Hatujaona mtu akizimia Uingereza, kwenye msiba wa fulani hapa Tanzania kulikuwa na FUTUHI ya watu kuzimia

Hjaona? Huyo askari aliyeanguka mbele ya jeneza hukumwona?!!!

Basi tatizo sio msiba wala kuanguka na kuzimia ila ni kiongozi tishio la wezi ndiye alikufanya vibaya ndio maana hata jina lako huna jinsia!! The man was very powerful, during the era you chose to be dumb to avoid reprisal
 
Hivi kwanini bado anajadiliwa Magufuli kana kwamba ni tatizo au kikwazo kwa namna moja ama nyengine na wakati hayupo tena? Hivi wabongo tuna matatizo gani hasa?
 
Akili za WaAfrika

Yani unawaza ujinga tu

Kulia au kuanguka kwenye msiba ni Hisia ya mtu.

Afu Malkia ni Mzee sana ukilinganisha na wakwetu waliotangulia mbele ya Haki
 
Kwani elizabeti hakuwa mtekaji muuaji na mporaji? Yy na familia yake ndiyo walikuwa vinara wa biashara ya utumwa, waliwateka kuwapora na kuwaua babu zetu. Hivi unaweza kujiuliza nani anayehusika na kifo cha DADI AL FOYED? Wacha kuwa mtumwa wa fikra
Wewe naye umetokea wapi? Au umekewa?

Kwani malkia Elizabeth II ni mtakatifu?
 
Magufuri alikuwa ku.ma sana. Alitengeneza wajinga na wapumbafu kila kona
 
Jina lako tu linatia shaka uwezo wako wa kufikiri tofautisha umri
 
Jina lako tu linatia shaka uwezo wako wa kufikiri tofautisha umri
Wewe unayeweza kufikiri umefanya nn cha maana? Mbona unatumia fake ID wakati wenzako wanaweka majina yao halisi?

Lkn ni kawaida kwa nyani kucheka kundu la nyani mwenzie.
 
Hivi kwanini bado anajadiliwa Magufuli kana kwamba ni tatizo au kikwazo kwa namna moja ama nyengine na wakati hayupo tena? Hivi wabongo tuna matatizo gani hasa?
Sasa ndugu yangu unafikiri watataja mradi uliofanyika tangu wachukue mamlaka? Muda unayoyoma sijui watakuja na ngonjera hizohizo za magufuli kwenye kampeni? Wacha tuwasubiri kitaa
 
Huwezi fananisha Magufuli na vitu vya hovyo kama hivyo
 
Hawa walikuwa wahini tu wanaigiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…