Hatuhitaji vita vya kikanda na Iran-Waziri Mkuu wa zamani wa Israel

ingekuwa ni htari sema watu tunashindwa waza kwa nn iran atoe taarifa saa 72 kabla ya tukio
 
Kupiga ubalozi wa nchi nyingine sio uchokozi?

Hata hivyo Israel bila mabwana zake wanne yani Marekani, Uingereza, Ufaransa na Ujerumani inaweza ikapigwa hata na Rwanda. Tumeona jinsi walivyochakazwa na hezbulla mwaka 2006.

Na sasa hivi pamoj na kupewa misaada ya kijeshi na mabwana zake lakini ameshindwa kuwamaliza Hamas na kuokoa mateka wake.

Sijui wale makomando uchwara tuliodanganywa kwamba walienda kuokoa mateka wao Uganda wako wapi?
Inawezekana vipi eti makomando waje kuokoa mateka Uganda ambapo ni kilometres zaidi ya elf 6 kutoka Israel, alaf washindwe kuwaokoa wale waliopo nao hapo hapo gaza ambapo ni kilometres 150 tu kutoka Israel?
 
Iran anaweza akapata kiburi endapo watamuacha hivihivi, ni hatari sana kwa mataifa ya magharibi kuangalia tu maslahi yao ya kiuchumi kuliko usalama wa taifa la Israel.
Iran ni nchi yenye uongozi wenye staha na uvumilivyo wa hali ya juu ..Israeli aendelee tu kutengeneza maadui wengien

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
ingekuwa ni htari sema watu tunashindwa waza kwa nn iran atoe taarifa saa 72 kabla ya tukio
Alijiamini na alijua fika kwamba hizo nchi zote nlizotaja hazina uwezo wa kuzuia mashambulio yake kama ataamua kushambulia Israel wakati wowote.

Ni sawa sawa na mtu anaekuahidi kuja kukupiga nyumbani kwako mbele ya mkeo na watoto wako. Huyo anakua amejiamini sana.
 
Kuna watu waanjiona ndo wenye haki na hii dunia mabaya wwfanye wao halafu lawama wstupiewe watu wengine

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Yeye alianza kupiga Iran na Iran amejibu shambulizi kisha akaamua aufyate tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ilikuwa ni mvua ya mavi tu imetapakaa allover the city.
 
Kanchi kenyewe hata kwenye ramani unafanya kukitafuta... Bila msaada na ulinzi shirikishi wa washirika, kanafutwa ndani tu ya masaa kadhaa
Yahudi Anamtegemea Mungu Wake!
πŸ‘‡πŸ‘‡
Yeremia.31:37-40
37 Bwana asema hivi, Kama mbingu zikiweza kupimwa, na misingi ya dunia ikiweza kugunduliwa huko chini, ndipo wazao wa Israeli pia nitawatupilia mbali, kwa ajili ya hayo yote waliyoyatenda, asema Bwana.

49:23
[23]Na wafalme watakuwa baba zako za kulea, na malkia zao mama zako za kulea; watainama mbele yako kifudifudi, na kuramba mavumbi ya miguu yako; nawe utajua ya kuwa mimi ni BWANA, tena waningojeao hawatatahayarika.
 
Kama wanamtegemea Mungu kwanini walilia ili Jordan, Marekani, Uingereza, Ufaransa, Ujerumani, Iraq na Saudi Arabia ziwasaidie kuzuia kimbunga cha makombora ya Iran?

Ukiona mungu anatetea hadi mashoga, ujue huyo sio yule Mungu wa kweli anaepingana na vitendo hivyo vinavyomchukiza Mungu wa kweli usiku na mchana.
 
Sawa Netanyahu kutoka katerero bukoba
 
Iran wameanza kuishi kwa kuweweseka

[emoji1130][emoji1134] Iran prepares for Israeli retaliatory strike - Wall Street Journal

[emoji3502]Iran is withdrawing some IRGC officers from Syria due to a possible Israeli strike.
[emoji3502]Iran's Air Force is preparing for Israeli strikes, and its Navy will begin escorting commercial Iranian ships in the Red Sea.
[emoji3502]Israeli officials have still not decided on the nature of the retaliatory strike.
 
Wa Israel wanakuwaga na akili ya utu na ubinadam wakiondoka madarakani. Ukiwa madarakani unatakiwa kuwa muhafidhina, itikadi kali na mzalendo extream kwa taifa la Israel kinyume na hapo wanakupiga chini kwenye uchaguzi, kukupindua au Shin Bet wanakupiga Polonium 210.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…