Hatua za kikanuni za Bunge zitakazochukuliwa dhidi ya Luhaga Mpina ziambatane na hatua muafaka za kikatiba za CCM kumng'atua

hizi mada za kitaalamu sio kwaajili ya wavivu na wakurupukaji gentleman 🐒

haihitaji mihemko wala haraka kusoma taratibu zaidi ya mara4 ili kupata uelewa na ufahamu wa kutosha juu ya jambo lenyewe, na kutafakari kwa kina kabla ya kureply au kukoment...

kwa kufanya hivyo itakua umejitendea haki mwenyewe kifikra.

vinginevyo itakua ni wale wale kwa kukimbilia kwenye hitimisho kwa kejeli, ghadhabu na matusi ikiashiria dhahiri shahiri anacho weza nje ya hoja ni hicho tu 🐒

naamini wew si moja wao, jitahidi kua na bi

naamini wew si moja wao, jitahidi kua na bidii 🐒
Ww unaona umeandika kitalaam 🤣🤣🤣Basi ndo maana tz ina majitu majinga sana na mapuuzi sasa ww Alicho kiandika mpina hata mtoto wa darasa la kwanza anaelewa ww puuzi umeshindwa nn kuelewa acheni uchawa nyie wapiga miluzi.
 
Issue hapa sio kuangalia Mpina aliongelea wapi huu "ujambazi'
Suala hapa ni kujadili na kutafuta ukweli kuhusu huu ujambazi wa hawa watu!
CCM wameamua kuhamisha "mada" ili kuficha huu ujambazi kama kawaida yao!
Na hii inaonekana kuwa huu ujambazi una mtandao wake hadi jumba "jekundu"
sasa akiwa nje ya CCM si ndio atapata fursa na nafasi nzuri zaidi ya kufichua huo ubunifu wa uzushi na uongo wa stori na porojo za kupoteza muda?🐒

huoni kwamba hana amani akiwa amezungukwa na wanaCCM right left and center, amekua mnyonge asie na rafiki wa kumfariji mule chamani?

huoni kwamba ni wakati muafaka hata kwa hali ya kibinadamu tu kwamba yupo na maisha magumu zaidi kisiasa ndani ya CCM 🐒

nadhani aende pengine, aungane na wenye body languages, facial expressions, tone na style of politics kama yake na wafanye hiyo kazi ngumu ameanzisha na wasonge mbele pamoja, politically and professionally speaking 🐒
 
ndio,
si kama akina zito, kitila na mwingamba, silinde, katambi, Dr. Mashinji , dr.molel, Pauline Gekul, Dr slaa , sumaye, Lowasa, nyalandu, mjeja, hawa COVID-19 n.k enzi hizo chadema, kwani walifanya nini?

gentleman 🐒
Umetaja watu wengi utadhani wote waliondoka cdm kwa kufukuzwa. Inaonyesha umeshavurugwa🌈
 
Ni wakati muafaka sasa kwa CCM kufanya wajibu wake muhimu sana, dhidi ya wenye kiburi, waongo, wabishi na wenye tamaa waliobakiza mioyo yao ccm, lakini akili zao zikiwa kwa walio watuma.

Wakati kamati ya maadili ya bunge ikiendelea na majadiliano, kufanya uchambuzi wa kina na kujiridhisha mbivu na mbichi juu ya nyaraka na vielelezo alivyo wasilisha Mh. Luhaga Mpina kwa spika, dhidi ya tuhuma anazomtuhumu waziri wa kilimo, mwenye bidii sana, mchapakazi hodari waziri Mh. Hussein Bashe.

CCM ijiandae kumchukilia Mh. Luhaga Mpina hatua stahiki za kinidhamu dhidi ya kumdharau spika, kulidharau bunge, kumzushia Mh. waziri waziri Bashe kinachofanyiwa kazi na kamati ya bunge, na kuituhumu bila hakika serikali yote sikivu ya CCM kwa ujumla.

Hii si sawa kwa taasisi imara na makini kama CCM, kuendelea kuwavumilia wanachama wake wasio zingatia misingi ya nidhamu, kanuni na katiba ya chama na kukengeuka kwa chuki isiyo na sababu.

Na baada ya kumchukilia hatua za kawaida za kinidhamu kwa mujibu wa katiba ya CCM, iwe pia ni wakati muafaka chama kiende mbali zaidi, kwa kumvua uanachama wa CCM Mh. Luhaga Mpina kwa kukiuka na kwenda kinyume na kanuni, taratibu, mila, desturi na utamaduni wa CCM, wa kufanya kazi kwa kuheshimiana na kwa umoja ili kuwaletea wananchi maendeleo.

