#COVID19 Hatudharau chanjo ya corona Tanzania, tunasubiri majaribio zaidi kabla kuitumia

#COVID19 Hatudharau chanjo ya corona Tanzania, tunasubiri majaribio zaidi kabla kuitumia

Tuwekee mbinu zako? Ili tuweze kulinganisha.

..Jiwe hataki chanjo anasema zinaweza kusababisha wasichana wakashindwa kuzaa.

..Jiwe pia hapendi barako anadai zinafanana na matiti ya wanawake.
 
..hayo majaribio kama chanjo zinafaa tutayafanya wenyewe au tunasubiri majibu toka ng'ambo?
 
..Jpm amecheza kamali na maisha ya waTz.

..amekuwa against na mbinu za kujilinda na tatizo la covid19.

..aligeuza covid19 kuwa mtaji wa kisiasa ona sasa wananchi wanaangamia.
Wewe ndio unataka kuingiza Siasa kwenye mambo ya msingi. Weka ulichotaka JPM afanye.
 
..Jiwe hataki chanjo anasema zinaweza kusababisha wasichana wakashindwa kuzaa.

..Jiwe pia hapendi barako anadai zinafanana na matiti ya wanawake.
Tupe bei ya chanjo mkuu? Ipi inafaa? Maana kuna aina nyingi sisi Tanzania tunahitaji ipi?
 
Back
Top Bottom