Hatukujua uhalifu wa Sabaya mpaka Mahakama ilipothibitisha, tuwe na utulivu yajayo yanafurahisha

Mahamakani ni sehemu ya kutoa haki....Mahakama imethibitisha pasipo shaka kwamba SABAYA alikuwa JAMBAZI.
Hiyo mahakama ikithibitisha Sabaya ana kesi mnashangilia ila ikitihibitisha Mbowe ana kesi mna nuna?

[emoji23][emoji23][emoji23]Mabavicha akili zenu aliondoka nazo belgiji zote
 
Mahakama imethibitisha tulichojua kabla na sio tumejua baada ya mahakama kuthibitisha.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mabavicha bhana!

Kwa sabaya mahakama imetenda haki..

Kwa gaidi mahakama haiko huru...
Kila maamuzi ya mahakama yanachukuliwa independently. Ndio maana kuna kukata rufaa na kutokukata rufaa.
 
Uhalifu wa Sabaya watu wa waliujua walikosa pa kusemea hadharani.
Sote tulijua alivyowaibia wafanya biashara, alivyo lazimisha achangiwe, alivyo kata watu masikio, Labda Ni Ninyi watu wa huko Geita ndio hamkujua.
 
Kwa hiyo, Mahakama ya KISUTU ilipothibitisha kuwa akina Mbowe walikuwa wamehusika na Kifo cha Akwilina ndio uliamini ni kweli walikuwa wamehusika? Na Mahakama Kuu ilipowaona hawana hatia uliamini sasa hawakuwa na Hatia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…