Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo ni pigo za kizamani mnaleta zama hizi, ingekuwa Bora hoja za Mpina zijibiwe kuliko kumletea vitisho.
Ni wakati muafaka sasa kwa CCM kufanya wajibu wake muhimu sana, dhidi ya wenye kiburi, waongo, wabishi na wenye tamaa waliobakiza mioyo yao ccm, lakini akili zao zikiwa kwa walio watuma.
Wakati kamati ya maadili ya bunge ikiendelea na majadiliano, kufanya uchambuzi wa kina na kujiridhisha mbivu na mbichi juu ya nyaraka na vielelezo alivyo wasilisha Mh. Luhaga Mpina kwa spika, dhidi ya tuhuma anazomtuhumu waziri wa kilimo, mwenye bidii sana, mchapakazi hodari waziri Mh. Hussein Bashe.
CCM ijiandae kumchukilia Mh. Luhaga Mpina hatua stahiki za kinidhamu dhidi ya kumdharau spika, kulidharau bunge, kumzushia Mh. waziri waziri Bashe kinachofanyiwa kazi na kamati ya bunge, na kuituhumu bila hakika serikali yote sikivu ya CCM kwa ujumla.
Hii si sawa kwa taasisi imara na makini kama CCM, kuendelea kuwavumilia wanachama wake wasio zingatia misingi ya nidhamu, kanuni na katiba ya chama na kukengeuka kwa chuki isiyo na sababu.
Na baada ya kumchukilia hatua za kawaida za kinidhamu kwa mujibu wa katiba ya CCM, iwe pia ni wakati muafaka chama kiende mbali zaidi, kwa kumvua uanachama wa CCM Mh. Luhaga Mpina kwa kukiuka na kwenda kinyume na kanuni, taratibu, mila, desturi na utamaduni wa CCM, wa kufanya kazi kwa kuheshimiana na kwa umoja ili kuwaletea wananchi maendeleo.
Mh Luhaga Mpina abanduliwe CCM haraka iwezekanavyo kwa kutatiza mara kwa mara kupinga, na kijaribu kidhoofisha na kwa kupotosha kwa makusudi nia, mipango mikakati na malengo ya chama na serikali sikivu ya ccm katika kuwaletea wananchi maendeleo, na kuchochea mageuzi ya kisiasa, kijamii na kiuchumi kwenye maisha ya waTanzania wote.
Mh. Luhaga Mpina apokonywe uanachama wa CCM, ili akapate fursa na wasaa mzuri zaidi wa kuendeleza tuhuma zake na gubu binafsi alizonazo, dhidi ya baadhi ya waandamizi serikalini, ambao anahisi ndio waliosababisha na kuchochea, yeye Mh. Luhaga Mpina kutoswa kwanye baraza la mawaziri alilokua akihuduma kama waziri wa uvuvi, hapo awali.
Mh. Luhaga Mpina avuliwe uanachama ili kwa uhuru zaidi, akaungane na wenzie wa upande wa pili, wanaomtetea na waliopoteza uelekeo, walio kosa hoja, sera na wasiojua hata wana dai nini wala wanatetea nini, yaani wapo wapo tu.![]()
Ni matumaini yangu, mpaka sasa kwa hali ilipofikia, pasina shaka yoyote, kupitia vyombo maalumu vya chama, CCM itakua imejiridhisha pasina shaka yoyote kwamba Mh. Luhaga Mpina kwa kiburi, jeuri na utovu wa nidhamu hana sifa wala vigezo tena vya kua mwananchama, mkereketwa wala shabiki wa CCM na anastahili kufubgashiwa virago vyake CCM.
- Spika Tulia amburuza Luhanga Mpina Kamati ya maadili
uongo na uzushi unajibiwaje sasa na wewe gentleman? 🐒Hizo ni pigo za kizamani mnaleta zama hizi, ingekuwa Bora hoja za Mpina zijibiwe kuliko kumletea vitisho.
Wanahusika Mpina na Bashe, kwanini Bunge na CCM wajikite kumchunguza Mpina tu???bunge linaendelea na kazi hiyo kupitia kamati ya maadili na itamshauri spika hatua muafaka za kumchukulia Mh.Luhaga Mpina mbunge wa Jimbo la Kisesa...
