungwana anateseka nao sasaivi :pedroP:
 
Hizo ni pigo za kizamani mnaleta zama hizi, ingekuwa Bora hoja za Mpina zijibiwe kuliko kumletea vitisho.
anatishiwa na nani gentleman?

mbona muungwana yuko salama tu, halalamiki wana nini, analamba sukari za makampini ya sukari kwa amani kabisa na anapata posho zake vizuri tu :pedroP:
 
Hii hii nchi kuna watu wanakula Rushwa aisee....
binafsi sina hakika kwenye hilo,

nadhani ni vizuri report na kubainisha hiyo rushwa kwenye mamlaka husika, ikiwa kuna vithibitisho visivyo vya kubuni kama ambavyo vinavyochunguzwa :pedroP:
 
nikajuaga jamaa (mleta mada) nyege ndizo zinamdumbua kumbe alikua kwenye ukichaa stage 1 sasa naona zimepanda yupo stage 6 na anajifunza uchawa soon ataanza kuweka namba
saa zingine hakuna haja ya kulazimisha kutambulisha watu jinsi unavyowaza na jinsi ulivyo:BASED:
 
Hebu niambie inawezekana vipi kampuni isajiliwe january 2024 na ije kupewa tenda ya kuleta sukari kuzidi viwanda vilivyo anzishwa miaka na miaka 😂😂😂😂😂😂😂
hata kama kampuni ina uzoefu wa miaka 100, ikususa, ikizira au kuhujumu kazi ya umma au upatikanaji wa huduma msingi ya kijamii, tena ya dharura kwa makusudi kabisa.....

my friend, as a country
hata kama una uzoefu wa miaka 100,

tutaipa kazi hiyo hata kampuni iliyo sajiliwa leo hii, kwa maslahi mapana ya nchi, amani na usalama waTanzania wote:pedroP:
 
Nachanganyikiwa hapa. Mpina kato tuhuma, na kaambatiza reference, (citation); sasa hata kabla hamjasoma hizo reference na kujiridhisha mmeanza kumshambulia. Mngepekua kwanza hizo reference na kuonyesha uongo wake ingeeleweka. Labda ni mimi tu ndiyo sielewi. Sasa wewe ulitaka afanyeje? Akae kimya?
ni muingo mzoefu,

kuna wakati aliwahi kubishana na waziri wa fedha, akijaribu kuwahadaa na kuwapotosha waTanzania kawa data zake ghushi na za kubuni....

spika alimuuliza mpina,
hizo data ulizo nazo umezitoa wapi? data za serikali za kuchalenge hizi hapa mezani na zipo kwenye tovuti ya srikali pia, hizo zako ni za wapo?

unakumbuka alichojibu mpina?
na je aliendelea kutetea hoja zake kwa kutumia data ghushi tena?:pedroP::pedroP:

si mpaka alipoanza kulamba sukari za makampuni ya sukari tena ndio kaibuka na tabia ile ile:pedroP:
 
ni asset kwa wabuni uzushi na uongo dhidi ya wengine, kwa kuchochewa hasira, ghadhabu na machungu ya kutoswa uwaziri :pulpTRAVOLTA: :pulpTRAVOLTA:

hata hivyo,
ni vizuri akawa huru kulamba sukari za makampuni ya sukari:pedroP::pedroP:
Unakuwaje uzushi na uongo bila kuwa proved kuwa ni uzushi na uongo?Rationale zero kabisa.Akili za CCM zinawatosha wenyewe.

Halafu mbona wezi wanaoibuliwa na CAG hawachukuliwi hatua?Yaani mko kimya kabisaa.Hii inaonyesha kwamba CCM ni Chama Cha Majambazi.
 
First half
Bashe,Ccm, chawa na uvccm 1-3Mpina

Goli la ccm limefungwa na Tuliyaa!!!.
 
Ni wakati muafaka sasa kwa CCM kufanya wajibu wake muhimu sana, dhidi ya wenye kiburi, waongo, wabishi na wenye tamaa waliobakiza mioyo yao ccm, lakini akili zao zikiwa kwa walio watuma.

Wakati kamati ya maadili ya bunge ikiendelea na majadiliano, kufanya uchambuzi wa kina na kujiridhisha mbivu na mbichi juu ya nyaraka na vielelezo alivyo wasilisha Mh. Luhaga Mpina kwa spika, dhidi ya tuhuma anazomtuhumu waziri wa kilimo, mwenye bidii sana, mchapakazi hodari waziri Mh. Hussein Bashe.