Mh Luhaga Mpina abanduliwe CCM haraka iwezekanavyo kwa kutatiza mara kwa mara kupinga, na kijaribu kidhoofisha na kwa kupotosha kwa makusudi nia, mipango mikakati na malengo ya chama na serikali sikivu ya ccm katika kuwaletea wananchi maendeleo, na kuchochea mageuzi ya kisiasa, kijamii na kiuchumi kwenye maisha ya waTanzania wote.

Mh. Luhaga Mpina apokonywe uanachama wa CCM, ili akapate fursa na wasaa mzuri zaidi wa kuendeleza tuhuma zake na gubu binafsi alizonazo, dhidi ya baadhi ya waandamizi serikalini, ambao anahisi ndio waliosababisha na kuchochea, yeye Mh. Luhaga Mpina kutoswa kwanye baraza la mawaziri alilokua akihuduma kama waziri wa uvuvi, hapo awali.

Mh. Luhaga Mpina avuliwe uanachama ili kwa uhuru zaidi, akaungane na wenzie wa upande wa pili, wanaomtetea na waliopoteza uelekeo, walio kosa hoja, sera na wasiojua hata wana dai nini wala wanatetea nini, yaani wapo wapo tu. :pulpTRAVOLTA: :pulpTRAVOLTA:

Ni matumaini yangu, mpaka sasa kwa hali ilipofikia, pasina shaka yoyote, kupitia vyombo maalumu vya chama, CCM itakua imejiridhisha pasina shaka yoyote kwamba Mh. Luhaga Mpina kwa kiburi, jeuri na utovu wa nidhamu hana sifa wala vigezo tena vya kua mwananchama, mkereketwa wala shabiki wa CCM na anastahili kufubgashiwa virago vyake CCM.

- Spika Tulia amburuza Luhanga Mpina Kamati ya maadili
 
CCM ijiandae kumuadhibu Mpina!!
Checks and balances stori the same to be applied to Bashe if true.
 
Ww unaona umeandika kitalaam 🤣🤣🤣Basi ndo maana tz ina majitu majinga sana na mapuuzi sasa ww Alicho kiandika mpina hata mtoto wa darasa la kwanza anaelewa ww puuzi umeshindwa nn kuelewa acheni uchawa nyie wapiga miluzi.
naona umeanza kuchangamka na unapiga jeramba la kuanza kuyaporomosha tena bila hata kuelewa nondo za maana zilizosheheni kwenye bandiko langu, kuhusu haki ya kubanduliwa CCM, anayostahili mh.Luhaga Mpina mbunge wa Jimbo la Kisesa kwa wakati huu muafaka sana 🐒
 
Ni kichaa tu anayeweza kuufanyia kazi huu ushauri wa kihuni.
naona umechangia na kuhitimisha mchango wako muhimu sana dhidi ya hoja yangu, kwa ghadhabu na mihemko tulivu, short and very clear kabisaa gentleman 👊🐒
 
Ni wakati muafaka sasa kwa CCM kufanya wajibu wake muhimu sana, dhidi ya wenye kiburi, waongo, wabishi na wenye tamaa waliobakiza mioyo yao ccm, lakini akili zao zikiwa kwa walio watuma.

Wakati kamati ya maadili ya bunge ikiendelea na majadiliano, kufanya uchambuzi wa kina na kujiridhisha mbivu na mbichi juu ya nyaraka na vielelezo alivyo wasilisha Mh. Luhaga Mpina kwa spika, dhidi ya tuhuma anazomtuhumu waziri wa kilimo, mwenye bidii sana, mchapakazi hodari waziri Mh. Hussein Bashe.

CCM ijiandae kumchukilia Mh. Luhaga Mpina hatua stahiki za kinidhamu dhidi ya kumdharau spika, kulidharau bunge, kumzushia Mh. waziri waziri Bashe kinachofanyiwa kazi na kamati ya bunge, na kuituhumu bila hakika serikali yote sikivu ya CCM kwa ujumla.

Hii si sawa kwa taasisi imara na makini kama CCM, kuendelea kuwavumilia wanachama wake wasio zingatia misingi ya nidhamu, kanuni na katiba ya chama na kukengeuka kwa chuki isiyo na sababu.

