#COVID19 Hatudharau chanjo ya corona Tanzania, tunasubiri majaribio zaidi kabla kuitumia

Uache tabia yako ya KUKURUPUKA na kuja kuandika uongo wako humu.
Nao Japan wamekula hasara ya matrillion ya pesa kwa kununua mamillion ya chanjo kutoka makampuni ya Pfizer na Mordena baada ya kugundua kuwa hizo special syringes zake hazina uwezo wa kutoa kiwango cha dose inayohitajika. Jamani tusikurupuke kuhusu hili suala la chanjo. Tuwe na subira. Kwanza hazitolewi bure na bei yake ni kubwa sana.
 
Sijui unachobisha hapa. Unaleta taarifa ya tarehe 14 January 2021 ya FDA ku approve hizo special syringes za Pfizer na Moderna zenye uwezo wa 'to retain a low volume of solution after an injection to extract six doses'.

Tunachokuambia hapa ni kuwa hadi leo hii Japan wanalia na mamillion ya doses zenye thamani ya matrillion ya pesa zitakazopotea baada ya ununuzi wa 144 million doses kutoka kampuni ya Pfizer. Kampuni ya Pfizer iliwa supply doses hizo bila hizo special syringes. Syringes ilizoziambatanisha ni standard syringes ambazo uwezo wake ni kutoa dose 5 kwa vial badala ya sita. Kampuni ya Pfizer haina uwezo wa kutoa hizo special syringes za kutosheleza mahitaji. Nao Japan hawana uwezo huo wa kuzitengeneza za kutosha mahitaji.

Japani ilipata hizo chanjo toka tarehe 9 February 2021. Ilikuwa ianze leo tarehe 17 Feb 2021 kuchanja raia wake wote wenye umri chini ya miaka 60 ambao wako takribani million 72. Wenye umri wa zaidi ya miaka 60 wamepangiwa kuanza kuchanjwa mwezi April 2021 (baada ya tathimini ya matokeo ya chanjo hizo kwa vijana).

Hadi leo bado wanahangaika kupata hizo special syringes na wameshindwa kuanza hilo zoezi la uchanjaji kwa under 60. They are still struggling to source the special syringes.

Tunachosema hapa ni kwamba kwa nchi zetu hizi ambazo bado ni changa, msimamo wa JPM wakusubiri hadi tutakapo jiridhika na utaratibu bora wa kuchukua. Sasa hivi mambo bado ni vurugu machi. Kuna chanjo za kila aina na bado zingine zinaendelea kugundulika. Kila mtengenezaji anadai chanjo yake ni bora kuliko ya mwenzake. Afrika kusini wakanunua chanjo ya Uingereza na wakakuta haina uwezo wo wote. Pesa zao na muda wao ukapotea.

Virusi hivi vya corona navyo vinaendelea kubadilika badilika kila wakati na hivyo kukwepa hizo chanjo zinazogunduliwa. Leo tu vimepatikana vi variant zaidi ya saba kwenye nchi mbali mbali duniani pamoja na USA ambavyo hizo chanjo zao hazifui dafu. Inawezekana kuwa si kwamba virusi vinabadilika bali kuwa kuna aina nyingi tu ya virusi hivi ambavyo vilikuwapo tangu awali lakini tulikuwa hatujavigundua.

Tusubiri. Time will tell. Na wala haitachukua muda mrefu. Watu wako mzigoni 24/7 wakishughulikia janga hili kisayansi. And they are well paid for this research job. Ila siasa nazo zina sehemu yake ili jamii iweze kuondokana na hofu. Bila shaka corona haitakuwa chanzo cha mwisho wa dunia.
 
Acha kuongea upuuzi sasa kama nchi nyingine zimeweza kutengeneza hizo special syringes au kuagiza, Japan inashindwa nini kuziagiza au kuzitengeneza. Habari ya January 14 lakini authenticity ya habari husika itaendelea hadi 2023 ukilinganisha na uongo wako uliouandika wewe Dr Zwazwa.

