Intelligence Justice
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 3,443
- 4,006
Familia ya malkia inatuhumiwa kupanga njama za mauaji ya princess Diana of Wales na kumtishia mke wa Prince Harry aitwaye Meghan hadi wakafikia hatua ya kuwatenga kwenye ukoo nao wakahamia Kanada!!!!Kwani elizabeti hakuwa mtekaji muuaji na mporaji? Yy na familia yake ndiyo walikuwa vinara wa biashara ya utumwa, waliwateka kuwapora na kuwaua babu zetu. Hivi unaweza kujiuliza nani anayehusika na kifo cha DADI AL FOYED? Wacha kuwa mtumwa wa fikra