Lakin pia CCM kupitia vyombo vyake vya kimaadili kuanzia ngazi ya tawi la Mh.Luhaga Mpina nao pia kazi inaendelea, japo tayari kwa kiasi Fulani ilishafanyika, kinachosubiriwa sasa ni taarifa ya spika...
CCM haijatuma mtu bungeni kwenda kutuhumu watu kwa uzushi na uongo, wala kwenda kumvunjia heshima spika, kulivunjia heshima bunge, mawaziri, serikali na wanainchi kwa ujumla kupitia bunge letu tukufu la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania 🐒
We bado unaamini hayo Mausemi yenu ya kizamanikwamba kuku atamkamata mwewe 🤣
acha upotoshaji gentleman,Hiyo ni dhana mbaya ya kufunga midomo ya wana-CCM wenye mawazo tofauti.
utapanda wap mrangi wew akati huna hata hakika hapo ulipo uko juu katikati au chini?🤣We bado unaamini hayo Mausemi yenu ya kizamani
Sjui aliyeko juu mngojeee chini..
Mimi wee uko juu mimi nakupandiaaa huko huko juu alafu mimi ndiyo nakushusha
Ova
RUSHWA imepofusha ufahamu wako!!with my dead body,
sugar companies zimempotosha pakubwa huyu muungwana ambae anakwenda kubanduliwa CCM na kupoteza ubunge wake kirahisi sana, hata sijui wamempa kiasia gani my colleague, maskini Luhaga Mpina 🐒
Acha ukasuku na uchawa. Unampomtetea Bashe kuhusu vibali vya sukari uliona sukari ikishuka bei kutokana na kuingizwa sukari isiyokua na ushuru? Pumbafu nyie vibaraka wa ufisadi. Kile anadai Mpina Ni kufichua njama zinavyofanywa na wanasiasa na wafanyabiashara kufisidi taifa na kuwaumiza raia bila ya huruma.
Ni wakati muafaka sasa kwa CCM kufanya wajibu wake muhimu sana, dhidi ya wenye kiburi, waongo, wabishi na wenye tamaa waliobakiza mioyo yao ccm, lakini akili zao zikiwa kwa walio watuma.
Wakati kamati ya maadili ya bunge ikiendelea na majadiliano, kufanya uchambuzi wa kina na kujiridhisha mbivu na mbichi juu ya nyaraka na vielelezo alivyo wasilisha Mh. Luhaga Mpina kwa spika, dhidi ya tuhuma anazomtuhumu waziri wa kilimo, mwenye bidii sana, mchapakazi hodari waziri Mh. Hussein Bashe.
CCM ijiandae kumchukilia Mh. Luhaga Mpina hatua stahiki za kinidhamu dhidi ya kumdharau spika, kulidharau bunge, kumzushia Mh. waziri waziri Bashe kinachofanyiwa kazi na kamati ya bunge, na kuituhumu bila hakika serikali yote sikivu ya CCM kwa ujumla.
Hii si sawa kwa taasisi imara na makini kama CCM, kuendelea kuwavumilia wanachama wake wasio zingatia misingi ya nidhamu, kanuni na katiba ya chama na kukengeuka kwa chuki isiyo na sababu.
Na baada ya kumchukilia hatua za kawaida za kinidhamu kwa mujibu wa katiba ya CCM, iwe pia ni wakati muafaka chama kiende mbali zaidi, kwa kumvua uanachama wa CCM Mh. Luhaga Mpina kwa kukiuka na kwenda kinyume na kanuni, taratibu, mila, desturi na utamaduni wa CCM, wa kufanya kazi kwa kuheshimiana na kwa umoja ili kuwaletea wananchi maendeleo.
Mh Luhaga Mpina abanduliwe CCM haraka iwezekanavyo kwa kutatiza mara kwa mara kupinga, na kijaribu kidhoofisha na kwa kupotosha kwa makusudi nia, mipango mikakati na malengo ya chama na serikali sikivu ya ccm katika kuwaletea wananchi maendeleo, na kuchochea mageuzi ya kisiasa, kijamii na kiuchumi kwenye maisha ya waTanzania wote.