Sijui unachobisha hapa. Unaleta taarifa ya tarehe 14 January 2021 ya FDA ku approve hizo special syringes za Pfizer na Moderna zenye uwezo wa 'to retain a low volume of solution after an injection to extract six doses'.

Tunachokuambia hapa ni kuwa hadi leo hii Japan wanalia na mamillion ya doses zenye thamani ya matrillion ya pesa zitakazopotea baada ya ununuzi wa 144 million doses kutoka kampuni ya Pfizer. Kampuni ya Pfizer iliwa supply doses hizo bila hizo special syringes. Syringes ilizoziambatanisha ni standard syringes ambazo uwezo wake ni kutoa dose 5 kwa vial badala ya sita. Kampuni ya Pfizer haina uwezo wa kutoa hizo special syringes za kutosheleza mahitaji. Nao Japan hawana uwezo huo wa kuzitengeneza za kutosha mahitaji.

Japani ilipata hizo chanjo toka tarehe 9 February 2021. Ilikuwa ianze leo tarehe 17 Feb 2021 kuchanja raia wake wote wenye umri chini ya miaka 60 ambao wako takribani million 72. Wenye umri wa zaidi ya miaka 60 wamepangiwa kuanza kuchanjwa mwezi April 2021 (baada ya tathimini ya matokeo ya chanjo hizo kwa vijana).

Hadi leo bado wanahangaika kupata hizo special syringes na wameshindwa kuanza hilo zoezi la uchanjaji kwa under 60. They are still struggling to source the special syringes.

Pfizer ni nzuri kuliko hii ya Oxford AstraZeneca. Wanasema imeonyesha matokea mazuri against South African variety.

Sijui kuhusu Brazil kama itafanya kazi vizuri.
 
Acha kuongea upuuzi sasa kama nchi nyingine zimeweza kutengeneza hizo special syringes au kuagiza, Japan inashindwa nini kuziagiza au kuzitengeneza. Habari ya January 14 lakini authenticity ya habari husika itaendelea hadi 2023 ukilinganisha na uongo wako uliouandika wewe Dr Zwazwa.
Wewe kweli ni Zwazwa. Ninajaribu kukuelimisha lakini wewe ni zero. Hujui cho chote cha fani ya udaktari wa binadamu lakini domokaya tu. Uwe unasikiliza sisi mabingwa wa fani hiyo tunapokuelimisha.

Hahahahahahaha eti bingwa labda utakuwa bingwa wa kuandika upumbavu humu. Hakuna nchi yoyote nyingine iliyolalamika duniani eti kuingia hasara ya matrilioni bali wametengeneza new syringes au kuagiza ili kupata hiyo sixth dose kwenye chupa. Soma kwa kina na kufanya utafiti kabla ya KUKURUPUKA na uongo wako humu.
Wewe kweli ni Zwazwa. Ninajaribu kukuelimisha lakini wewe ni zero. Hujui cho chote cha fani ya udaktari wa binadamu lakini domokaya tu. Uwe unasikiliza sisi mabingwa wa fani hiyo tunapokuelimisha.

Hii article yako ni jana wakati solution ilijulikana tangu January 24, 2021 hivyo Japan kama wangefanya homework yao tayari wangekuwa na solution tangu January mwaka huu.

TOKYO, Feb 16 (Reuters) - Japan is scrambling to secure special syringes to maximise the number of COVID-19 vaccine shots used from each vial, but manufacturers are struggling to ramp up production quickly, raising fears that millions of doses could go waste.

..naona kama lugha ya kusalimu amri.

..ni baada ya kuona hata na wakubwa wanakufa.
 
