A
Anonymous
Guest
Hatujui changamoto ni nini, lakini umeme umekuwa ukikatwa mara kwa mara bila sababu za msingi, kana kwamba sisi wananchi hatuchangii gharama za huduma hii.
Karne hii, baada ya kuwepo kwa bwawa la kuzalisha umeme, bado tunashuhudia kukatika kwa umeme mara kwa mara. Hali hii inasikitisha na inaathiri shughuli za wananchi.
Tunaomba mamlaka husika itoe ufafanuzi na kuhakikisha huduma ya umeme inapatikana kwa uhakika.