CCM ijiandae kumchukilia Mh. Luhaga Mpina hatua stahiki za kinidhamu dhidi ya kumdharau spika, kulidharau bunge, kumzushia Mh. waziri waziri Bashe kinachofanyiwa kazi na kamati ya bunge, na kuituhumu bila hakika serikali yote sikivu ya CCM kwa ujumla.

Hii si sawa kwa taasisi imara na makini kama CCM, kuendelea kuwavumilia wanachama wake wasio zingatia misingi ya nidhamu, kanuni na katiba ya chama na kukengeuka kwa chuki isiyo na sababu.

Na baada ya kumchukilia hatua za kawaida za kinidhamu kwa mujibu wa katiba ya CCM, iwe pia ni wakati muafaka chama kiende mbali zaidi, kwa kumvua uanachama wa CCM Mh. Luhaga Mpina kwa kukiuka na kwenda kinyume na kanuni, taratibu, mila, desturi na utamaduni wa CCM, wa kufanya kazi kwa kuheshimiana na kwa umoja ili kuwaletea wananchi maendeleo.

Mh Luhaga Mpina abanduliwe CCM haraka iwezekanavyo kwa kutatiza mara kwa mara kupinga, na kijaribu kidhoofisha na kwa kupotosha kwa makusudi nia, mipango mikakati na malengo ya chama na serikali sikivu ya ccm katika kuwaletea wananchi maendeleo, na kuchochea mageuzi ya kisiasa, kijamii na kiuchumi kwenye maisha ya waTanzania wote.

Mh. Luhaga Mpina apokonywe uanachama wa CCM, ili akapate fursa na wasaa mzuri zaidi wa kuendeleza tuhuma zake na gubu binafsi alizonazo, dhidi ya baadhi ya waandamizi serikalini, ambao anahisi ndio waliosababisha na kuchochea, yeye Mh. Luhaga Mpina kutoswa kwanye baraza la mawaziri alilokua akihuduma kama waziri wa uvuvi, hapo awali.

Mh. Luhaga Mpina avuliwe uanachama ili kwa uhuru zaidi, akaungane na wenzie wa upande wa pili, wanaomtetea na waliopoteza uelekeo, walio kosa hoja, sera na wasiojua hata wana dai nini wala wanatetea nini, yaani wapo wapo tu. :pulpTRAVOLTA: :pulpTRAVOLTA:

Ni matumaini yangu, mpaka sasa kwa hali ilipofikia, pasina shaka yoyote, kupitia vyombo maalumu vya chama, CCM itakua imejiridhisha pasina shaka yoyote kwamba Mh. Luhaga Mpina kwa kiburi, jeuri na utovu wa nidhamu hana sifa wala vigezo tena vya kua mwananchama, mkereketwa wala shabiki wa CCM na anastahili kufubgashiwa virago vyake CCM.

- Spika Tulia amburuza Luhanga Mpina Kamati ya maadili
Aya yote kisa amekataa wizi
 
ni muingo mzoefu,

kuna wakati aliwahi kubishana na waziri wa fedha, akijaribu kuwahadaa na kuwapotosha waTanzania kawa data zake ghushi na za kubuni....

spika alimuuliza mpina,
hizo data ulizo nazo umezitoa wapi? data za serikali za kuchalenge hizi hapa mezani na zipo kwenye tovuti ya srikali pia, hizo zako ni za wapo?

unakumbuka alichojibu mpina?
na je aliendelea kutetea hoja zake kwa kutumia data ghushi tena?:pedroP::pedroP:

si mpaka alipoanza kulamba sukari za makampuni ya sukari tena ndio kaibuka na tabia ile ile:pedroP:
Umeitoa kwa kigogo chizi maarifa yule nae chawa tu siku hizi.

Mpina kawabana mbupu.
 
Ni wakati muafaka sasa kwa CCM kufanya wajibu wake muhimu sana, dhidi ya wenye kiburi, waongo, wabishi na wenye tamaa waliobakiza mioyo yao ccm, lakini akili zao zikiwa kwa walio watuma.

