nabiidaniel
JF-Expert Member
- Feb 25, 2014
- 1,937
- 2,678
Mwambie ukweli huyu chawa hajielewi!Kwani ccm huwa inafuata kanuni!? Ushahidi wa ripoti ya cag kama chama kimechukua hatua gani!?
FBora mpina kuliko spika!
Wee kumbe!! Jamaa ni Hatari sana .. Anatishani nyaraka ghushi za uzushi na uongo wa kiwango cha juu mno gentleman 🐒
sio hivyo tu,Wee kumbe!! Jamaa ni Hatari sana .. Anatisha
Nchi ngumu hiisio hivyo tu,
aliwachomea nyavu zao wavuja jasho maskini sana bila huruma, na kwa kiburi na jeiri ya cheo akaangamiza mamilioni ya vifaranga vya kuku bila huruma wala kujali hasara kwa wafanya biashara husika, leo hii tena kwa kubuni tuhuma na uzushi anarubuniwa kutetea sugar campanies kwa uongo dhidi ya wazoro mwenye dhamana ya kilimo....
ya kuchekesha zaidi, eti alikua anapima ukubwa wa samaki tena walio rostiwa vizuri sana, kwa rula ili akedanganye muhimili na umma wa watanzania
Dogo. Mpina ni msukuma mwenzetu, wa Kanda yetu yenye idadi kubwa ya wapiga kura
Ni wakati muafaka sasa kwa CCM kufanya wajibu wake muhimu sana, dhidi ya wenye kiburi, waongo, wabishi na wenye tamaa waliobakiza mioyo yao ccm, lakini akili zao zikiwa kwa walio watuma.
Wakati kamati ya maadili ya bunge ikiendelea na majadiliano, kufanya uchambuzi wa kina na kujiridhisha mbivu na mbichi juu ya nyaraka na vielelezo alivyo wasilisha Mh. Luhaga Mpina kwa spika, dhidi ya tuhuma anazomtuhumu waziri wa kilimo, mwenye bidii sana, mchapakazi hodari waziri Mh. Hussein Bashe.
CCM ijiandae kumchukilia Mh. Luhaga Mpina hatua stahiki za kinidhamu dhidi ya kumdharau spika, kulidharau bunge, kumzushia Mh. waziri waziri Bashe kinachofanyiwa kazi na kamati ya bunge, na kuituhumu bila hakika serikali yote sikivu ya CCM kwa ujumla.
Hii si sawa kwa taasisi imara na makini kama CCM, kuendelea kuwavumilia wanachama wake wasio zingatia misingi ya nidhamu, kanuni na katiba ya chama na kukengeuka kwa chuki isiyo na sababu.
Na baada ya kumchukilia hatua za kawaida za kinidhamu kwa mujibu wa katiba ya CCM, iwe pia ni wakati muafaka chama kiende mbali zaidi, kwa kumvua uanachama wa CCM Mh. Luhaga Mpina kwa kukiuka na kwenda kinyume na kanuni, taratibu, mila, desturi na utamaduni wa CCM, wa kufanya kazi kwa kuheshimiana na kwa umoja ili kuwaletea wananchi maendeleo.
Mh Luhaga Mpina abanduliwe CCM haraka iwezekanavyo kwa kutatiza mara kwa mara kupinga, na kijaribu kidhoofisha na kwa kupotosha kwa makusudi nia, mipango mikakati na malengo ya chama na serikali sikivu ya ccm katika kuwaletea wananchi maendeleo, na kuchochea mageuzi ya kisiasa, kijamii na kiuchumi kwenye maisha ya waTanzania wote.
Mh. Luhaga Mpina apokonywe uanachama wa CCM, ili akapate fursa na wasaa mzuri zaidi wa kuendeleza tuhuma zake na gubu binafsi alizonazo, dhidi ya baadhi ya waandamizi serikalini, ambao anahisi ndio waliosababisha na kuchochea, yeye Mh. Luhaga Mpina kutoswa kwanye baraza la mawaziri alilokua akihuduma kama waziri wa uvuvi, hapo awali.
Mh. Luhaga Mpina avuliwe uanachama ili kwa uhuru zaidi, akaungane na wenzie wa upande wa pili, wanaomtetea na waliopoteza uelekeo, walio kosa hoja, sera na wasiojua hata wana dai nini wala wanatetea nini, yaani wapo wapo tu.
Ni matumaini yangu, mpaka sasa kwa hali ilipofikia, pasina shaka yoyote, kupitia vyombo maalumu vya chama, CCM itakua imejiridhisha pasina shaka yoyote kwamba Mh. Luhaga Mpina kwa kiburi, jeuri na utovu wa nidhamu hana sifa wala vigezo tena vya kua mwananchama, mkereketwa wala shabiki wa CCM na anastahili kufubgashiwa virago vyake CCM.
