[emoji1787][emoji1787] Tena ansema machanjo yao, aliponda mpk malaria ila jiwe ana roho ngumu.Tune ya muziki inabadilika tu. Tutafika tu pale mahali pa wote kuimba r n b. Waimba singeli wameanza kubadili ala za muziki. Alianza daktari mkuu wa serekali sasa msemaji mkuu wa serekali.
Dr Abasi unasema haya maneno kweli kabisa? Ulisikiliza hotuba ya muheshimiwa Rais alipokuwa akiponda utaratibu wa chanjo?
Tatizo lenu uwa hamsikilizi kwa makini kinachozungumzwa na viongozi, ila mnasikiliza propaganda za wapotoshaji wa JF.Tune ya muziki inabadilika tu. Tutafika tu pale mahali pa wote kuimba r n b. Waimba singeli wameanza kubadili ala za muziki. Alianza daktari mkuu wa serekali sasa msemaji mkuu wa serekali.
Dr Abasi unasema haya maneno kweli kabisa? Ulisikiliza hotuba ya muheshimiwa Rais alipokuwa akiponda utaratibu wa chanjo?
Kikubwa nachoweza kukuhusia ni vaa barakoa, tumia maji tiririka kunawa mikono kila mara na tumia vitakasa mikono kila inapobidi.Tatizo lenu uwa hamsikilizi kwa makini kinachozungumzwa na viongozi, ila mnasikiliza propaganda za wapotoshaji wa JF.
Rais alichosema wizara ya afya iwe makini na ijiridhishe kabla ya kuruhusu chanjo za Covid 19.
Fuatilia habari kwa kina, South Africa wamezi re-export kwa mataifa mengine ambayo hayana kirusi kipya. Hakuna hasara hapo.South Africa wamekula hasara ya mabilioni baada ya kununua chanjo za AstraZeneca na kisha wakazizuia kutumika baada ya kugundua hazina nguvu ya kutosha kupambana na Variant mpya ya South Africa. Tuendelee kujiridhisha kwanza.
Sawa kabisa, lakini cha kushangaza matamshi ya waziri hayakuwa kwamba tunajiridhisha kwanza, bali TZ haitaagiza hizo dawa. Yote kwa yote ukweli unabaki kuwa Covid imepamba moto na tunaangamia wakati wanasiasa wanavuta muda.Tatizo lenu uwa hamsikilizi kwa makini kinachozungumzwa na viongozi, ila mnasikiliza propaganda za wapotoshaji wa JF.
Rais alichosema wizara ya afya iwe makini na ijiridhishe kabla ya kuruhusu chanjo za Covid 19.
Tatizo lenu uwa hamsikilizi kwa makini kinachozungumzwa na viongozi, ila mnasikiliza propaganda za wapotoshaji wa JF.
Rais alichosema wizara ya afya iwe makini na ijiridhishe kabla ya kuruhusu chanjo za Covid 19.
We unadhani lengo lilikuwa ni kureexport? Point ni kujiridhisha, hatuna bishara ya kuexport chanjo sisiFuatilia habari kwa kina, South Africa wamezi re-export kwa mataifa mengine ambayo hayana kirusi kipya. Hakuna hasara hapo.
Wakati yeye mwenyewe Jiwe kaagiza chanjo 80000 kachanjwa yeye na surbodinate wake , halafu anawadmbia chanjo mbaya , Jiwe hata ibilisi hatii mguu.[emoji1787][emoji1787] Tena ansema machanjo yao, aliponda mpk malaria ila jiwe ana roho ngumu.
ibilisi ataanza kumuomba ushauri bwana jiweWakati yeye mwenyewe Jiwe kaagiza chanjo 80000 kachanjwa yeye na surbodinate wake , halafu anawadmbia chanjo mbaya , Jiwe hata ibilisi hatii mguu.
Wacha uzushi - hizi habari umezihibuwa kutoka kwenye reliable source hipi - tupe link na sisi tujulidhishe kwamba story hii haiku-originate kutoka vijiweniWakati yeye mwenyewe Jiwe kaagiza chanjo 80000 kachanjwa yeye na surbodinate wake , halafu anawadmbia chanjo mbaya , Jiwe hata ibilisi hatii mguu.
Kuanzia wewe mwenyewe ndo kubwa lao hao majuahaNchi ya majuha.
Majaribio? Nani akufanyie majaribio? Mmekwisha, ugua poleMsemaji wa Tanzania Dkt Hassan Abbas amesema Tanzania inakabiliana na janga la corona kwa kutumia dawa za asili.
Dkt. Abbas alimwambia mwandishi wa habari wa BBC, Salim Kikeke kuwa Tanzania haitapuuzia chanjo iliyokubalika kimataifa kuwa salama kutumia kama kinga.
Fuatilia habari kwa kina, South Africa wamezi re-export kwa mataifa mengine ambayo hayana kirusi kipya. Hakuna hasara hapo.