Mateso chakubanga
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 587
- 800
Kwhyo wafanyaje sasa...maslahi ya uchumi yapi??...kuiba mafuta middle east au....Wampe silaha Israel halafu aingie kati wqdundane na hao waajemi tuone nani ni nani....inatakiwa ifikie wakati kila mtu ajue mipaka yqke ni wapi na aishie wapi....dhulma haiwezi kutawala milele maana unaowadhulumu bdo wataendelea kutafuta namna ya kutokudhulumiwa na kuonewa na hapo maugomvi na mavita hayatakaa yaisheIran anaweza akapata kiburi endapo watamuacha hivihivi, ni hatari sana kwa mataifa ya magharibi kuangalia tu maslahi yao ya kiuchumi kuliko usalama wa taifa la Israel.
Sisi wayahudi wa Nandagala tunapinga. Hiyo video ni ya mchongo kutoka Iran.Waziri Mkuu wa zamani wa Israel Ehud Barak amesema Israel ilifanya makosa ya kimahesabu kwa adui zake ,hivyo haoni kuna haja ya kufanya vita na Iran,
View attachment 2966459
na anajua tayari kuna upinzani kutoka Hamas, Hezbolla,Houthis na sasa Iran na itachukua muda mrefu sana katika operesheni zake katika miji ya Rafah, Gaza na West bank,makosa yalifanyika tangu oktoba 7 na April 1 ,hivyo anaona vipaumbele vya serikali viwe:
1.kuachiwa mateka wa israel
2.kusitisha vita.
Chanzo: Channel4news Israel
Kwa hiyo wanasubiri nini kukafuta?Kanchi kenyewe hata kwenye ramani unafanya kukitafuta... Bila msaada na ulinzi shirikishi wa washirika, kanafutwa ndani tu ya masaa kadhaa
Usalama wa Taifa la Israel upo mikononi mwa Israel na sio nchi zingine, akili zao na maamuzi yao ndio yatafanya aidha nchi yao iwe salama ama wapigikeIran anaweza akapata kiburi endapo watamuacha hivihivi, ni hatari sana kwa mataifa ya magharibi kuangalia tu maslahi yao ya kiuchumi kuliko usalama wa taifa la Israel.
Channel4news ni kituo cha Israel na alihojiwa na mwandishi wa channel hiyo mwenye asili ya IndiaSisi wayahudi wa Nandagala tunapinga. Hiyo video ni ya mchongo kutoka Iran.
Lirushwe jiwe Iran, waseme suuKwa hiyo wanasubiri nini kukafuta?
Amerushiwa mara ngapi?Lirushwe jiwe Iran, waseme suu
Wenye nchi ndiyo wanaona hivyo! Wewe unaona wanakosea..Iran anaweza akapata kiburi endapo watamuacha hivihivi, ni hatari sana kwa mataifa ya magharibi kuangalia tu maslahi yao ya kiuchumi kuliko usalama wa taifa la Israel.
Mi siamini itakua mumei hack hiyo chaneli.Channel4news ni kituo cha Israel na alihojiwa na mwandishi wa channel hiyo mwenye asili ya India
Huyo ni waziri mkuu mstaafu, hivyo anafaham vizuri weakness ya taifa lake dhidi ya mwenye nguvu Iran. Kama nchi zaidi ya 7 zimeshindwa kuzuia shambulio la Iran lisifike Israel kwa shambulio 1 tu ambalo tayari Iran ilikuwa ishawapa taarifa ili wajipange kulizuia na wakashindwa, je ikitokea majibizano yakawa ya kuendelea kwa week nzima huku nchi zinazoilinda Israel kuchoka kuilinda hali itakuaje kwa nchi hiyo.Iran anaweza akapata kiburi endapo watamuacha hivihivi, ni hatari sana kwa mataifa ya magharibi kuangalia tu maslahi yao ya kiuchumi kuliko usalama wa taifa la Israel.
Hata mimi nimemshangaa huyo myahudi wa kihaya.Wenye nchi ndiyo wanaona hivyo! Wewe unaona wanakosea..
Aisee!
Iran hakufanya shambulizi la uoga la kushtukiza kama afanyavyo Israel huko Lebanon, Syria nk.Kwa hiyo wanasubiri nini kukafuta?
Waziri Mkuu wa zamani wa Israel Ehud Barak amesema Israel ilifanya makosa ya kimahesabu kwa adui zake ,hivyo haoni kuna haja ya kufanya vita na Iran,
View attachment 2966459
na anajua tayari kuna upinzani kutoka Hamas, Hezbolla,Houthis na sasa Iran na itachukua muda mrefu sana katika operesheni zake katika miji ya Rafah, Gaza na West bank,makosa yalifanyika tangu oktoba 7 na April 1 ,hivyo anaona vipaumbele vya serikali viwe:
1.kuachiwa mateka wa israel
2.kusitisha vita.
Chanzo: Channel4news Israel
Sasa hao Magaidi wa Israel watafanya nnIran anaweza akapata kiburi endapo watamuacha hivihivi, ni hatari sana kwa mataifa ya magharibi kuangalia tu maslahi yao ya kiuchumi kuliko usalama wa taifa la Israel.
Muisrael pori unajikuta unajua Israel inahitaji nini kuliko former prime minister of Israel!!!Iran anaweza akapata kiburi endapo watamuacha hivihivi, ni hatari sana kwa mataifa ya magharibi kuangalia tu maslahi yao ya kiuchumi kuliko usalama wa taifa la Israel.