Na baada ya kumchukilia hatua za kawaida za kinidhamu kwa mujibu wa katiba ya CCM, iwe pia ni wakati muafaka chama kiende mbali zaidi, kwa kumvua uanachama wa CCM Mh. Luhaga Mpina kwa kukiuka na kwenda kinyume na kanuni, taratibu, mila, desturi na utamaduni wa CCM, wa kufanya kazi kwa kuheshimiana na kwa umoja ili kuwaletea wananchi maendeleo.

Mh Luhaga Mpina abanduliwe CCM haraka iwezekanavyo kwa kutatiza mara kwa mara kupinga, na kijaribu kidhoofisha na kwa kupotosha kwa makusudi nia, mipango mikakati na malengo ya chama na serikali sikivu ya ccm katika kuwaletea wananchi maendeleo, na kuchochea mageuzi ya kisiasa, kijamii na kiuchumi kwenye maisha ya waTanzania wote.

Mh. Luhaga Mpina apokonywe uanachama wa CCM, ili akapate fursa na wasaa mzuri zaidi wa kuendeleza tuhuma zake na gubu binafsi alizonazo, dhidi ya baadhi ya waandamizi serikalini, ambao anahisi ndio waliosababisha na kuchochea, yeye Mh. Luhaga Mpina kutoswa kwanye baraza la mawaziri alilokua akihuduma kama waziri wa uvuvi, hapo awali.

Mh. Luhaga Mpina avuliwe uanachama ili kwa uhuru zaidi, akaungane na wenzie wa upande wa pili, wanaomtetea na waliopoteza uelekeo, walio kosa hoja, sera na wasiojua hata wana dai nini wala wanatetea nini, yaani wapo wapo tu. :pulpTRAVOLTA: :pulpTRAVOLTA:

Ni matumaini yangu, mpaka sasa kwa hali ilipofikia, pasina shaka yoyote, kupitia vyombo maalumu vya chama, CCM itakua imejiridhisha pasina shaka yoyote kwamba Mh. Luhaga Mpina kwa kiburi, jeuri na utovu wa nidhamu hana sifa wala vigezo tena vya kua mwananchama, mkereketwa wala shabiki wa CCM na anastahili kufubgashiwa virago vyake CCM.

- Spika Tulia amburuza Luhanga Mpina Kamati ya maadili
Luhaga ni wa moto sana,napita hapa korido ya ccm kila mtu anavyonya tu kwamba tumfanyeje,kafunua marinda ya serikali ya mama kizimkazi nyeti njenje
 
CCM ijiandae kumuadhibu Mpina!!
Checks and balances stori the same to be applied to Bashe if true.
bunge linaendelea na kazi hiyo kupitia kamati ya maadili na itamshauri spika hatua muafaka za kumchukulia Mh.Luhaga Mpina mbunge wa Jimbo la Kisesa...

Lakin pia CCM kupitia vyombo vyake vya kimaadili kuanzia ngazi ya tawi la Mh.Luhaga Mpina nao pia kazi inaendelea, japo tayari kwa kiasi Fulani ilishafanyika, kinachosubiriwa sasa ni taarifa ya spika...

CCM haijatuma mtu bungeni kwenda kutuhumu watu kwa uzushi na uongo, wala kwenda kumvunjia heshima spika, kulivunjia heshima bunge, mawaziri, serikali na wanainchi kwa ujumla kupitia bunge letu tukufu la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania 🐒
 
Ni wakati muafaka sasa kwa CCM kufanya wajibu wake muhimu sana, dhidi ya wenye kiburi, waongo, wabishi na wenye tamaa waliobakiza mioyo yao ccm, lakini akili zao zikiwa kwa walio watuma.

Wakati kamati ya maadili ya bunge ikiendelea na majadiliano, kufanya uchambuzi wa kina na kujiridhisha mbivu na mbichi juu ya nyaraka na vielelezo alivyo wasilisha Mh. Luhaga Mpina kwa spika, dhidi ya tuhuma anazomtuhumu waziri wa kilimo, mwenye bidii sana, mchapakazi hodari waziri Mh. Hussein Bashe.

CCM ijiandae kumchukilia Mh. Luhaga Mpina hatua stahiki za kinidhamu dhidi ya kumdharau spika, kulidharau bunge, kumzushia Mh. waziri waziri Bashe kinachofanyiwa kazi na kamati ya bunge, na kuituhumu bila hakika serikali yote sikivu ya CCM kwa ujumla.

