Hatua za kikanuni za Bunge zitakazochukuliwa dhidi ya Luhaga Mpina ziambatane na hatua muafaka za kikatiba za CCM kumng'atua


Ww unaona umeandika kitalaam 🀣🀣🀣Basi ndo maana tz ina majitu majinga sana na mapuuzi sasa ww Alicho kiandika mpina hata mtoto wa darasa la kwanza anaelewa ww puuzi umeshindwa nn kuelewa acheni uchawa nyie wapiga miluzi.
 
sasa akiwa nje ya CCM si ndio atapata fursa na nafasi nzuri zaidi ya kufichua huo ubunifu wa uzushi na uongo wa stori na porojo za kupoteza muda?πŸ’

huoni kwamba hana amani akiwa amezungukwa na wanaCCM right left and center, amekua mnyonge asie na rafiki wa kumfariji mule chamani?

huoni kwamba ni wakati muafaka hata kwa hali ya kibinadamu tu kwamba yupo na maisha magumu zaidi kisiasa ndani ya CCM πŸ’

nadhani aende pengine, aungane na wenye body languages, facial expressions, tone na style of politics kama yake na wafanye hiyo kazi ngumu ameanzisha na wasonge mbele pamoja, politically and professionally speaking πŸ’
 
ndio,
si kama akina zito, kitila na mwingamba, silinde, katambi, Dr. Mashinji , dr.molel, Pauline Gekul, Dr slaa , sumaye, Lowasa, nyalandu, mjeja, hawa COVID-19 n.k enzi hizo chadema, kwani walifanya nini?

gentleman πŸ’
Umetaja watu wengi utadhani wote waliondoka cdm kwa kufukuzwa. Inaonyesha umeshavurugwa🌈
 
 
CCM ijiandae kumuadhibu Mpina!!
Checks and balances stori the same to be applied to Bashe if true.
 
Ww unaona umeandika kitalaam 🀣🀣🀣Basi ndo maana tz ina majitu majinga sana na mapuuzi sasa ww Alicho kiandika mpina hata mtoto wa darasa la kwanza anaelewa ww puuzi umeshindwa nn kuelewa acheni uchawa nyie wapiga miluzi.
naona umeanza kuchangamka na unapiga jeramba la kuanza kuyaporomosha tena bila hata kuelewa nondo za maana zilizosheheni kwenye bandiko langu, kuhusu haki ya kubanduliwa CCM, anayostahili mh.Luhaga Mpina mbunge wa Jimbo la Kisesa kwa wakati huu muafaka sana πŸ’
 
Ni kichaa tu anayeweza kuufanyia kazi huu ushauri wa kihuni.
naona umechangia na kuhitimisha mchango wako muhimu sana dhidi ya hoja yangu, kwa ghadhabu na mihemko tulivu, short and very clear kabisaa gentleman πŸ‘ŠπŸ’
 
Luhaga ni wa moto sana,napita hapa korido ya ccm kila mtu anavyonya tu kwamba tumfanyeje,kafunua marinda ya serikali ya mama kizimkazi nyeti njenje
 
CCM ijiandae kumuadhibu Mpina!!
Checks and balances stori the same to be applied to Bashe if true.
bunge linaendelea na kazi hiyo kupitia kamati ya maadili na itamshauri spika hatua muafaka za kumchukulia Mh.Luhaga Mpina mbunge wa Jimbo la Kisesa...

Lakin pia CCM kupitia vyombo vyake vya kimaadili kuanzia ngazi ya tawi la Mh.Luhaga Mpina nao pia kazi inaendelea, japo tayari kwa kiasi Fulani ilishafanyika, kinachosubiriwa sasa ni taarifa ya spika...

CCM haijatuma mtu bungeni kwenda kutuhumu watu kwa uzushi na uongo, wala kwenda kumvunjia heshima spika, kulivunjia heshima bunge, mawaziri, serikali na wanainchi kwa ujumla kupitia bunge letu tukufu la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania πŸ’
 
Zimepita siku nyingi nilikua sijasoma upuuzi.
Thanks for posting
 
Huo ushahidi utaondoa baadhi ya mawaziri,

Tusubiri.
with my dead body,
sugar companies zimempotosha pakubwa huyu muungwana ambae anakwenda kubanduliwa CCM na kupoteza ubunge wake kirahisi sana, hata sijui wamempa kiasia gani my colleague, maskini Luhaga Mpina πŸ’
 
Zimepita siku nyingi nilikua sijasoma upuuzi.
Thanks for posting
punguza tu mihemko na uskubali ikakuchochea uanze matusi tena gentleman πŸ’

usikate tamaa tafadhali muungwana ndio hivyo tena atabanduliwa CCM na kupoteza sifa za kua mbunge wa Jimbo la Kisesa πŸ’
 
with my dead body,
sugar companies zimempotosha pakubwa huyu muungwana ambae anakwenda kubanduliwa CCM na kupoteza ubunge wake kirahisi sana, hata sijui wamempa kiasia gani my colleague, maskini Luhaga Mpina [emoji205]

Hata mkimtoa ccm ataenda chama chochote na wananchi watamfanya mbunge tena
 
pole gentleman,
mawazo yangu yamekugandisha sio 🀣

dua la kuku halimpati mwewe, kua muungwana tu vitu flani huna,si lazima uwe na vyote ndugu zangu πŸ’
Eti dua la kuku halimpati mweweee,iko siku litampata tu
Siku yenu itafika tu

Ova
 
Hata mkimtoa ccm ataenda chama chochote na wananchi watamfanya mbunge tena
hiyo ndio vibrant democracy Tanzania inahitaji sio kutetea uzushi na uongo mahali ambapo hauhitajiki, nenda kule unahitajika with new comeback in political scene πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…