Mh. Luhaga Mpina apokonywe uanachama wa CCM, ili akapate fursa na wasaa mzuri zaidi wa kuendeleza tuhuma zake na gubu binafsi alizonazo, dhidi ya baadhi ya waandamizi serikalini, ambao anahisi ndio waliosababisha na kuchochea, yeye Mh. Luhaga Mpina kutoswa kwanye baraza la mawaziri alilokua akihuduma kama waziri wa uvuvi, hapo awali.
Mh. Luhaga Mpina avuliwe uanachama ili kwa uhuru zaidi, akaungane na wenzie wa upande wa pili, wanaomtetea na waliopoteza uelekeo, walio kosa hoja, sera na wasiojua hata wana dai nini wala wanatetea nini, yaani wapo wapo tu.![]()
Ni matumaini yangu, mpaka sasa kwa hali ilipofikia, pasina shaka yoyote, kupitia vyombo maalumu vya chama, CCM itakua imejiridhisha pasina shaka yoyote kwamba Mh. Luhaga Mpina kwa kiburi, jeuri na utovu wa nidhamu hana sifa wala vigezo tena vya kua mwananchama, mkereketwa wala shabiki wa CCM na anastahili kufubgashiwa virago vyake CCM.
- Spika Tulia amburuza Luhanga Mpina Kamati ya maadili
Utajuwa tuutapanda wap mrangi wew akati huna hata hakika hapo ulipo uko juu katikati au chini?🤣
hebu acha hadaa zako bana mchana kweupeee 🐒
Jamaa kashiba huyooAcha ukasuku na uchawa. Unampomtetea Bashe kuhusu vibali vya sukari uliona sukari ikishuka bei kutokana na kuingizwa sukari isiyokua na ushuru? Pumbafu nyie vibaraka wa ufisadi. Kile anadai Mpina Ni kufichua njama zinavyofanywa na wanasiasa na wafanyabiashara kufisidi taifa na kuwaumiza raia bila ya huruma.
Kwa kipi hasa ulichoandika chenye weledi wa kusomwa mara nne? Ulipitia chapisho la Mpina? Uliona kilichoandikwa, unaweza kuhusianisha na huu upuuzi wako unaosema tuusome mara nne?hizi mada za kitaalamu sio kwaajili ya wavivu na wakurupukaji gentleman 🐒
haihitaji mihemko wala haraka kusoma taratibu zaidi ya mara4 ili kupata uelewa na ufahamu wa kutosha juu ya jambo lenyewe, na kutafakari kwa kina kabla ya kureply au kukoment...
kwa kufanya hivyo itakua umejitendea haki mwenyewe kifikra.
vinginevyo itakua ni wale wale kwa kukimbilia kwenye hitimisho kwa kejeli, ghadhabu na matusi ikiashiria dhahiri shahiri anacho weza nje ya hoja ni hicho tu 🐒
naamini wew si moja wao, jitahidi kua na bidii 🐒
Nachanganyikiwa hapa. Mpina kato tuhuma, na kaambatiza reference, (citation); sasa hata kabla hamjasoma hizo reference na kujiridhisha mmeanza kumshambulia. Mngepekua kwanza hizo reference na kuonyesha uongo wake ingeeleweka. Labda ni mimi tu ndiyo sielewi. Sasa wewe ulitaka afanyeje? Akae kimya?kwamba ukitoswa kwenye baraza la mawaziri, unakasirika na kuanza kuhisi ati fulani ndie amekuchomea ukatoswa, na sasa unajenga chuki binafsi na gubu dhidi yake kwa kubuni tuhuma za uzushi na uongo eti nae aachishwe kazi, kama yeye mchoma nyavu za wavivu wadogo wanyonge, na mpima ukubwa wa samaki tena waliorostiwa kwa rula 🤣
eti huyu ndie mtu mwema anaekimbia CMC, right?
mtu mwema aliangamiza mamilioni ya vifaranga vya kuku aise dah 🤣
ndio maana nikwambia mrangi sidhani kama unaelewa uko juu, chini au katikati 🐒