- Spika Tulia amburuza Luhanga Mpina Kamati ya maadili
Dogo una hasira kuliko Hata abdulkwamba ukitoswa kwenye baraza la mawaziri, unakasirika na kuanza kuhisi ati fulani ndie amekuchomea ukatoswa, na sasa unajenga chuki binafsi na gubu dhidi yake kwa kubuni tuhuma za uzushi na uongo eti nae aachishwe kazi, kama yeye mchoma nyavu za wavivu wadogo wanyonge, na mpima ukubwa wa samaki tena waliorostiwa kwa rula 🤣
eti huyu ndie mtu mwema anaekimbia CMC, right?
mtu mwema aliangamiza mamilioni ya vifaranga vya kuku aise dah 🤣
hakuna habari za janja janja ya panya ccc,Dogo. Mpina ni msukuma mwenzetu, wa Kanda yetu yenye idadi kubwa ya wapiga kura
Tunajua anasema ukweli lakini kwenye chama chetu ukiwa mkweli hatukuhitaji
Pamoja na hayo hatuwezi kumfukuza tusijetukapoteza kwenye uchaguzi 2025
Umeelewa dogo?
Mh.Mpina alipokua anajaribu kuwahadaa na kuwapotosha waTanzania kwa takwimu za kubuni, akijaribu kumchalenge Dr.Mwigulu kwa data za kutunga, aliulizwa na spika swali dogo tu...Hivi hukumbuki alimwandama Mwigulu, Makamba etc etc
You're a congenital liar"; who is paying you guys??
Rubbish
Ni wakati muafaka sasa kwa CCM kufanya wajibu wake muhimu sana, dhidi ya wenye kiburi, waongo, wabishi na wenye tamaa waliobakiza mioyo yao ccm, lakini akili zao zikiwa kwa walio watuma.
Wakati kamati ya maadili ya bunge ikiendelea na majadiliano, kufanya uchambuzi wa kina na kujiridhisha mbivu na mbichi juu ya nyaraka na vielelezo alivyo wasilisha Mh. Luhaga Mpina kwa spika, dhidi ya tuhuma anazomtuhumu waziri wa kilimo, mwenye bidii sana, mchapakazi hodari waziri Mh. Hussein Bashe.
CCM ijiandae kumchukilia Mh. Luhaga Mpina hatua stahiki za kinidhamu dhidi ya kumdharau spika, kulidharau bunge, kumzushia Mh. waziri waziri Bashe kinachofanyiwa kazi na kamati ya bunge, na kuituhumu bila hakika serikali yote sikivu ya CCM kwa ujumla.
Hii si sawa kwa taasisi imara na makini kama CCM, kuendelea kuwavumilia wanachama wake wasio zingatia misingi ya nidhamu, kanuni na katiba ya chama na kukengeuka kwa chuki isiyo na sababu.
Na baada ya kumchukilia hatua za kawaida za kinidhamu kwa mujibu wa katiba ya CCM, iwe pia ni wakati muafaka chama kiende mbali zaidi, kwa kumvua uanachama wa CCM Mh. Luhaga Mpina kwa kukiuka na kwenda kinyume na kanuni, taratibu, mila, desturi na utamaduni wa CCM, wa kufanya kazi kwa kuheshimiana na kwa umoja ili kuwaletea wananchi maendeleo.
Mh Luhaga Mpina abanduliwe CCM haraka iwezekanavyo kwa kutatiza mara kwa mara kupinga, na kijaribu kidhoofisha na kwa kupotosha kwa makusudi nia, mipango mikakati na malengo ya chama na serikali sikivu ya ccm katika kuwaletea wananchi maendeleo, na kuchochea mageuzi ya kisiasa, kijamii na kiuchumi kwenye maisha ya waTanzania wote.
Mh. Luhaga Mpina apokonywe uanachama wa CCM, ili akapate fursa na wasaa mzuri zaidi wa kuendeleza tuhuma zake na gubu binafsi alizonazo, dhidi ya baadhi ya waandamizi serikalini, ambao anahisi ndio waliosababisha na kuchochea, yeye Mh. Luhaga Mpina kutoswa kwanye baraza la mawaziri alilokua akihuduma kama waziri wa uvuvi, hapo awali.
Mh. Luhaga Mpina avuliwe uanachama ili kwa uhuru zaidi, akaungane na wenzie wa upande wa pili, wanaomtetea na waliopoteza uelekeo, walio kosa hoja, sera na wasiojua hata wana dai nini wala wanatetea nini, yaani wapo wapo tu.
Ni matumaini yangu, mpaka sasa kwa hali ilipofikia, pasina shaka yoyote, kupitia vyombo maalumu vya chama, CCM itakua imejiridhisha pasina shaka yoyote kwamba Mh. Luhaga Mpina kwa kiburi, jeuri na utovu wa nidhamu hana sifa wala vigezo tena vya kua mwananchama, mkereketwa wala shabiki wa CCM na anastahili kufubgashiwa virago vyake CCM.
- Spika Tulia amburuza Luhanga Mpina Kamati ya maadili
ni asset kwa wabuni uzushi na uongo dhidi ya wengine, kwa kuchochewa hasira, ghadhabu na machungu ya kutoswa uwaziriHuu ndio ujinga wa CCM,kutetea uozo.Kama Mpina kawasilisha vielelezo,kwa nini visitumiwe kufuatilia ili mbivu na mbichi zifahamike.Hii ni picha ile ile ya kulinda uozo unaoibuliwa na CAG.CCM ingekuwa na watu sane na wanaopenda Taifa lao, Mpina angekuwa asset.