Hatua za kikanuni za Bunge zitakazochukuliwa dhidi ya Luhaga Mpina ziambatane na hatua muafaka za kikatiba za CCM kumng'atua

Hizo ni pigo za kizamani mnaleta zama hizi, ingekuwa Bora hoja za Mpina zijibiwe kuliko kumletea vitisho.
 
Hiyo ni dhana mbaya ya kufunga midomo ya wana-CCM wenye mawazo tofauti.
 
Hizo ni pigo za kizamani mnaleta zama hizi, ingekuwa Bora hoja za Mpina zijibiwe kuliko kumletea vitisho.
uongo na uzushi unajibiwaje sasa na wewe gentleman? πŸ’

wew uloibua ndio unatakiwa kuthibitisha kuzushi wako kwamba ni Kweli na ndicho kamati ya bunge inamalizia kuuchambua na kubainisha mbivu na mbichi πŸ’
 
Wanahusika Mpina na Bashe, kwanini Bunge na CCM wajikite kumchunguza Mpina tu???
 
kwamba kuku atamkamata mwewe 🀣
We bado unaamini hayo Mausemi yenu ya kizamani
Sjui aliyeko juu mngojeee chini..
Mimi wee uko juu mimi nakupandiaaa huko huko juu alafu mimi ndiyo nakushusha

Ova
 
Hiyo ni dhana mbaya ya kufunga midomo ya wana-CCM wenye mawazo tofauti.
acha upotoshaji gentleman,

mdomo wa nani uko wazi ndio ufungwe ?πŸ’

kubanduliwa uanachama na kunyang'anywa ubunge sio kuziba mdomo wa mtu, that is democrats procedures and processes....

bado fursa ipo, vyama na na platforms za kisiasa zipo, you can join the stage na kufanya siasa zako vizuri tu na mambo ya mdomo hutaskia tena πŸ’
 
We bado unaamini hayo Mausemi yenu ya kizamani
Sjui aliyeko juu mngojeee chini..
Mimi wee uko juu mimi nakupandiaaa huko huko juu alafu mimi ndiyo nakushusha

Ova
utapanda wap mrangi wew akati huna hata hakika hapo ulipo uko juu katikati au chini?🀣

hebu acha hadaa zako bana mchana kweupeee πŸ’
 
with my dead body,
sugar companies zimempotosha pakubwa huyu muungwana ambae anakwenda kubanduliwa CCM na kupoteza ubunge wake kirahisi sana, hata sijui wamempa kiasia gani my colleague, maskini Luhaga Mpina πŸ’
RUSHWA imepofusha ufahamu wako!!
 
Acha ukasuku na uchawa. Unampomtetea Bashe kuhusu vibali vya sukari uliona sukari ikishuka bei kutokana na kuingizwa sukari isiyokua na ushuru? Pumbafu nyie vibaraka wa ufisadi. Kile anadai Mpina Ni kufichua njama zinavyofanywa na wanasiasa na wafanyabiashara kufisidi taifa na kuwaumiza raia bila ya huruma.
 
Kwani ukiwa ccm lazima ukose akili?
 
Jamaa kashiba huyoo

Ova
 
Kwa kipi hasa ulichoandika chenye weledi wa kusomwa mara nne? Ulipitia chapisho la Mpina? Uliona kilichoandikwa, unaweza kuhusianisha na huu upuuzi wako unaosema tuusome mara nne?

Mkuu, msipende kuacha akili nyuma mnapokuwa ccm.
 
Nachanganyikiwa hapa. Mpina kato tuhuma, na kaambatiza reference, (citation); sasa hata kabla hamjasoma hizo reference na kujiridhisha mmeanza kumshambulia. Mngepekua kwanza hizo reference na kuonyesha uongo wake ingeeleweka. Labda ni mimi tu ndiyo sielewi. Sasa wewe ulitaka afanyeje? Akae kimya?
 
Hebu niambie inawezekana vipi kampuni isajiliwe january 2024 na ije kupewa tenda ya kuleta sukari kuzidi viwanda vilivyo anzishwa miaka na miaka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Akikujibu huyu Tlaatlaah
Uni tag

Ova
ndio maana nikwambia mrangi sidhani kama unaelewa uko juu, chini au katikati πŸ’

anaemtuhumu mwenzie tena bungeni ndie pekee anaepaswa kuthibitisha tuhuma hizo kwa vielelezo mujarabu visivyo na chembe ya shakaπŸ’

sasa kama sugar companies wamekurubuni na kukuchochea kwa visenti kidogo, plus hasira za kutemwa kwenye baraza la mawaziri, akidhani ni Bashe ndie alie mchomea kwa mama akamtosa...

hilo ni jambo la kusubiri kamati ya maadili ya bunge itakavyomshauri spika hatua za kuchukua, huku CCM nayo ikijipanga kuiandikia barua Tume Huru Ya Uchaguzi juu ya uamuzi iliyouchukua, dhidi ya mbunge wake mh.Luhaga Mpina mbunge wa Jimbo la Kisesa πŸ’

mrangi,
usisite kunitag na kuniuliza chochote kwa niaba ya wenzako wengine, usichokielewa kuhusu hoja hii πŸ’
 
nikajuaga jamaa (mleta mada) nyege ndizo zinamdumbua kumbe alikua kwenye ukichaa stage 1 sasa naona zimepanda yupo stage 6 na anajifunza uchawa soon ataanza kuweka namba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…