hili ni jibu tosha kwa watu wanaosifu na kuabudu mambo ya kishambaHapa kwetu walilia na kuzimia sababu walijua baada ya kuondoka yule bwana yafuatayo yanakuja na yametimia;
1. Kuondolewa maeneo ya biashara
2. Kulipishwa kodi za kichwa[tozo]
3. Rushwa kurudi kwenye huduma za afya na nyingine za msingi.
4. Uhalifu utarudi
5. Mateja wanarudi.
6. Gharama za maisha zita shoot
Huko kwa malkia umesikia mtu kakosa huduma ya afya kwa kukosa fedha?
Au panyaroad?
Au tozo?
Au bidhaa kupanda maradufu sababu ya vita ya urusi?
Au watu kuruhusiwa kula kwa urefu wa kamba zao?
Hatimaye na mm ninaitwa mwamba.mwamba kihoro cha mtu yule
Mlipitia kipindi kigumu sanaAlipora, aliteka na kuuwa watanzania wenzangu
πππππππNaona walioigiza kufa na kuzimia wameanza kuhitokeza kujibu uzi huu
Mtu anazimia huku amekamatia mfuko usidondoke ππππKuna mtu fulani alifariki hapa Tanzania, basi futuhi ya kuacha legacy ilikuwa na episodes za kishamba mno.
...wapo waliokufa kwa dakika na kufufukia kwenye machera.
...wapo waliozimia huku wameshika mifuko ya plastiki.
View attachment 2362041
...wapo waliokunywa viroba ili watoe machozi wanapoigiza kulia.
Uingereza kumetokea msiba wa malkia Elizabeth II aliyehudumu kwa Mika 70 kwa mafanikio makubwa lkn hatujaona "wahuni" wakiigiza kufa ama kuzimia.
Legacy imebuma.
Mimi siyo msemaji wao; kwani wewe unayepinga ndiyo msemaji wao?Kwahiyo wewe unaesema wamechoshwa na ufalme ndio msemaji wa wananchi wa uingereza?
Washabiki wa mshikishwa ukuta wao wakoje?Mashabiki wa Magu ni wajinga sana
Tupia picha kusupoti hiiπ€Mbona wamezimia wengi tu hukuona mlinzi wake alidondoka mbele ya kamela mzee
Jiwe alikuwa director mzuri sana wa futuhiMtu anazimia huku amekamatia mfuko usidondoke ππππ