Mabeberu wametukamata pabaya tumeanza mdogomdogo kuachia zipMsemaji wa Tanzania Dkt Hassan Abbas amesema Tanzania inakabiliana na janga la corona kwa kutumia dawa za asili.
Dkt. Abbas alimwambia mwandishi wa habari wa BBC, Salim Kikeke kuwa Tanzania haitapuuzia chanjo iliyokubalika kimataifa kuwa salama kutumia kama kinga.
Ni ngumu kumvimbia aliyekuzidi kwa kila kitu, ambaye wewe unategemea vitu vingi tena vya muhimu kutoka kwake.
Huyu mpuuziMsemaji wa Tanzania Dkt Hassan Abbas amesema Tanzania inakabiliana na janga la corona kwa kutumia dawa za asili.
Dkt. Abbas alimwambia mwandishi wa habari wa BBC, Salim Kikeke kuwa Tanzania haitapuuzia chanjo iliyokubalika kimataifa kuwa salama kutumia kama kinga.
Cha kwanza seriakali inatakiwa kuisajili kutumika nchini ili anayetaka atumie. Wakati wa majanga uharaka ni muhimu. Ina maana hatuiamini WHO kama imeona hiyo chanjo ni salama? Hadi leo hatujafanya uchunguzi kujua kama chanjo ni salama au usalama ni kisingizio tu cha kukataa chanjo.Chanjo iwe ni hiari
[emoji1787][emoji1787] Tena ansema machanjo yao, aliponda mpk malaria ila jiwe ana roho ngumu.
Rejea hotuba ya Rais kuhusu "issue" hii. Msemaji kapotosha.Msemaji wa Tanzania Dkt Hassan Abbas amesema Tanzania inakabiliana na janga la corona kwa kutumia dawa za asili.
Dkt. Abbas alimwambia mwandishi wa habari wa BBC, Salim Kikeke kuwa Tanzania haitapuuzia chanjo iliyokubalika kimataifa kuwa salama kutumia kama kinga.
Wacha uzushi - hizi habari umezihibuwa kutoka kwenye reliable source hipi - tupe link na sisi tujulidhishe kwamba story hii haiku-originate kutoka vijiweni
Wao wameshachanjwa lakini sisi wanatuletea upuuziCha kwanza seriakali inatakiwa kuisajili kutumika nchini ili anayetaka atumie. Wakati wa majanga uharaka ni muhimu. Ina maana hatuiamini WHO kama imeona hiyo chanjo ni salama? Hadi leo hatujafanya uchunguzi kujua kama chanjo ni salama au usalama ni kisingizio tu cha kukataa chanjo.
Tatizo lenu uwa hamsikilizi kwa makini kinachozungumzwa na viongozi, ila mnasikiliza propaganda za wapotoshaji wa JF.
Rais alichosema wizara ya afya iwe makini na ijiridhishe kabla ya kuruhusu chanjo za Covid 19.
Nao Japan wamekula hasara ya matrillion ya pesa kwa kununua mamillion ya chanjo kutoka makampuni ya Pfizer na Mordena baada ya kugundua kuwa hizo special syringes zake hazina uwezo wa kutoa kiwango cha dose inayohitajika. Jamani tusikurupuke kuhusu hili suala la chanjo. Tuwe na subira. Kwanza hazitolewi bure na bei yake ni kubwa sana.