Hatujaona mtu akizimia Uingereza, kwenye msiba wa fulani hapa Tanzania kulikuwa na FUTUHI ya watu kuzimia

Kwani elizabeti hakuwa mtekaji muuaji na mporaji? Yy na familia yake ndiyo walikuwa vinara wa biashara ya utumwa, waliwateka kuwapora na kuwaua babu zetu. Hivi unaweza kujiuliza nani anayehusika na kifo cha DADI AL FOYED? Wacha kuwa mtumwa wa fikra
Familia ya malkia inatuhumiwa kupanga njama za mauaji ya princess Diana of Wales na kumtishia mke wa Prince Harry aitwaye Meghan hadi wakafikia hatua ya kuwatenga kwenye ukoo nao wakahamia Kanada!!!!
 
Kama barabara ni maeneo ya biashara basi wewe jaribu kuogea sebuleni badala ya bafuni kama hutaonekana kituko.
 
Hu yo marehemu hakugusa maisha yawanyonge.
 
Kwa hiyo waliokuwa wanazirai na kupelekwa mahospitalini kwenye msiba wa Nyerere ilikuwa ni futuhi..eeh..ok.sawa..ngoja tusubiri msiba wako Sasa tuone watakavyokuwa wakikuzika kisasa kama Malkia. Inaelekea unapenda style Ile uzikwe nayo..shwainnny
 
Kwani ni mbali Basi, tunasubiri utakavyokufa jinsi mama yako, baba yako na ndugu zako watakavyokuwa wakikulilia kifutuhifutuhi..nitawarekodi nikakutumia uko ahera usikilize style ya futuhi ya ndugu zako na mama yako
 
Waingereza wameshindwa hata kutandika khanga barabarani wakati msafara wa msiba wa Malkia ukipita! Sijapenda kwakweli.

Afu mbona hawajamzungusha Malkia kutoka London kwenda majiji mengine kama vile Birmingham, Manchester nk...Sijapenda
That was a political stunt!

Waliutumia vibaya mwili wa mwendazake.
 
Mzee alisema mtamkumbuka na kweli kila siku watu wanaendelea kumkumbuka kwa kumtaja..hata kwa kumsingizia marehemu na mabaya pia unamkumbuka haijalishi..lakini Mungu ndio ajuaye..nanyinyi subirini mfe watakaobaki watakavyokuwa wanawasema..hata ya uongo pia
 
Hivi kwenye misiba ya mama zenu baba zenu Bibi zenu watoto wenu marafiki zenu, watu huwa wapo kimyaaa..sio..hahahaha...hahahahah.,..hahahahah...hahaha..ngojeni mfe tuwarekodie movie tutawatumia ahera
 
Nashauri wajameni tuachane na kumsema vibaya marehemu..tukumbuke kifo ni kwa kila mtu hakuna atakaye kwepa, na adhabu Mungu ndie anayejua..hakuna ajuaye....Sasa tuache kujifanya ni wasaidizi wa Mungu tunaomshauri Masuala ya dunia
 
Kuna vifo hata ukilia Mungu anaweza kukushushia kofi, what more do you expect or do you need?

Queen Elizabeth II died “peacefully” at her home in Balmoral, Scotland, on September 8, 2022, Buckingham Palace announced in a statement. She was 96

Hivi unaona hiyo statement ilivyo nzuri? yani queen kaondoka kwa amani kama vile waliagwa,kwaherini wanangu...

Watu hawana Regrets,kila mtu anamshukuru Mungu kwa zawadi ya Elizabeth kwenye maisha yao.

TURUDI KWETU SASA

unahisi Wa kwetu alienda "peacefully" kama alivyoenda elizabeth?

unahisi alimaliza aliyotuahidi angeyatimiza? unahisi aliondoka muda sahihi?

Huwezi fanya comparison ya vifo hivi viwili ni Jua na Ardhi,Wa kwetu hajaenda Peacefully asee,ni mlilazimisha aende.

Reaction zote zilizo onyeshwa huku kwetu na waombolezaji ni Real n True.

Tukirudi kule,naamini nao pamoja na Queen kuondoka kwa amani ila wapo waliojigaragaza, usifananishe MEDIA za UK na hizi BONGO TV zetu.

Uliona Simu pale msibani kwanza simu zote zilikua banned,nani angekupostia ushubwada? hata hao waliosimama mitaani walikua busy kuchukua video za malkia wao na wala sio kuchukua watu wanaolia na kuzimia.

Ngozi nyeupe imetuzidi vingi na hasa UTU na kujua nini cha kufanya na wakati gani kifanyike,hata kupostiwa ukilia kwao ni kama kumvunjia mwingine HAKI ZAKE,usifananishe ustarabu wa media za UK na hizi zetu BONGO.

R.I.P wakwetu ulienda wengi tukiwa tunakuhitaji.
 
Tofautisha miaka 60s vs 96 !
Sisi tulimpenda rais wetu vs wao wamechoshwa na ufalme!
Rais wetu tulimchagua kwa kura vs malikia alipigiwa kura na nani?
Kwahiyo wewe unaesema wamechoshwa na ufalme ndio msemaji wa wananchi wa uingereza?
 
mwamba kihoro cha mtu yule kitakuua kuna sehemu alikugusa ukagusika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…