Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Mabeberu wametukamata pabaya tumeanza mdogomdogo kuachia zipMsemaji wa Tanzania Dkt Hassan Abbas amesema Tanzania inakabiliana na janga la corona kwa kutumia dawa za asili.
Dkt. Abbas alimwambia mwandishi wa habari wa BBC, Salim Kikeke kuwa Tanzania haitapuuzia chanjo iliyokubalika kimataifa kuwa salama kutumia kama kinga.