Hatua za kikanuni za Bunge zitakazochukuliwa dhidi ya Luhaga Mpina ziambatane na hatua muafaka za kikatiba za CCM kumng'atua

Hatua za kikanuni za Bunge zitakazochukuliwa dhidi ya Luhaga Mpina ziambatane na hatua muafaka za kikatiba za CCM kumng'atua

Huko CCM kuwalinda wevi, waongo na wala rushwa, ndiyo mila na desturi ambazo Mpina, unasema amekiuka?

Kwenu wanaCCM ambao mko CCM mkiamini kuwa chama kipo kwaajili ya kulinda haki za wananchi, mwenzenu huyu anasema kuwa ukifichua uovu wa watendaji wa Serikali, unakuwa umekiuka maadili, mila na desturi za CCM. Na mwenzenu anasema kuwa kula rushwa na kufisadi pesa ya umma kwa kiasi kikubwa, kwa CCM, ni uchapakazi!!

Ni muda wa wanaCCM wanaochukia rushwa, wizi na uwongo, kujitafakari na kujipima kama wapo mahali sahihi. Sahizi CCM haimtaki Mpina kwa sababu amekuwa mkweli na amefichua uharamia wa Bashe.
Gentleman,
Mh.sana Luhaga Mpina habanduliwi CCM kwasababu ya kiburi na jeuri jeuri yake tu, bali anapewa fursa na nafasi nzuri zaidi ya kufichua uovu wa watendaji wa serikali kama unavyo sema akiwa na wenzake huko Itigi na maeneo mengine....

huku CCM anabanwa sana na inaonekana hatafanya vizur kazi yake hiyo muhimu sana kwa maslahi ya makampuni ya sukari yanayomfadhili na Upinzani unaomshabikia 🐒

tunatamani aungane nao, wawe timu moja kuliko kuwapigia kelele wanaCCM na kuwavunjia heshima waliojijengea kwa wananchi kwa muda mrefu sana, politically speaking 🐒
 
Nyie endeleeni kuwalinda wabadhirifu hukoooo

Ova
nanyi vile vile,
endeleeni tena kwa bidii sana kubuni na kutunga tuhuma za uongo na uzushi, maana wanainchi hasa wa vijijini mathalani huko singida wanazifurahia sana, wanazihitaji mno katika kutatua changamoto za za maendeleo 🐒
 
We endeleaaa kutetea ubadhirifu

Ova
 
Huu uzi una gubu sn umekaaa kike kike kwa hiyo ukiwa ndani ya ccm hutakiwi kuwa na hoja pingamizi?
 
nanyi vile vile,
endeleeni tena kwa bidii sana kubuni na kutunga tuhuma za uongo na uzushi, maana wanainchi hasa wa vijijini mathalani huko singida wanazifurahia sana, wanazihitaji mno katika kutatua changamoto za za maendeleo 🐒
Mtetea uwizi na ubadhirifu wewe

Ova
 
suala hapa sio kumuonea mtu aibu au haya, katika kueleza na kubainisha ukweli bayana wa mambo...

na hicho ndicho,
ni muhimu sana CCM ikambandua huyu muungwana chamani mara moja 🐒
Uoni hata aibu Kaka?
 
Nchi hii akisema ukweli tu kaishakuwa adui, wanasiasa na chawa wao ni watamzonga mpaka basi, mtu kaishatoa ushahidi wake, haujathibitika kama uongo mnataka afukuzwe, je kama ni kweli kwanini bashe na mwigulu wasivuliwe uanachama, haiwezekani kuwavua uanachama sababu WOTE LENGO LAO NI KUPIGA TU NCHI HII.
 
suala hapa sio kumuonea mtu aibu au haya, katika kueleza na kubainisha ukweli bayana wa mambo...

na hicho ndicho,
ni muhimu sana CCM ikambandua huyu muungwana chamani mara moja 🐒
WE ENDELEA KUTETEA UWIZI NA UBADHIRIFU

OVA
 
Mtetea uwizi na ubadhirifu wewe

Ova
naona taratibu pumzi inakata,

hata hivyo hiyo sio shida yangu,
ni muhimu sana CCM kuchukua hatua muhimu sana, mara baada tu ya bunge kumaliza kazi yake muhimu sana kupitia kamati ya maadili...

na CCM ikihitimisha kazi yake, iiarifu Tume Huru Ya Uchaguzi, nayo tume iliarifu bunge mara moja na taratibu nyingine za kisheria zifuate 🐒
 
Issue hapa sio kuangalia Mpina aliongelea wapi huu "ujambazi'
Suala hapa ni kujadili na kutafuta ukweli kuhusu huu ujambazi wa hawa watu!
CCM wameamua kuhamisha "mada" ili kuficha huu ujambazi kama kawaida yao!
Na hii inaonekana kuwa huu ujambazi una mtandao wake hadi jumba "jekundu"
 
Hamna bunge hapo

Ova
 
binafs sifahamu,
but nadhani kwa aina ya siasa anazofanya, ni dhahiri tayari ameshajihakikishia destination ya platform miongni mwa vyama vya siasa nchini,

na anafahamu fika kwamba, hawezi kuachwa kuendeleza jeuri na kiburi yake ndani ya CCM, na hawezi tena kuishi ndani ya CCM kwa style ya siasa anazofanya...

anaelekea wapi ni suala la muda tu,

but politically speaking,
sioni akikimaliza kipindi cha bunge kilichosalia, kakiwa mbunge wa CCM na haitawezekana tena kua mbunge wa Upinzani 🐒
Uko sahihi maana hilo chama la majizi ni ndio mzee, na ukienda kinyume tu unapigwa chini.
 
