J JokaKuu Platinum Member Joined Jul 31, 2006 Posts 34,188 Reaction score 62,952 Feb 18, 2021 #61 Wacha1 said: Tuwekee mbinu zako? Ili tuweze kulinganisha. Click to expand... ..Jiwe hataki chanjo anasema zinaweza kusababisha wasichana wakashindwa kuzaa. ..Jiwe pia hapendi barako anadai zinafanana na matiti ya wanawake.
Wacha1 said: Tuwekee mbinu zako? Ili tuweze kulinganisha. Click to expand... ..Jiwe hataki chanjo anasema zinaweza kusababisha wasichana wakashindwa kuzaa. ..Jiwe pia hapendi barako anadai zinafanana na matiti ya wanawake.
I inchaji JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 2,427 Reaction score 4,944 Feb 19, 2021 #62 JOHNKEKE said: Rais alichosema wizara ya afya iwe makini na ijiridhishe kabla ya kuruhusu chanjo za Covid 19. Click to expand... Attachments VID-20210208-WA0061.mp4 87.8 KB
JOHNKEKE said: Rais alichosema wizara ya afya iwe makini na ijiridhishe kabla ya kuruhusu chanjo za Covid 19. Click to expand...
J JokaKuu Platinum Member Joined Jul 31, 2006 Posts 34,188 Reaction score 62,952 Feb 19, 2021 #63 ..hayo majaribio kama chanjo zinafaa tutayafanya wenyewe au tunasubiri majibu toka ng'ambo?
Wacha1 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2009 Posts 16,681 Reaction score 8,241 Feb 19, 2021 #64 JokaKuu said: ..Jpm amecheza kamali na maisha ya waTz. ..amekuwa against na mbinu za kujilinda na tatizo la covid19. ..aligeuza covid19 kuwa mtaji wa kisiasa ona sasa wananchi wanaangamia. Click to expand... Wewe ndio unataka kuingiza Siasa kwenye mambo ya msingi. Weka ulichotaka JPM afanye.
JokaKuu said: ..Jpm amecheza kamali na maisha ya waTz. ..amekuwa against na mbinu za kujilinda na tatizo la covid19. ..aligeuza covid19 kuwa mtaji wa kisiasa ona sasa wananchi wanaangamia. Click to expand... Wewe ndio unataka kuingiza Siasa kwenye mambo ya msingi. Weka ulichotaka JPM afanye.
Wacha1 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2009 Posts 16,681 Reaction score 8,241 Feb 19, 2021 #65 JokaKuu said: ..Jiwe hataki chanjo anasema zinaweza kusababisha wasichana wakashindwa kuzaa. ..Jiwe pia hapendi barako anadai zinafanana na matiti ya wanawake. Click to expand... Tupe bei ya chanjo mkuu? Ipi inafaa? Maana kuna aina nyingi sisi Tanzania tunahitaji ipi?
JokaKuu said: ..Jiwe hataki chanjo anasema zinaweza kusababisha wasichana wakashindwa kuzaa. ..Jiwe pia hapendi barako anadai zinafanana na matiti ya wanawake. Click to expand... Tupe bei ya chanjo mkuu? Ipi inafaa? Maana kuna aina nyingi sisi Tanzania tunahitaji ipi?