Hii si sawa kwa taasisi imara na makini kama CCM, kuendelea kuwavumilia wanachama wake wasio zingatia misingi ya nidhamu, kanuni na katiba ya chama na kukengeuka kwa chuki isiyo na sababu.

Na baada ya kumchukilia hatua za kawaida za kinidhamu kwa mujibu wa katiba ya CCM, iwe pia ni wakati muafaka chama kiende mbali zaidi, kwa kumvua uanachama wa CCM Mh. Luhaga Mpina kwa kukiuka na kwenda kinyume na kanuni, taratibu, mila, desturi na utamaduni wa CCM, wa kufanya kazi kwa kuheshimiana na kwa umoja ili kuwaletea wananchi maendeleo.

Mh Luhaga Mpina abanduliwe CCM haraka iwezekanavyo kwa kutatiza mara kwa mara kupinga, na kijaribu kidhoofisha na kwa kupotosha kwa makusudi nia, mipango mikakati na malengo ya chama na serikali sikivu ya ccm katika kuwaletea wananchi maendeleo, na kuchochea mageuzi ya kisiasa, kijamii na kiuchumi kwenye maisha ya waTanzania wote.

Mh. Luhaga Mpina apokonywe uanachama wa CCM, ili akapate fursa na wasaa mzuri zaidi wa kuendeleza tuhuma zake na gubu binafsi alizonazo, dhidi ya baadhi ya waandamizi serikalini, ambao anahisi ndio waliosababisha na kuchochea, yeye Mh. Luhaga Mpina kutoswa kwanye baraza la mawaziri alilokua akihuduma kama waziri wa uvuvi, hapo awali.

Mh. Luhaga Mpina avuliwe uanachama ili kwa uhuru zaidi, akaungane na wenzie wa upande wa pili, wanaomtetea na waliopoteza uelekeo, walio kosa hoja, sera na wasiojua hata wana dai nini wala wanatetea nini, yaani wapo wapo tu. :pulpTRAVOLTA: :pulpTRAVOLTA:

Ni matumaini yangu, mpaka sasa kwa hali ilipofikia, pasina shaka yoyote, kupitia vyombo maalumu vya chama, CCM itakua imejiridhisha pasina shaka yoyote kwamba Mh. Luhaga Mpina kwa kiburi, jeuri na utovu wa nidhamu hana sifa wala vigezo tena vya kua mwananchama, mkereketwa wala shabiki wa CCM na anastahili kufubgashiwa virago vyake CCM.

- Spika Tulia amburuza Luhanga Mpina Kamati ya maadili
Zimepita siku nyingi nilikua sijasoma upuuzi.
Thanks for posting
 
Huo ushahidi utaondoa baadhi ya mawaziri,

Tusubiri.
with my dead body,
sugar companies zimempotosha pakubwa huyu muungwana ambae anakwenda kubanduliwa CCM na kupoteza ubunge wake kirahisi sana, hata sijui wamempa kiasia gani my colleague, maskini Luhaga Mpina 🐒
 
Zimepita siku nyingi nilikua sijasoma upuuzi.
Thanks for posting
punguza tu mihemko na uskubali ikakuchochea uanze matusi tena gentleman 🐒

usikate tamaa tafadhali muungwana ndio hivyo tena atabanduliwa CCM na kupoteza sifa za kua mbunge wa Jimbo la Kisesa 🐒
 
with my dead body,
sugar companies zimempotosha pakubwa huyu muungwana ambae anakwenda kubanduliwa CCM na kupoteza ubunge wake kirahisi sana, hata sijui wamempa kiasia gani my colleague, maskini Luhaga Mpina [emoji205]

Hata mkimtoa ccm ataenda chama chochote na wananchi watamfanya mbunge tena
 
pole gentleman,
mawazo yangu yamekugandisha sio 🤣

dua la kuku halimpati mwewe, kua muungwana tu vitu flani huna,si lazima uwe na vyote ndugu zangu 🐒
Eti dua la kuku halimpati mweweee,iko siku litampata tu
Siku yenu itafika tu

Ova
 
Hata mkimtoa ccm ataenda chama chochote na wananchi watamfanya mbunge tena
hiyo ndio vibrant democracy Tanzania inahitaji sio kutetea uzushi na uongo mahali ambapo hauhitajiki, nenda kule unahitajika with new comeback in political scene 🐒
 
Back
Top Bottom