Wakati kamati ya maadili ya bunge ikiendelea na majadiliano, kufanya uchambuzi wa kina na kujiridhisha mbivu na mbichi juu ya nyaraka na vielelezo alivyo wasilisha Mh. Luhaga Mpina kwa spika, dhidi ya tuhuma anazomtuhumu waziri wa kilimo, mwenye bidii sana, mchapakazi hodari waziri Mh. Hussein Bashe.

CCM ijiandae kumchukilia Mh. Luhaga Mpina hatua stahiki za kinidhamu dhidi ya kumdharau spika, kulidharau bunge, kumzushia Mh. waziri waziri Bashe kinachofanyiwa kazi na kamati ya bunge, na kuituhumu bila hakika serikali yote sikivu ya CCM kwa ujumla.

Hii si sawa kwa taasisi imara na makini kama CCM, kuendelea kuwavumilia wanachama wake wasio zingatia misingi ya nidhamu, kanuni na katiba ya chama na kukengeuka kwa chuki isiyo na sababu.

Na baada ya kumchukilia hatua za kawaida za kinidhamu kwa mujibu wa katiba ya CCM, iwe pia ni wakati muafaka chama kiende mbali zaidi, kwa kumvua uanachama wa CCM Mh. Luhaga Mpina kwa kukiuka na kwenda kinyume na kanuni, taratibu, mila, desturi na utamaduni wa CCM, wa kufanya kazi kwa kuheshimiana na kwa umoja ili kuwaletea wananchi maendeleo.

Mh Luhaga Mpina abanduliwe CCM haraka iwezekanavyo kwa kutatiza mara kwa mara kupinga, na kijaribu kidhoofisha na kwa kupotosha kwa makusudi nia, mipango mikakati na malengo ya chama na serikali sikivu ya ccm katika kuwaletea wananchi maendeleo, na kuchochea mageuzi ya kisiasa, kijamii na kiuchumi kwenye maisha ya waTanzania wote.

Mh. Luhaga Mpina apokonywe uanachama wa CCM, ili akapate fursa na wasaa mzuri zaidi wa kuendeleza tuhuma zake na gubu binafsi alizonazo, dhidi ya baadhi ya waandamizi serikalini, ambao anahisi ndio waliosababisha na kuchochea, yeye Mh. Luhaga Mpina kutoswa kwanye baraza la mawaziri alilokua akihuduma kama waziri wa uvuvi, hapo awali.

Mh. Luhaga Mpina avuliwe uanachama ili kwa uhuru zaidi, akaungane na wenzie wa upande wa pili, wanaomtetea na waliopoteza uelekeo, walio kosa hoja, sera na wasiojua hata wana dai nini wala wanatetea nini, yaani wapo wapo tu. :pulpTRAVOLTA: :pulpTRAVOLTA:

Ni matumaini yangu, mpaka sasa kwa hali ilipofikia, pasina shaka yoyote, kupitia vyombo maalumu vya chama, CCM itakua imejiridhisha pasina shaka yoyote kwamba Mh. Luhaga Mpina kwa kiburi, jeuri na utovu wa nidhamu hana sifa wala vigezo tena vya kua mwananchama, mkereketwa wala shabiki wa CCM na anastahili kufubgashiwa virago vyake CCM.

- Spika Tulia amburuza Luhanga Mpina Kamati ya maadili
Wewe unatanguliza nini kwanza tumbo lako?

Au uzalendo kwanza, maslahi ya Taifa kwanza?

Ukiangalia hivi vitu ukiwa neutral huwezi kuja ni hizo conclusion zako.
 
Bro hapo kunamtu anawindwa and not Mpina, niguse unuke.
 
Mtu akishatofautiana mtazamo na wezi anasakamwa na hata kutishiwa uhai
 
Siku ukiwa na akili timamu utangundua ni namna Gani ulikuwa tahira. Ni li pumbavu kama wewe na jinga linaloweza hata kuwachukia watu wanaoelimisha taifa kuhusu ufisadi. Kama una wazazi basi Wanahasara tupu kwa kuzaa zombie na shetani
 
Mtu akishatofautiana mtazamo na wezi anasakamwa na hata kutishiwa uhai
ni afadhali asakamwe kistaarabu ila kusiwe na mihemko na matusi:pulpTRAVOLTA:

kusakamwa ndiyo sehemu ya malipo ya kulamba sukari ya makampuni ya sukari :pedroP:
 
Back
Top Bottom