Hatua za kikanuni za Bunge zitakazochukuliwa dhidi ya Luhaga Mpina ziambatane na hatua muafaka za kikatiba za CCM kumng'atua

Gentleman,
Mh.sana Luhaga Mpina habanduliwi CCM kwasababu ya kiburi na jeuri jeuri yake tu, bali anapewa fursa na nafasi nzuri zaidi ya kufichua uovu wa watendaji wa serikali kama unavyo sema akiwa na wenzake huko Itigi na maeneo mengine....

huku CCM anabanwa sana na inaonekana hatafanya vizur kazi yake hiyo muhimu sana kwa maslahi ya makampuni ya sukari yanayomfadhili na Upinzani unaomshabikia πŸ’

tunatamani aungane nao, wawe timu moja kuliko kuwapigia kelele wanaCCM na kuwavunjia heshima waliojijengea kwa wananchi kwa muda mrefu sana, politically speaking πŸ’
 
Nyie endeleeni kuwalinda wabadhirifu hukoooo

Ova
nanyi vile vile,
endeleeni tena kwa bidii sana kubuni na kutunga tuhuma za uongo na uzushi, maana wanainchi hasa wa vijijini mathalani huko singida wanazifurahia sana, wanazihitaji mno katika kutatua changamoto za za maendeleo πŸ’
 
We endeleaaa kutetea ubadhirifu

Ova
 
Huu uzi una gubu sn umekaaa kike kike kwa hiyo ukiwa ndani ya ccm hutakiwi kuwa na hoja pingamizi?
 
nanyi vile vile,
endeleeni tena kwa bidii sana kubuni na kutunga tuhuma za uongo na uzushi, maana wanainchi hasa wa vijijini mathalani huko singida wanazifurahia sana, wanazihitaji mno katika kutatua changamoto za za maendeleo πŸ’
Mtetea uwizi na ubadhirifu wewe

Ova
 
suala hapa sio kumuonea mtu aibu au haya, katika kueleza na kubainisha ukweli bayana wa mambo...

na hicho ndicho,
ni muhimu sana CCM ikambandua huyu muungwana chamani mara moja πŸ’
Uoni hata aibu Kaka?
 
Nchi hii akisema ukweli tu kaishakuwa adui, wanasiasa na chawa wao ni watamzonga mpaka basi, mtu kaishatoa ushahidi wake, haujathibitika kama uongo mnataka afukuzwe, je kama ni kweli kwanini bashe na mwigulu wasivuliwe uanachama, haiwezekani kuwavua uanachama sababu WOTE LENGO LAO NI KUPIGA TU NCHI HII.
 
suala hapa sio kumuonea mtu aibu au haya, katika kueleza na kubainisha ukweli bayana wa mambo...

na hicho ndicho,
ni muhimu sana CCM ikambandua huyu muungwana chamani mara moja πŸ’
WE ENDELEA KUTETEA UWIZI NA UBADHIRIFU

OVA
 
Mtetea uwizi na ubadhirifu wewe

Ova
naona taratibu pumzi inakata,

hata hivyo hiyo sio shida yangu,
ni muhimu sana CCM kuchukua hatua muhimu sana, mara baada tu ya bunge kumaliza kazi yake muhimu sana kupitia kamati ya maadili...

na CCM ikihitimisha kazi yake, iiarifu Tume Huru Ya Uchaguzi, nayo tume iliarifu bunge mara moja na taratibu nyingine za kisheria zifuate πŸ’
 
Issue hapa sio kuangalia Mpina aliongelea wapi huu "ujambazi'
Suala hapa ni kujadili na kutafuta ukweli kuhusu huu ujambazi wa hawa watu!
CCM wameamua kuhamisha "mada" ili kuficha huu ujambazi kama kawaida yao!
Na hii inaonekana kuwa huu ujambazi una mtandao wake hadi jumba "jekundu"
 
Hamna bunge hapo

Ova
 
Uko sahihi maana hilo chama la majizi ni ndio mzee, na ukienda kinyume tu unapigwa chini.
 
umeanza na kuhitimisha hoja yako kibabe sana dah 🀣

short and clear,
kama vile unakunywa chai ya rangi na andazi moja..πŸ’

umenifurahisha sana gentleman 🀣
 
Ndugu una mawazo mgando. Ulichoongea ni ulevi wa madaraka. Subiri tu, siku itafika ili uone impact ya wananchi wanaoibiwa. Kila kitu kina mwisho. Ingawa Africa A is Z, and Z is A.
 
Ndugu una mawazo mgando. Ulichoongea ni ulevi wa madaraka. Subiri tu, siku itafika ili uone impact ya wananchi wanaoibiwa. Kila kitu kina mwisho. Ingawa Africa A is Z, and Z is A.
pole gentleman,
mawazo yangu yamekugandisha sio 🀣

dua la kuku halimpati mwewe, kua muungwana tu vitu flani huna,si lazima uwe na vyote ndugu zangu πŸ’
 
Uko sahihi maana hilo chama la majizi ni ndio mzee, na ukienda kinyume tu unapigwa chini.
ndio,
si kama akina zito, kitila na mwingamba, silinde, katambi, Dr. Mashinji , dr.molel, Pauline Gekul, Dr slaa , sumaye, Lowasa, nyalandu, mjeja, hawa COVID-19 n.k enzi hizo chadema, kwani walifanya nini?

gentleman πŸ’
 
Comment hii imfikie Tlaatlaah

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…