Kwa akili yako ndogo ya sayansi unafikiri utengenezaji wa hizo special syringes ni kama utengenezaji wa mifuko ya rambo.
Unahitaji chemists, biomedical engineers, mechanical engineers and so forth; na kupata viwanda vya kufanya kazi hiyo. Wala hao Pfizer siyo kazi yao. Pfizer utalaamu wao ni kuzalisha dawa zilizobuniwa na watalaamu wengine. It is just a pharmaceutical manufacturing industry. Wala kazi yao si kugundua (invent) dawa au chanjo. Hiyo chanjo wanayozalisha imegunduliwa na watalaamu wa BionTech wa Ujerumani. Chanjo ya AstraZaneca imegunduliwa na watalaam wa Oxford University na ndivyo ilivyo kwa dawa au chanjo zingine duniani.

Hiyo tarehe 24 January 2021 ni tarehe ambayo FDA iltoa approval ya hiyo design ya special syringe. Hatua iliyofuata ni kupata viwanda vya kuweza kufyatua hizo syringes. Hadi sasa bado havijapatikana vya kutosha mahitaji. Na hii inaweza ikachukua miezi 6. Hicho ndicho kinachosemwa. Mjapani ameshindwa kuanza leo kuchanja kama ilivyokuwa amepanga kwa kuwa bado hajapata hizo syringe za kutosha laa sivyo itabidi atupe (discard) mamilion ya doses zitakazoachwa kwenye kila vial kama atatumia standard syringes ambazo zitakuwa zinaacha dose moja kwa kila vial. Dose moja ni USD 15.

Cha kujiuliza hapa ni kwa nini Pfizer aliweka dose sita za chanjo hiyo kwenye vial moja badala ya dose 5 per vial ambazo zingaliweza kutumia syringes za kawaida (standard) zinazopatikana kwa wingi duniani? Kwa nini special syringes ambazo zitahitaji viwanda vipya duniani vya kuzalisha syringes kwa ajili ya chanjo yake pekee? Jee hii ni kwa ajili ya ku maximize profit ya chanjo yake? It just doesn't make sense and there is no scientific reason to justify! Ndiyo maana watu huwa na mashaka ya dhamira ya Bill Gate anayemiliki kiwanda hiki cha madawa cha Pfizer ambacho ni maarufu kwa utengenezaji wa dawa ya Viagra duniani.
 
Kila mtu atakufa kwa wakati wake. Magonjwa yapo tangu enzi na enzi hayataisha leo wala kesho. ''Kabla hujafa hujaumbika.''
 
hahahahahaha mpumbavu kweli wewe! Hujiulizi kwanini nchi nyingine hazina tatizo hilo la Japan na kulalamika kuhusu hasara ya matrilioni. Nchi chungu nzima duniani zinatumia hizo chanjo za Pfizer na Moderna na tayari hilo tatizo la kupata sixth dose tayari wameshalipatia ufumbuzi karibu mwezi sasa. Acha ujinga Dr ZWAZWA JIONGEZE!

Kwa akili yako ndogo ya sayansi unafikiri utengenezaji wa hizo special syringes ni kama utengenezaji wa mifuko ya rambo.
Unahitaji chemists, biomedical engineers, mechanical engineers and so forth; na kupata viwanda vya kufanya kazi hiyo. Wala hao Pfizer siyo kazi yao. Pfizer utalaamu wao ni kuzalisha dawa zilizobuniwa na watalaamu wengine. It is just a pharmaceutical manufacturing industry. Wala kazi yao si kugundua (invent) dawa au chanjo. Hiyo chanjo wanayozalisha imegunduliwa na watalaamu wa BionTech wa Ujerumani. Chanjo ya AstraZaneca imegunduliwa na watalaam wa Oxford University na ndivyo ilivyo kwa dawa au chanjo zingine duniani.