Nchi hii akisema ukweli tu kaishakuwa adui, wanasiasa na chawa wao ni watamzonga mpaka basi, mtu kaishatoa ushahidi wake, haujathibitika kama uongo mnataka afukuzwe, je kama ni kweli kwanini bashe na mwigulu wasivuliwe uanachama, haiwezekani kuwavua uanachama sababu WOTE LENGO LAO NI KUPIGA TU NCHI HII.
umeanza na kuhitimisha hoja yako kibabe sana dah 🤣

short and clear,
kama vile unakunywa chai ya rangi na andazi moja..🐒

umenifurahisha sana gentleman 🤣
 
Ni wakati muafaka sasa kwa CCM kufanya wajibu wake muhimu sana, dhidi ya wenye kiburi, waongo, wabishi na wenye tamaa waliobakiza mioyo yao ccm, lakini akili zao zikiwa kwa walio watuma.

Wakati kamati ya maadili ya bunge ikiendelea na majadiliano, kufanya uchambuzi wa kina na kujiridhisha mbivu na mbichi juu ya nyaraka na vielelezo alivyo wasilisha Mh. Luhaga Mpina kwa spika, dhidi ya tuhuma anazomtuhumu waziri wa kilimo, mwenye bidii sana, mchapakazi hodari waziri Mh. Hussein Bashe.

CCM ijiandae kumchukilia Mh. Luhaga Mpina hatua stahiki za kinidhamu dhidi ya kumdharau spika, kulidharau bunge, kumzushia Mh. waziri waziri Bashe kinachofanyiwa kazi na kamati ya bunge, na kuituhumu bila hakika serikali yote sikivu ya CCM kwa ujumla.

Hii si sawa kwa taasisi imara na makini kama CCM, kuendelea kuwavumilia wanachama wake wasio zingatia misingi ya nidhamu, kanuni na katiba ya chama na kukengeuka kwa chuki isiyo na sababu.

Na baada ya kumchukilia hatua za kawaida za kinidhamu kwa mujibu wa katiba ya CCM, iwe pia ni wakati muafaka chama kiende mbali zaidi, kwa kumvua uanachama wa CCM Mh. Luhaga Mpina kwa kukiuka na kwenda kinyume na kanuni, taratibu, mila, desturi na utamaduni wa CCM, wa kufanya kazi kwa kuheshimiana na kwa umoja ili kuwaletea wananchi maendeleo.

Mh Luhaga Mpina abanduliwe CCM haraka iwezekanavyo kwa kutatiza mara kwa mara kupinga, na kijaribu kidhoofisha na kwa kupotosha kwa makusudi nia, mipango mikakati na malengo ya chama na serikali sikivu ya ccm katika kuwaletea wananchi maendeleo, na kuchochea mageuzi ya kisiasa, kijamii na kiuchumi kwenye maisha ya waTanzania wote.

Mh. Luhaga Mpina apokonywe uanachama wa CCM, ili akapate fursa na wasaa mzuri zaidi wa kuendeleza tuhuma zake na gubu binafsi alizonazo, dhidi ya baadhi ya waandamizi serikalini, ambao anahisi ndio waliosababisha na kuchochea, yeye Mh. Luhaga Mpina kutoswa kwanye baraza la mawaziri alilokua akihuduma kama waziri wa uvuvi, hapo awali.

Mh. Luhaga Mpina avuliwe uanachama ili kwa uhuru zaidi, akaungane na wenzie wa upande wa pili, wanaomtetea na waliopoteza uelekeo, walio kosa hoja, sera na wasiojua hata wana dai nini wala wanatetea nini, yaani wapo wapo tu. :pulpTRAVOLTA: :pulpTRAVOLTA:

Ni matumaini yangu, mpaka sasa kwa hali ilipofikia, pasina shaka yoyote, kupitia vyombo maalumu vya chama, CCM itakua imejiridhisha pasina shaka yoyote kwamba Mh. Luhaga Mpina kwa kiburi, jeuri na utovu wa nidhamu hana sifa wala vigezo tena vya kua mwananchama, mkereketwa wala shabiki wa CCM na anastahili kufubgashiwa virago vyake CCM.

- Spika Tulia amburuza Luhanga Mpina Kamati ya maadili
Ndugu una mawazo mgando. Ulichoongea ni ulevi wa madaraka. Subiri tu, siku itafika ili uone impact ya wananchi wanaoibiwa. Kila kitu kina mwisho. Ingawa Africa A is Z, and Z is A.
 
Ndugu una mawazo mgando. Ulichoongea ni ulevi wa madaraka. Subiri tu, siku itafika ili uone impact ya wananchi wanaoibiwa. Kila kitu kina mwisho. Ingawa Africa A is Z, and Z is A.
pole gentleman,
mawazo yangu yamekugandisha sio 🤣

dua la kuku halimpati mwewe, kua muungwana tu vitu flani huna,si lazima uwe na vyote ndugu zangu 🐒
 
Uko sahihi maana hilo chama la majizi ni ndio mzee, na ukienda kinyume tu unapigwa chini.
ndio,
si kama akina zito, kitila na mwingamba, silinde, katambi, Dr. Mashinji , dr.molel, Pauline Gekul, Dr slaa , sumaye, Lowasa, nyalandu, mjeja, hawa COVID-19 n.k enzi hizo chadema, kwani walifanya nini?

gentleman 🐒
 
Issue hapa sio kuangalia Mpina aliongelea wapi huu "ujambazi'
Suala hapa ni kujadili na kutafuta ukweli kuhusu huu ujambazi wa hawa watu!
CCM wameamua kuhamisha "mada" ili kuficha huu ujambazi kama kawaida yao!
Na hii inaonekana kuwa huu ujambazi una mtandao wake hadi jumba "jekundu"
Comment hii imfikie Tlaatlaah

Ova
 
Back
Top Bottom