Hatujaona mtu akizimia Uingereza, kwenye msiba wa fulani hapa Tanzania kulikuwa na FUTUHI ya watu kuzimia

Unaambiwa tena Walizimia na Mifuko ya Sangara mkononi !

Ushahidi huu hapa

 
Ila bongo Kuna vituko sana, eti mtu anazimia huku kang'ang'ania mfuko wa samaki,yaani mkono ambao haujashika kitu umelegea ila wenye samaki umekaza balaa
Bongo raha sana sihami ng'o 😂😂😂
 
Daaah ni fikirishi lakini nadhani ni mazingira yetu magumu ndo yalotufikisha pale mfano yule mama aliyedhulumiwa sijui viwanja unadhani angekuwa na hali gani
 
 
Mbona wamezimia wengi tu hukuona mlinzi wake alidondoka mbele ya kamela mzee
Yule ni askari na vipimo vimeonesha kuwa alikuwa amezidiwa na uchovu.

Hapa kwetu watu walipiga viroba ili wamwage chozi la kutosha kwenye futuhi ya msiba
 
Kuzimia hutokana na mshtuko,, mshtuko hutokana na kutokea Kwa Jambo la ghafla ambalo halikutarajiwa.

Punguzen vita na kabur
 
Wenye legasi zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…