Hiyo tarehe 24 January 2021 ni tarehe ambayo FDA iltoa approval ya hiyo design ya special syringe. Hatua iliyofuata ni kupata viwanda vya kuweza kufyatua hizo syringes. Hadi sasa bado havijapatikana vya kutosha mahitaji. Na hii inaweza ikachukua miezi 6. Hicho ndicho kinachosemwa. Mjapani ameshindwa kuanza leo kuchanja kama ilivyokuwa amepanga kwa kuwa bado hajapata hizo syringe za kutosha laa sivyo itabidi atupe (discard) mamilion ya doses zitakazoachwa kwenye kila vial kama atatumia standard syringes ambazo zitakuwa zinaacha dose moja kwa kila vial. Dose moja ni USD 15.

Cha kujiuliza hapa ni kwa nini Pfizer aliweka dose sita za chanjo hiyo kwenye vial moja badala ya dose 5 per vial ambazo zingaliweza kutumia syringes za kawaida (standard) zinazopatikana kwa wingi duniani? Kwa nini special syringes ambazo zitahitaji viwanda vipya duniani vya kuzalisha syringes kwa ajili ya chanjo yake pekee? Jee hii ni kwa ajili ya ku maximize profit ya chanjo yake? It just doesn't make sense and there is no scientific reason to justify! Ndiyo maana watu huwa na mashaka ya dhamira ya Bill Gate anayemiliki kiwanda hiki cha madawa cha Pfizer ambacho ni maarufu kwa utengenezaji wa dawa ya Viagra duniani.
 
Kila mtu atakufa kwa wakati wake. Magonjwa yapo tangu enzi na enzi hayataisha leo wala kesho. ''Kabla hujafa hujaumbika.''
Mahaba yashamtoa akili huyu mtu. Huwezi mtofautisha na kina Mmawia siku hizi. 😃😃😃
 
Hivi waziri wa mambo ya nje mbona siku hizi haonekani sana kwenye mavioo,Mara leo Madagascar mara kesho mazimbabwe ama ndio kaishiwa pumzi maana sasa hivi kila Siku

TANZIA & RIP
 
Nao Japan wamekula hasara ya matrillion ya pesa kwa kununua mamillion ya chanjo kutoka makampuni ya Pfizer na Mordena baada ya kugundua kuwa hizo special syringes zake hazina uwezo wa kutoa kiwango cha dose inayohitajika. Jamani tusikurupuke kuhusu hili suala la chanjo. Tuwe na subira. Kwanza hazitolewi bure na bei yake ni kubwa sana.
Dozi moja ya chanjo (yaani chanjo zote mbili) ni dola za Marekani 100. Hiyo ni kama shilingi 235,000/=. Tuko watu 60,000,000. Zidisha hapo ili uone itatugharimu matrilioni matrilioni mangapi?
Makaburu wanatusagia meno, si kwa kuwa wanatupenda bali wanaona biashara yao kwa Tanzania imedoda!
 
Mkuu unaweza kutuwekea source ya bei uliyoweka?
 
Msemaji wa Tanzania Dkt Hassan Abbas amesema Tanzania inakabiliana na janga la corona kwa kutumia dawa za asili.

Dkt. Abbas alimwambia mwandishi wa habari wa BBC, Salim Kikeke kuwa Tanzania haitapuuzia chanjo iliyokubalika kimataifa kuwa salama kutumia kama kinga.

South Africa offers its AstraZeneca jabs to African Union​

Wednesday February 17 2021​

South Africa said Tuesday it would offer its doses of Oxford/AstraZeneca Covid vaccine to the African Union (AU) after scrapping their use due to efficacy concerns.
 
Kila mtu atakufa kwa wakati wake. Magonjwa yapo tangu enzi na enzi hayataisha leo wala kesho. ''Kabla hujafa hujaumbika.''

..Jpm amecheza kamali na maisha ya waTz.

..amekuwa against na mbinu za kujilinda na tatizo la covid19.

..aligeuza covid19 kuwa mtaji wa kisiasa ona sasa wananchi wanaangamia.
 
Tuwekee mbinu zako? Ili tuweze kulinganisha.
 
Back
Top Bottom