Intelligence Justice
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 3,443
- 4,006
Hjaona? Huyo askari aliyeanguka mbele ya jeneza hukumwona?!!!Kuna mtu fulani alifariki hapa Tanzania, basi futuhi ya kuacha legacy ilikuwa na episodes za kishamba mno.
...wapo waliokufa kwa dakika na kufufukia kwenye machera.
...wapo waliozimia huku wameshika mifuko ya plastiki.
View attachment 2362041
...wapo waliokunywa viroba ili watoe machozi wanapoigiza kulia.
Uingereza kumetokea msiba wa malkia Elizabeth II aliyehudumu kwa Mika 70 kwa mafanikio makubwa lkn hatujaona "wahuni" wakiigiza kufa ama kuzimia.
Legacy imebuma.
Basi tatizo sio msiba wala kuanguka na kuzimia ila ni kiongozi tishio la wezi ndiye alikufanya vibaya ndio maana hata jina lako huna jinsia!! The man was very powerful, during the era you chose to be dumb to avoid reprisal